Kwanza nieleze neno UYAHUDI tena kwa mara nyingine. Neno au jina Myahudi/Yahudi/Jew in englishi limeanza hasa kutumika baada ya mfalme Suleiman kuondoka madarakani/KUFA. Israel ni combination ya makabila 12, nitayazungumzia makabila 2 kwa maana ya mjadara hu; Yuda na Lawi, makabila haya yanatokana na majina ya watoto wa kiume ya mtu aliyeitwa Israel au Yakobo/Yacoub. Now baada ya mfalme Suleima kufariki, Waisrael hawakupendezwa na matendo ya mfalme wao so mrithi wake hawakuridhika nae, walihisi nae angefanya kama alivyo baba yake, Suleiman ni mtoto wa Daudi, Daudi ni mtoto wa mzee Yesse na Yesse alizaliwa na mtu anaitwa Boaz, tuishie hapo kwanza, now kabila hili la kina Daudi yaani Yuda ndio lilikua kabila la watawala na kabila la Lawi lilikua kabila na viongozi wa dini, sasa Israel nzima haikuridhika na mrithi huyu wa Suleiman kama nilivyosema and hence wakaona waachane na mambo ya ukoo huo wa Daudi, Daudi ndiye hasa aliufanya mji wa Yerusalem/Jerusalem kua makao makuu yake/Ikulu, makabila 10 katika 12 yakaasi likiwepo kabila la Lawi ambalo ndio hasa lina deal na mambo ya IMANI, yaani marabi (Rabi ni kama alivyo askofu kwenye Ukristo na sheikh mkuu kwenye Uislam ) la kabila la Yuda pamoja na Benyamin wao hawakukubaliana na huo UASI, wakabaki Yerusalem, yale makabila 10 yaenda mji wa Samaria na makao makuu ya nchi yalikua Damascus hi ya leo huko Syria; waliobaki Yerusalem wakaanza kuitwa wa YUDA baadae ndio neno YAHUDI lilianza kutumika as from that day, huwezi kulikuta hilo neno wakati Israel ikiwa na makabila yake 12, now to answer your question, hi dini ya UYAHUDI (though mimi sioni kama ni dini, UYAHUDI ni kabila but kwa muktadha hu tuendelee ) ilianza na baba yao Waarabu na Waisrael mzee Ibrahimu but sehemu maalumu ya kuabudia kwa maana ya JENGO ambalo ndio limetengeneza UZI lilijengwa na mfalme Suleiman hapo hapo kwenye mji wa baba yake, alianza kuijenga IKULU kwanza/makazi yake then akaja akajenga hilo jengo la kuabudia, hapo ndio walikua wakikutana kwa ajili ya mambo ya dini yao. Hope nimejibu kiasi fulani