Na samahani Daud alipewa Zabur siyo Taurat.Ahsante kaka. Mada imeisha. Twende kwenye mada nyingine
Taurat alipewa Musa.
Sawa bro.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na samahani Daud alipewa Zabur siyo Taurat.Ahsante kaka. Mada imeisha. Twende kwenye mada nyingine
Nakuletea.
Ila hujanijibu,unazungumzia uyahudi kabila ama dini?
Qur'an inatambua uyahudi ni dini.
Ngojea nikuletee ushahidi kuwa Suleyman alikua ni muislam.Na uislam kaurithi kwa babaye Daud.
Na ushahidi wa kuwa muisraeli au mpalestina nitakuletea.
Kupitia Qur'an sura ya 27 verse 16-31.Unajuaje kwamba suleyman alikuwa ni muislamu
Kupitia Qur'an sura ya 27 verse 16-31.
Suleiman hakuwa Mwana Israel?!Wacha twende taratibu.
Hayo kusema kuwa waislam wa uarabuni wanajua Suleyman alikua myahudi doh kaka huo ni mtazamo wako.
Then maelezo yako yanaelezea uyahudi km kabila siyo dini.
Maana uhusiano wa kidini hapo sijauona kulingana na mafundisho yetu.LABDA KAKA UNIWEKE SAWA BAADAE.
Na sijajua umetumia kitabu gani.
Ila kwa mujibu wa mafundisho yetu ambayo yapo kote kwa waislam wote wa dunia nzima,Suleyman mtoto wa Daud hao ni wapalestine.Na hao siyo chanzo cha kuwepo wayahudi.Maana wayahudi walikua kabla ht ya nabii Suleyman na nabii Daud.
Maana uyahudi sie twautambua km dini.
Ila wana wa israel ndio twawatambua kama asili.
Na Suleyman hakuwa mwana israel.
Kuhusu Mwaka wa kiislam ulianza pale baada ya muhammad kuhama kutoka makkah kwenda madinah kwa kalenda ya kawaida ni miaka ya 570s A.D km sijakosea.
Na ndio maana ukapewa jina la calendar ya hijriyah.Hijriyah imetokana na hijrah maana yake kuhama.
Na hijriyah ni mwaka wa mhamo.
ambapo sasa hv ni mwaka wa 1435 km sijakosea.
Ila hiyo calendar imeanza miaka 20 mbele baad ya mtume kuamriwa na Allah atoke Makkah aende madinah.
Swali lingine bro.
Uyahudi ni kabila ama dini??
Na je wanaisrael wote ni wayahudi?
Niongezee kuwa Kiongozi wa Waislamu kabla ya Muhammad alikuwa Nani? Na pia Waislamu Walikuwa wanakwenda kuhiji wapi kabla ya Hapo?Kajifunze vitu viwili kesha ndio uje ulete hoja.
1)Uislam ulikua ktk misingi ipi kabla ya kuja Muhammad.
2)Uislam ibada zake zilikuaje kabla ya kuja Muhammad.
Aisee!Nasema hivi hakuna nabii wala Mtume wa Mola ambaye hakuwa Muislamu,anzia kwa nabii Nuhu.
Wote walikuwa Waislamu,kuna mwenzako anasema nabii Ibrahimu alikuwa Myahudi,nikamuomba ushahidi naona ametokomea,na wewe utaniambia nabii Ibrahimu alikuwa dini gani ?
Nisharekebishana na Kaka huko juu.Suleiman hakuwa Mwana Israel?!
Sasa alikuwa Nani?!
Kwa mujibu wa Qur'aan Ibrahim alikuwa MuislamuAllah anasema katika Qur'aan :
127. Na kumbukeni Ibrahim na Ismail walipo inyanyua misingi ya ile Nyumba wakaomba: Ewe Mola Mlezi wetu! Tutakabalie! Hakika Wewe ndiye Msikizi Mjuzi.
128. Ewe Mola Mlezi wetu! Tujaalie tuwe ni wenye kusilimu kwako, na pia miongoni mwa vizazi vyetu wawe umma ulio silimu kwako. Na utuonyeshe njia za ibada yetu na utusamehe. Bila shaka Wewe ndiye Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.
129. Ewe Mola Mlezi wetu! Waletee Mtume anaye tokana na wao, awasomee Aya zako, na awafundishe Kitabu na hikima na awatakase. Hakika Wewe ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima.
130. Na nani atajitenga na mila ya Ibrahim isipo kuwa anayeitia nafsi yake katika upumbavu? Na kwa yakini Sisi tulimteuwa yeye katika dunia; na hakika yeye katika Akhera atakuwa miongoni mwa watu wema.
131. Na Mola wake Mlezi alipo mwambia: Silimu, Nyenyekea! Alinena: Nimesilimu, nimenyenyekea kwa Mola wa walimwengu wote.
132. Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.
133. Je! Mlikuwapo yalipo mfikia Yaaqub mauti, akawaambia wanawe: Mtamuabudu nani baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is- hak, Mungu Mmoja tu, na sisi tunasilimu kwake. (al-Baqarah : 127 - 133)
Akasema tena katika sura ya 3 ndani ya Qur'aan :
67. Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina. (al-Imraan : 67)
Niongezee kuwa Kiongozi wa Waislamu kabla ya Muhammad alikuwa Nani? Na pia Waislamu Walikuwa wanakwenda kuhiji wapi kabla ya Hapo?
Mitume ya nyuma ndio ili viongozi wa uislam.Niongezee kuwa Kiongozi wa Waislamu kabla ya Muhammad alikuwa Nani? Na pia Waislamu Walikuwa wanakwenda kuhiji wapi kabla ya Hapo?
Mpuuxi =[emoji735]Unajifanya kuwa mpuuxi ni ww mwenyewe.
Ila mm based on my findings ule ni unyayo wa Ibrahim akiwa anajenga alkaabah na uislam ulikua kabla ya Muhammad kuja.
WE UNAKAA UNAZURURA USWAZI MWA DAR IS SLUM UKAE UBISHANE NA WATU TULOAMUA KUTEMBEA NA KUSOMA!?
SHENZI TYPE.
Uyahudi ni Dini.Kwa mujibu wa Qur'aan Ibrahim alikuwa Muislamu
Kwa mujibu wa Judaism Ibrahim hakuwa Muislamu
Kwa mujibu wa Ukiristo Ibrahim hakuwa Muislamu
Swali la nyongeza: Wayahudi was Leo Ambao ni uzao wa Ibrahim kupitia Yakobo wao nao Ni Waislamu?!
Sawa nitajie jina la Kiongozi au Mtume wa Mwisho wa Waislamu kabla ya Muhammad?Mitume ya nyuma ndio ili viongozi wa uislam.
Hakukuwa na Ibada ya hijjah miaka ya nyuma.
Mitume ya nyuma walikua wana taratibu ya ibada tofauti na ya Muhammad.
Ila ya Muhammad ndio ikaja kufanywa timilifu.
I'm a Christian lakini pia naomba nikukumbushe one fact in history ni kwamba; History is always written by the winners/ victorsSo kwa waislam wote nawasihi kusoma histolia before hujadanganywa na viongozi wenu coz bila kujua na nyinyi mnaongozwa na mihemko kuliko akili
Uyahudi ni Dini.
Hao wanao sema hakuwa Muislamu je alikuwa dini gani ?
wayahudi sio waislam.Sawa nitajie jina la Kiongozi au Mtume wa Mwisho wa Waislamu kabla ya Muhammad?
Je Wayahudi nao Ni Waislamu?
We embu acha contradictions.Imani zingine bhana unaamini MUNGU yuko upande wa haki halafu unadanganya makusudi ili iweje kama kweli unamfuata MUNGU basi utasema ukweli regardless huo ukweli ni mchungu ama la.Ni ajabu sana unaposema eti uislam ulikuwepo tangu kuumbwa kwa dunia huku ukihubiri unamwamini allah na Muhammad ni mtume wake(mohd ni muislam wa kwanza na khadija ni wa pili).
Mpuuxi =[emoji735]
Mpuuzi =[emoji818]
Hizo ni typing error kijana.Bado una mwandiko wa maslay queen halafu unasema umetembea [emoji706][emoji706]
wayahudi sio waislam.
Kwa mujibu wa mafundisho yetu wayahudi ni dini tofauti na waislam.
Mtume wa mwisho kabla ya Muhammad ni Issa ibn Maryam.