Uislam ulianza.Kwa mujibu wa mafundisho ya uislamu, Kati ya dini ya kiyahudi na dini ya kiislamu, ipi ilitangulia?
Bimaana uislam sio tu kusema unamuabudu Allah,uislam ni mfumo wa maisha kiujumla.
Toka Adam (a.s) alikua muislam.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uislam ulianza.Kwa mujibu wa mafundisho ya uislamu, Kati ya dini ya kiyahudi na dini ya kiislamu, ipi ilitangulia?
Sawa nitajie jina la Kiongozi au Mtume wa Mwisho wa Waislamu kabla ya Muhammad?Mitume ya nyuma ndio ili viongozi wa uislam.
Hakukuwa na Ibada ya hijjah miaka ya nyuma.
Mitume ya nyuma walikua wana taratibu ya ibada tofauti na ya Muhammad.
Ila ya Muhammad ndio ikaja kufanywa timilifu.
wayahudi sio waislam.
Kwa mujibu wa mafundisho yetu wayahudi ni dini tofauti na waislam.
Mtume wa mwisho kabla ya Muhammad ni Issa ibn Maryam.
Uislam ulianza.
Bimaana uislam sio tu kusema unamuabudu Allah,uislam ni mfumo wa maisha kiujumla.
Toka Adam (a.s) alikua muislam.
Mkuu, kwa mujibu wa picha yako inaonyesha waz kabjsa waisilamu wanaswali masjid al aqsa na sio eneo la waz.Wewe na hao waisilamu wako (kama wapo) wote mmejichanganya.
Masjid al aqsa ni eneo kama unavyo sema kinondoni,
Waisilamu hawa swali kwenye Dome of the rock, wanaswali kwengine, na dome of the rock imejengwa mtume Ameshafariki, na Hilo eneo lilikuwa takatifu toka kipindi cha mtume hivyo haimake sense kwa jengo jipya kuwa ni msikiti wa al aqsa hali ya kuwa mitume wa zamani wametumia.
Ushahidi nakupa hii picha
![]()
Hao ni waisilamu wanaswali AL Aqsa wameipa mgongo dome of the rock, kwa mbali unaona dome of the rock. Hivyo dome of the rock sio masjid al aqsa kama mnavyotaka kupiga watu kamba.
Conclusion, masjid al aqsa ni eneo si jengo, waisilamu wa naenda hapo na ku swali chini kwenye michanga, Dome of the rock ni Jengo.
Hadithi utoe hakuna mahali kuna hadithi ilitamka hilo.Kwenye mafundisho ya uislamu (koran na hadithi) kuna sehemu inasema “jadiliana na watu wa dini zilizotangulia , watu wa kitabu yaani wayahudi na wakristo.
Unazungumziaje ilo andiko?
Msikiti ni eneo la ibada siyo lazima mpk jengo km jengo.Sawa nitajie jina la Kiongozi au Mtume wa Mwisho wa Waislamu kabla ya Muhammad?
Je Wayahudi nao Ni Waislamu?
Isa Bin Mariamu alikuwa anaswali msikitini Akiwa Muislamu?
Uislamu ni dini iliyoanzishwa na wapagani wa Kiarabu wa Yaman hasa wa kabila la Qureysh kabla Muhammad hajazaliwa.Uislam ulianza.
Bimaana uislam sio tu kusema unamuabudu Allah,uislam ni mfumo wa maisha kiujumla.
Toka Adam (a.s) alikua muislam.
Unakosea pakubwa.Uislamu ni dini iliyoanzishwa na wapagani wa Kiarabu wa Yaman hasa wa kabila la Qureysh kabla Muhammad hajazaliwa.
Waarabu hao walikuwa na miungu inayokadiliwa kufikia mia tatu sitini na tano, ambapo kila siku ilikuwa na mungu wake.
Baba yake Muhammad mzee Abdallah (mtumwa wa Allah) alikuwa akifanya kazi katika jumba moja lililojaa masanamu.
Allah ni jina la mungu wa kiislamu ambaye ni mkuu wa masanamu ambaye aliitwa Al Hubal.
Waarabu wa mwanzo walikuwa wakiabudu jeshi la mbinguni, yaani mwezi na nyota kabla ya Muhammad. Waarabu hao walijulikana kwa jina la Stars Family kwa sababu waliabudu jeshi la mbinguni, na mpaka hivi leo nembo za jeshi la mbinguni utalikuta juu ya kila msikiti yaani mwezi na nyota.
Kwa nini waislamu hudai kwamba Allah ni mkubwa???
Ni kwa sababu baada ya kuboresha dini, zilichambuliwa sanamu ndogo na kuwekwa pembeni, ili liabudiwe lililokuwa kubwa la hayo. Hii ndiyo sababu ya waislamu kupiga kelele kama walivyofanya kwa Artemi mungu mke wa Waefeso.
Allah ni jina la kubuni kwa ajili ya kupeleka watu jehanum ya moto. Ni jina lisilo na nguvu, halina uwezo wala nguvu, ndiyo maana waislamu hupigania Allah, na badala yake wamekuwa wakipigana kwa ajili yake kwa sababu hana uwezo kabisa kabisa.
View attachment 2099974
Na hiyo miungu 360 iliokua imeizunguka kaabah ilivunjwa yote.Uislamu ni dini iliyoanzishwa na wapagani wa Kiarabu wa Yaman hasa wa kabila la Qureysh kabla Muhammad hajazaliwa.
Waarabu hao walikuwa na miungu inayokadiliwa kufikia mia tatu sitini na tano, ambapo kila siku ilikuwa na mungu wake.
Baba yake Muhammad mzee Abdallah (mtumwa wa Allah) alikuwa akifanya kazi katika jumba moja lililojaa masanamu.
Allah ni jina la mungu wa kiislamu ambaye ni mkuu wa masanamu ambaye aliitwa Al Hubal.
Waarabu wa mwanzo walikuwa wakiabudu jeshi la mbinguni, yaani mwezi na nyota kabla ya Muhammad. Waarabu hao walijulikana kwa jina la Stars Family kwa sababu waliabudu jeshi la mbinguni, na mpaka hivi leo nembo za jeshi la mbinguni utalikuta juu ya kila msikiti yaani mwezi na nyota.
Kwa nini waislamu hudai kwamba Allah ni mkubwa???
Ni kwa sababu baada ya kuboresha dini, zilichambuliwa sanamu ndogo na kuwekwa pembeni, ili liabudiwe lililokuwa kubwa la hayo. Hii ndiyo sababu ya waislamu kupiga kelele kama walivyofanya kwa Artemi mungu mke wa Waefeso.
Allah ni jina la kubuni kwa ajili ya kupeleka watu jehanum ya moto. Ni jina lisilo na nguvu, halina uwezo wala nguvu, ndiyo maana waislamu hupigania Allah, na badala yake wamekuwa wakipigana kwa ajili yake kwa sababu hana uwezo kabisa kabisa.
View attachment 2099974
HAKUNA MWARABU HATA MMOJA ALIYEWAHI KUWA MWISLAMU KABLA YA MUHAMMAD USHAHID HUU HAPA QURAN 34:44 QURAN 43:21~22,QURAN 51:52,QURAN 3:164 NA QURAN 62:2Unakosea pakubwa.
Wacha nikufundishe kijana.
Qureysh ni kabila la Saudi Arabia sio Yemen.
Ambao wanapatikanika Makkah.
Na Miungu ya kisanam ya Maqureysh ilikua yahudha,yahuka.
Muhammad alipokuja baada ya kupewa ufunuo aliwaambia wamuabudu Mungu mmoja ambaye ni Allah.
Na kama Maqureysh ndio walioanzisha uislam basi WASINGEWAPIGA WAUMINI KIASI WAKIMBILIE YATHRIB(MADINAH).
HADITHI ULIYOLETA HAINA KHATWIYU THUBUTI WALA DILALAH.
NI HADITHI DHAIFU NA YA UONGO.
MAANA MASANAM WALIOKUA WANAYAABUDU MAQUREYSH YOTE YALIKUA NDAN YA KAABAH NA YAKAVUNJWA.
KTK DALILI ZA QIYAMA HIYO ULIYOLETA HAIPO.Kuna kuja kwa masihi dajjar,kuja jwa ajjuju wamahjjuju,kurudi kwa nabii Issa.Baada ya hapo ndipo kiama kitasimama.
KWANN WAISLAM WALIMPIGANIA ALLAH?
Siyo kwamba Allah hana nguvu bali Allah alitaka tuithamini dini yake na kuitetea dini yake.
Kama Allah angeshusha ghadhabu zake kwa wasio waumini dunia isingesalia.
Na waumini wasingekua na imani wala uchungu na dini yao km wasingeipigania.
Ila haimaanishi kwamba Allah hana nguvu.
KUFANANISHA UISLAM NA UQUREYSH UMEFELI.KUSEMA QUREYSH WAMETOKEA YEMEN NDIO UMEFELI KABISA.
QURAN YA TAFASIRI YA ABDULLAH SALEH AL-FARSY NAYO IMEKIRI KUWA UISLAMU HAKUWAHI KUWEPO KABLA YA MUHAMMAD ABDULLAH MTALIB NA KABLA YA KHADIJA NA MUHAMMAD ALIPEWA UTUME NA MKEWE KHADIJA KABLA YA MUHAMMAD KUPELEKWA KWA PADRI WARAQA BIN NAUFAL KUTOKA ROMANI KISHA PADRI WARAQA BIN NAUFAL AKAMWAMBIA MUHAMMAD JIBASHIRIE WEWE MWENYEWE KUWA WEWE NI MTUME WA UMA HUU NA UTAENEZA DINI MPYA YA UISLAMU MNAMO 17/12/610Na hiyo miungu 360 iliokua imeizunguka kaabah ilivunjwa yote.
Kama uislam na upagani ungekua kitu kimoja basi maqureysh na Muhammad wangeketi meza moja na wasingepigana vita zozote za badri wala uhdi.
ALLAH MAANA YAKE NI MWENYEZI MUNGU NA HILO NI NENO LA KIARABU.
Nikurekebishe kwenye hiyo mwexi na nyota ni kuonesha tu utukufu wa alivyoviumba Allah.
Haina uhusiano wa kiimani km usemavyo.
HAKUNA NILIPOSEMA QURESH WAMETOKEA YEMENI, NI HUJEALEWA KISWAHILI TU...Unakosea pakubwa.
Wacha nikufundishe kijana.
Qureysh ni kabila la Saudi Arabia sio Yemen.
Ambao wanapatikanika Makkah.
Na Miungu ya kisanam ya Maqureysh ilikua yahudha,yahuka.
Muhammad alipokuja baada ya kupewa ufunuo aliwaambia wamuabudu Mungu mmoja ambaye ni Allah.
Na kama Maqureysh ndio walioanzisha uislam basi WASINGEWAPIGA WAUMINI KIASI WAKIMBILIE YATHRIB(MADINAH).
HADITHI ULIYOLETA HAINA KHATWIYU THUBUTI WALA DILALAH.
NI HADITHI DHAIFU NA YA UONGO.
MAANA MASANAM WALIOKUA WANAYAABUDU MAQUREYSH YOTE YALIKUA NDAN YA KAABAH NA YAKAVUNJWA.
KTK DALILI ZA QIYAMA HIYO ULIYOLETA HAIPO.Kuna kuja kwa masihi dajjar,kuja jwa ajjuju wamahjjuju,kurudi kwa nabii Issa.Baada ya hapo ndipo kiama kitasimama.
KWANN WAISLAM WALIMPIGANIA ALLAH?
Siyo kwamba Allah hana nguvu bali Allah alitaka tuithamini dini yake na kuitetea dini yake.
Kama Allah angeshusha ghadhabu zake kwa wasio waumini dunia isingesalia.
Na waumini wasingekua na imani wala uchungu na dini yao km wasingeipigania.
Ila haimaanishi kwamba Allah hana nguvu.
KUFANANISHA UISLAM NA UQUREYSH UMEFELI.KUSEMA QUREYSH WAMETOKEA YEMEN NDIO UMEFELI KABISA.
ALLAH ALIABUDIWA NA WAPAGANI KABLA YA KUZALIWA MUHAMMAD NA MUHAMMAD ALIENDELEZA HILO JINA LA KIPAGANINa hiyo miungu 360 iliokua imeizunguka kaabah ilivunjwa yote.
Kama uislam na upagani ungekua kitu kimoja basi maqureysh na Muhammad wangeketi meza moja na wasingepigana vita zozote za badri wala uhdi.
ALLAH MAANA YAKE NI MWENYEZI MUNGU NA HILO NI NENO LA KIARABU.
Nikurekebishe kwenye hiyo mwexi na nyota ni kuonesha tu utukufu wa alivyoviumba Allah.
Haina uhusiano wa kiimani km usemavyo.
Wako wapi? Sioni watu. Na vyema uweke sourceMkuu, kwa mujibu wa picha yako inaonyesha waz kabjsa waisilamu wanaswali masjid al aqsa na sio eneo la waz.
Iko hivi, kuna masjid al aqsa pia kuna dome of the rock, hivi ni vitu wiwili tofauti vilivyopo maeneo yanayokaribiana.
Tazama picha hiyo.View attachment 2099633
Nyie jamaa waongo sana Quran sura ya 90 inaongelea mambo mengine kabisaALLAH ALIABUDIWA NA WAPAGANI KABLA YA KUZALIWA MUHAMMAD NA MUHAMMAD ALIENDELEZA HILO JINA LA KIPAGANI
Uarabuni kabla ya Muhammad kabila lake liitwalo kabila la Kureshi walikuwa wanamwabudu Allah aliye zaa mabinti wa kike watatu ambao ni LATA, UZZA NA MANAAT na Muhammad alikiri kwa kuapa kuwa Allah amezaa Quran 90:3 Na amezaa Lata, Uzza na Manaat Quran 53:17-20:-
HAPA MUHAMMAD ANAAPA KWA ALLAH WAKE KUWA AMEZAA LATA, UZZA NA MANAAT
*Quran 90:3 Naapa kwa mzazi na alicho kizaa![]()
QURAN INATHIBITISHA NAYO KUWA MUHAMMAD ALIONA ISHARA KUU KUWA ALLAH ANAMABINTI WATATU AMBAO NI LATA, UZZA NA MANAAT
Quran 53:17-20
17. Jicho halikuhangaika wala halikuruka mpaka.
18. Kwa yakini aliona katika Ishara kubwa kabisa za Mola wake Mlezi Allah
19. Je! Mmemuona Lata na Uzza?
20. Na Manaat, mwingine wa tatu?
quran.com
Unajua kama kwenye Biblia ya Kiarabu ama ya kiasili Hebrew hakuna neno Mungu wala God bali ni Allah?Uislamu ni dini iliyoanzishwa na wapagani wa Kiarabu wa Yaman hasa wa kabila la Qureysh kabla Muhammad hajazaliwa.
Waarabu hao walikuwa na miungu inayokadiliwa kufikia mia tatu sitini na tano, ambapo kila siku ilikuwa na mungu wake.
Baba yake Muhammad mzee Abdallah (mtumwa wa Allah) alikuwa akifanya kazi katika jumba moja lililojaa masanamu.
Allah ni jina la mungu wa kiislamu ambaye ni mkuu wa masanamu ambaye aliitwa Al Hubal.
Waarabu wa mwanzo walikuwa wakiabudu jeshi la mbinguni, yaani mwezi na nyota kabla ya Muhammad. Waarabu hao walijulikana kwa jina la Stars Family kwa sababu waliabudu jeshi la mbinguni, na mpaka hivi leo nembo za jeshi la mbinguni utalikuta juu ya kila msikiti yaani mwezi na nyota.
Kwa nini waislamu hudai kwamba Allah ni mkubwa???
Ni kwa sababu baada ya kuboresha dini, zilichambuliwa sanamu ndogo na kuwekwa pembeni, ili liabudiwe lililokuwa kubwa la hayo. Hii ndiyo sababu ya waislamu kupiga kelele kama walivyofanya kwa Artemi mungu mke wa Waefeso.
Allah ni jina la kubuni kwa ajili ya kupeleka watu jehanum ya moto. Ni jina lisilo na nguvu, halina uwezo wala nguvu, ndiyo maana waislamu hupigania Allah, na badala yake wamekuwa wakipigana kwa ajili yake kwa sababu hana uwezo kabisa kabisa.
View attachment 2099974
Historia inaonyesha kuwa kabla ya kuzaliwa kwa Muhamad hakukuweko na uislamu kama inavyodaiwa na wanaharakati wa kiislamu quran inathibitisha kuwa mwislamu wa kwanza katika wanaume ni Muhamad mwenyewe soma (surat al anaam – wanyama 6;14)…..Unajua kama kwenye Biblia ya Kiarabu ama ya kiasili Hebrew hakuna neno Mungu wala God bali ni Allah?
Allah ni neno la Kiarabu ama Hebrew linamaanisha mungu.
Waislam mmekuwa mkidanganya kila siku kuwa eti Mungu anaitwa AllahUnajua kama kwenye Biblia ya Kiarabu ama ya kiasili Hebrew hakuna neno Mungu wala God bali ni Allah?
Allah ni neno la Kiarabu ama Hebrew linamaanisha mungu.
Hichi ulichokiandika kinahusiana nini na comment yangu?Historia inaonyesha kuwa kabla ya kuzaliwa kwa Muhamad hakukuweko na uislamu kama inavyodaiwa na wanaharakati wa kiislamu quran inathibitisha kuwa mwislamu wa kwanza katika wanaume ni Muhamad mwenyewe soma (surat al anaam – wanyama 6;14)…..
“Sema hakika mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza katika wenye kusilimu….” Aidha kitabu cha Historia ya maisha ya nabii Muhamad cha Shehk abdallah Saleh Farsy uk 18 kifungu cha pili kinathibitisha kuwa mwislamu wa kwanza katika wanawake ni mke wa kwanza wa Muhamad bi Khadija
“ Basi Mwislamu wa mwanzo kabisa ni…..Bi Khadija” kwa msingi huu jamii ya waarabu wa kikureshi nduguze Muhamad walikuwa wanaaabudu miungu mingi ya kipagani na uchawi miungu hiyo ni pamoja na baal ambae historia inaonyesha ana asili ya Moab mashariki ya palestina,mungu huyu aliitwa ha-baal na waarabu walimuita hu-baal ndiye Hubal.
Vyanzo vya kuaminika toka kwa waislamu wenyewe vinatuambia kuwa babu ya Muhamad Abdul Mutalib hakuwa na watoto,Hivyo alikwenda al-kaaba na kuomba
“Eee allah nipe watoto” na aliweka mikono kwenye sanamu ya hubal /allah na kuomba,allah alimpa watoto kumi na aliporudi baadae kwenye ile sanamu ya hubal ambapo aliahidi kuwa akipewa watoto kumi atamtoa mmoja kuwa sadaka kwa hubal/allah alipata watoto hao na walipopigiwa kura watoto hao kura ilimwangukia abdallah,abdallah maana yak e ni mtumishi wa allah huyu ndiye baba wa muhamad ambeye kwa uongozi wa wachawi Hubal aliombwa apokee ngamia 100 kubadilishana na abdallah ambae aliishi mpaka miezi miwili kabla ya kuzaliwa muhamad akafa
Huna lolote ulijualo, we mwenyewe umejazwa ujinga na uongo tu umeamini ujinga na uongo, na unatuhadithia ujinga na uongo tu.Ambapo ukiangalia muundo wake wa nje na ndani + mosaic and design ni kutoka Roman Catholic Church or Byzantine empire
Most of Muslim hawajui hii historia na watakupinga sana ukimwambia kwa kuwa wamedanganwya na kulishwa vitu vingi vya uongo.