Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

Mtoa mada Ana accuse kupitia Dome, kwetu sisi msikiti wa al Aqsa sio jengo (hilo dome) Bali ni hio ardhi yote.

Wewe moja kwa moja unafikiria Sababu unaitwa msikiti wa al aqsa ni jengo, ndio hapo wewe na mtoa mada mnapokosea, AL aqsa ni eneo kama ilala knondoni Temeke etc na si jengo, sijui unaelewa.?

Ndio maana nikaleta ushahidi wa picha kuonesha watu wakiswali eneo la wazi na sio kwenye Hilo jengo.

Take your time Google Islam pray Al aqsa utaona picha zote watu Wana swali sehemu nyengine na sio hapo kwenye dome.
Unapotosha Msikiti wa All aqsa Upo Na Upo Katika Hilo Eneo la All Aqsa. Kinachofanyika Nathanil kwenye Swala Ya Ijumaa Huwa Wanaswali Njee Ya Msikiti Na Hiyo Nikawaida Ata Kwetu kutokana Na Wingi Wa Waumini Huwa Wengi Wanakuwa Wanaswali Nje Ya Msikiti.
 
nani kakudanganya ikiwa hata historia tu inawakana...hakuna asiyejua jinsi historia ilivyotunzwa vzr kuhusu HEKALU la suleimani, na kubomolewa kwake mara kwa mara....

cha ajabu uislamu unadanganya watu MARA ohoo ibrahimu alijenga msikiti mara suleiman ndio kajenga, historia ipo wazi kabla ya muhamadi hapakuwahi kuwepo msikiti wala DINI inayoitwa uislamu,

HISTORIA kuhusu dini kama UHINDU, iliyokuwepo hata kabla ya yesu, hadi leo zipo, iwe uislamu wa juzi tu miaka ya 600 baada ya YESU...

hapa nitakufundisha hadi msikiti wa kwanza ulijengwa lini
Hawa Watu Niwabishi Na Wamekaririshwa Ubisbi.
Ebu Waulize Leo Ni Mwaka Gani Wakiislam Alafu Waufananishe Na Hizo Hadidhi Zao Wanazotuletea.
 
Historia isiyo kuwa na chain ni kama mazungumzo tu ya vijiweni,ndiyo maana dini zenu zinakapotoshwa sababu hazina chain.

Unajua nini kuhusu Hadithi ? Isiwe unaelewa Hadithi ya hapa ni kama zile za Esopo au Sinderela hapa tunaongelea Hadithi kwa istilahi ya kisheria.

Hakuna nabii wala Mtume wa Allah katika uso huu wa dunia ambaye hakuwa Muislamu.

Nakuacha na swali hili,Ibrahimu alikuwa ni dini gani au alikuwa anawafundisha watu nini ?
Ibrahim myahudi
 
Unapotosha Msikiti wa All aqsa Upo Na Upo Katika Hilo Eneo la All Aqsa. Kinachofanyika Nathanil kwenye Swala Ya Ijumaa Huwa Wanaswali Njee Ya Msikiti Na Hiyo Nikawaida Ata Kwetu kutokana Na Wingi Wa Waumini Huwa Wengi Wanakuwa Wanaswali Nje Ya Msikiti.
Aqsa ni Eneo sio Jengo, kuna misikiti miwili humo ndani Qibly na Buraq
images (35).jpeg

Ila Aqsa ni Eneo lote hilo lililozungushiwa
 
Msikiti ni eneo la ibada siyo lazima mpk jengo km jengo.
Hata ndan kwako waweza pafanya msikiti.
Ila kuhusu Nabii.Issa kuswali msikitini sina uhakika kwasababu usimamishaji wa swala wa zama za Muhammad na Issa ni tofauti
Na hii ndiyo swala ilifundishwa na ToratI kupitia Ezra,

Na hii hapa ndiyo swala iliyofundishwa na Ezra kama ambavyo Mwenyezi Mungu alitaka ifundishwe,

Nehemia 8:1,4-6

1Kisha watu wote wakakusanyika wakiwa na kusudi moja katika uwanja wa jiji uliokuwa mbele ya Lango la Maji, wakamwambia Ezra mwandishi alete kitabu cha Sheria ya Musa, ambayo Yehova alikuwa ameamuru Waisraeli waifuate.

4 Na Ezra mwandishi alikuwa amesimama juu ya jukwaa la mbao, lililotengenezwa kwa kusudi hilo; na Matithia, Shema, Anaya, Uria, Hilkia, na Maaseya walisimama upande wake wa kulia; na upande wake wa kushoto Pedaya, Mishaeli, Malkiya, Hashumu, Hash-badana, Zekaria, na Meshulamu.
5 Ezra akakifungua kitabu mbele ya watu wote, kwa maana alikuwa juu kuliko watu wote. Alipokuwa akikifungua, watu wote wakasimama.
6 Kisha Ezra akamsifu Yehova Mungu wa kweli, Aliye mkuu, kisha watu wote wakajibu, “Amina! Amina!” nao wakainua mikono yao juu. Kisha wakamsujudia Yehova huku nyuso zao zikigusa ardhi.
 
Waislam mmekuwa mkidanganya kila siku kuwa eti Mungu anaitwa Allah

Allah ambaye sio Yehova na wala hajawai sema yeye ni Yehova kwenye Quran yake. Wakati Biblia inatumia jina la Yehova kwa zaidi ya mara 9000, Allah yeye anasema hivi kwa Muhammad: "Jua ya kwamba hakuna aabudiwaye kwa haki ila Allah..." (Qur’an. 47:19)

Unaona Allah anavyo likwepa jina la Yehova? Sasa tujifunze maana ya neno "JINA" . Waislam wengi kama sio wote hawajui tofauti ya JINA na [Jina la Sifa/wasifa kama Rais].

NINI MAANA YA JINA?
Ngoja kwanza nieleze kiurefu maana ya "JINA" na ASILI YAKE:
Kila mtu au kiumbe au Malaika ana jina lake na jina hilo linabeba kitu kikubwa sana.
Chimbuko ya neno ‘’jina’’ linatokana na neno la kigiriki liitwalo ‘’Sum’’

‘’Sum’’ maana yake ni ukumbusho au kumbukumbu. Ukumbusho au Sum kama ilivyoandikwa katika Biblia ya Kigiriki maana yake ni jina.

-Kwa hiyo maana ya kwanza ya jina/sum ni ukumbusho ambao mtu au kiumbe au Malaika anapewa.

-Jina/sum maana yake ni alama ya pekee ambayo anapewa mtu au kiumbe au Malaima ili kumtofautisha na wengine.

-Jina/sum ni zawadi ya pekee ambayo mtu au Malaika au Kiumbe anapewa.

Vigezo vya kumpatia mtu jina hutofautiana.
Majina mengine huwakilisha heshima ya kipekee.
Wafilipi 2:9-11( Kwa hiyo tena MUNGU alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina; ili kwa jina la YESU kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa MUNGU Baba. )

Majina mengine huwakilisha sifa ya huyo anayepewa jina .
Mfano rais wanchi ni [jina la sifa] ambalo anapewa mhusika.
Majina mengine ni kuonyesha mamlaka mfano [Askari ni jina ambalo linaonyesha mamlaka].

Kwa sababu ya tabia Fulani Fulani baadhi ya majina hutokea.
Mfano mwingine JEHOVAH SHALOM maana yake MUNGU ni Amani yetu hili ni jina jema ambalo linatokana na sifa ya MUNGU katika kuleta amani kwa watu wake.
SASA TURUDI KWENYE MADA YETU: YEHOVA KWA KIARABU NI YAHUH ( يهوه ) NA SIO ALLAH

Nini tafisri ya YEHOVA KWA KIARABU?
Kutokana na Tovuti ya Serikali ya Saudi Arabia ya AL TAFSIRhttp://www.altafsir.com/ Jina la Yehova kwa KIARABU NI YAHUH ( يهوه ). Umeona kuwa Kumbe Yehova sio Allah wa Waislam. Sasa, kwanini Waislam wanalazimisha kuwa Allah ni Yehova?

Majina yana tafsiri yake na yana utaalamu wake wa kuyafsir.
Mungu wa kwenye Biblia anaitwa Yehova (Jehovah/Yahweh) kwa zaidi ya mara 9000. LAKINI Allah hajaitwa kwa jina la Yehova kwenye Quran yake hata mara moja. Kama Allah ni Yehova kwanini Quran imekataa kumwita hivyo?

Mungu vile vile anaitwa Elohim kwenye Biblia kwa zaidi ya mara 2500, LAKINI hilo Jina la Elohim halipo kwenye Quran ya ALLAH.

Yehova ni Jina la Mungu ambalo kwa Kiingereza anaitwa Jehovah na kwa Kiebrania anaitwa יהוה (YHVH) na kwa Kiarabu anaitwa ( yahuh ) au ( يهوه ). ngoja niweke kwa urahisi ili wafuasi wa Muhmmad waelewe;

1. Kiebrania = יהוה (YHVH)
2. Kiingereza = Jehovah
3. Kiswahili = Yehova
4. Kiarabu = yahuh ( يهوه )

Umeona kuwa Tafsir ya Yehova ni YAHUH kwa KIARABU na sio ALLAH. Ingia hapa http://translation.babylon-software.com/…/to-arabic/jehovah/kwa msaada zaidi.

, tunaendelea kuona utofauti wa Allah ambaye ni MPINGA YEHOVA na Mwenyezi Mungu ambaye ni Yehova. "Wajue ya kuwa Wewe, uitwaye jina lako Yehovah, ndiwe peke yako Uliye juu, juu ya nchi yote". (Zaburi 83:18)https://www.wordproject.org/bibles/sw/19/83.htm#0
Kutoka 6,

2 Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;
3 nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.

Kutokana na andiko hilo,inatambulika wazi kuwa kuwa jina"Yehova"ni jina maalumu la Mungu alilojitambulisha nalo kwa Musa na aliowangoza katika kipindi chake.Lakini,Ibrahim,Isaka na Yakobo hawakulijua jina hilo.

Code:
Yehova ni Jina la Mungu ambalo kwa Kiingereza anaitwa Jehovah na kwa Kiebrania anaitwa יהוה (YHVH) na kwa Kiarabu anaitwa ( yahuh ) au ( يهوه ).

Pia baadae alipokuja Yesu,hakulitumia hilo jina kama tuonavyo katika andiko hili,
Marko 15:34
34 Ilipofika saa tisa, Yesu akalia kwa sauti kuu “Eloi, Eloi lama Sabaktani?” Yaani, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”

Yesu hakuwahi kutumia jina Yehova katika maisha yake yote alipokuwa hapa duniani.
Bali yeye Yesu alimuita" ELOI"

Code:
LAKINI Allah hajaitwa kwa jina la Yehova kwenye Quran yake hata mara moja. Kama Allah ni Yehova kwanini Quran imekataa kumwita hivyo?

Naomba majibu ya maswali haya,

1.Unaweza unesha ni wapi jina"Yehova " limefanywa kuwa la wanadamu wote badala ya Wanaisrael tu na nilazima litumike hilo na kwa watu wa lugha tofauti na Kiebrania?.

2.Katika kitabu cha Kutoka 6:3,
Mungu anasema alijulikana tu kama "Mungu Mwenyezi".Sasa naomba neno la Kiebrania lilotumika kama "Mungu Mwenyezi"kwa kina Ibrahim,Isaka na Yakobo.
3.Je,unasemaje sasa juu ya Yesu ambaye hakuwahitumia jina "Yehova ",kuwa yeye ni nani?.

Nb
Code:
SASA TURUDI KWENYE MADA YETU: YEHOVA KWA KIARABU NI YAHUH ( يهوه ) NA SIO ALLAH

YEHOVA ni sawa na majina kama Juma,John,Petro,n.k wakati "ALLAH" ni neno la kiarabu lenye maana ya"Mungu Mwenyezi" sawa na "Eloi".
 
Ibrahim myahudi
Hujui chochote kuhusu Uyahudi. Si maana ya Uyahudi Wala Historia.

Historia inasema jina la Uyahudi limetokana na mtoto wa Jacobi, huyu Jacobo alikuwa mjukuu wa nabii Ibrahim halafu Leo unasema Ibrahim alikuwa Myahudi.

Manabii hawawezi kuwa Mayahudi, sababu Uyahudi ni Ukafiri.
 
Ambapo ukiangalia muundo wake wa nje na ndani + mosaic and design ni kutoka Roman Catholic Church or Byzantine empire.

Most of Muslim hawajui hii historia na watakupinga sana ukimwambia kwa kuwa wamedanganwya na kulishwa vitu vingi vya uongo.

View attachment 1757085

Kilicho jitokeza ni nini?
Waislam wengi huupinga na kusema huu ni msikiti uliojengwa na Suleiman
[emoji1787]
[emoji1787]
[emoji1787]
ni vichekesho kidogo wengine wakasema umejengwa na Umar ibn Al-Khattāb ili mradi tu! Kupinga kuwa haukuwa kanisa before.

Na kitu wanacho changanya waislam wengi ni msikiti wa al aqsa na the dome of the rock
The dome of the rock sio msikiti msikiti ni al aqsa ijapokuwa hivi vitu viwili vipo karibu na eneo moja
hiyo ni kawaida ya waislam wengi kupinga na kupinga kwao si bure coz ni wamefundishwa vitu vingi na bila kujua kuwa mengine walidanganywa kwa manufaa ya viongozi wao bila wao kujua ni sumu walilishwa.

So tuangalie historia kidogo
Eneo hili ndipo palipokuwa hekalu la wayaudi na mara kwa mara waisrael walipokuwa wakivamiwa na kushambuliwa basi hekalu lilibomolewa basi miaka ikasonga mfalme Suleiman akajenga hekalu jipya kwa vipimo alivyopewa na Mungu

1 wafalme 6:1-38 likaanza kutumika miaka ikasonga mpaka akaja YESU kristo na kutoa utabiri huu
Marko 13:1-2
[emoji116]

Alipokuwa akitoka nje ya Hekalu, mmojawapo wa wanafunzi wake akamwambia, “Mwalimu, ona jinsi mawe haya na majengo haya yalivyo maridadi!” Yesu akamjibu, “Unayaona majengo haya yalivyo makubwa? Hakuna hata jiwe moja litakalobaki juu ya jingine, yote yatabomo lewa.”

Na utabiri huo ulitimia March mwaka 70 A.D baada ya kristo kufa na kupaa mbinguni, warumi waliuvamia mji wa Jerusalem na kulibomoa kabisa hekalu na kila kitu kilichomo ndani ya hekalu hakikubakia kitu Kama Yesu alivyotabiri/

So nashangaa waislam wanavyosema kuwa huo msikiti ulijengwa na Suleiman wakati hekalu alilojenga Suleiman lilishabomolewa na warumi mwaka 70 na lilikuwa ni hekalu na si msikiti remember that
[emoji1787]
[emoji1787]
[emoji1787]
[emoji1787]
[emoji1787]

So miaka ikasonga mnamo mwaka 310A.D ndipo dola la kirumi lilianza kugeuza uelekeo na kuwa la kikristo kamili ,mfalme Constatino na mama yake Herena walianza kujenga makanisa katika dola ya kirumi na ndani ya Jerusalem 313AD, kwa kipindi hiko na moja ya makanisa yaliojengwa ni pamoja na hilo

Msikiti wa al aqsa
Ilipofika mwaka 638AD Umar ibn Al-Khattāb aliuteka mji wa Jerusalem na kuukalia na kubadilisha mambo mengi ndani ya mji na moja vitu alivyo badirisha ni kanisa hilo na kujenga the dome of the rock but ilipofika mwaka 1100AD wakristo waliuchukua tena huo mji na kuukalia wakarudisha vitu vyao tena but ilipofika mwaka 1500AD Ottoman waliuchukua tena mpaka mwaka 1900AD, but kipindi cha katikati hapo Jerusalem hapakutulia palikuwa na mashambulio ya mara kwa mara baina ya Muslim na Christian na Jewish but ilipofika mwaka 1917 great British waliuchukua mji na kuukalia baada ya hapo ni mgawanyo wa mji mpaka leo

So tukirudi kwnye mada yetu ili jengo lilikuwaje?
Kama tunavyoona kwenye picha kapo chini
[emoji116]
muundo wa ujenzi na mosic, milango, madirisha, nguzo 100% ni mitindo ya makanisa hiyo haitoshi hivi karibuni kumegunduliwa mosic yenye takribani miaka 1700 ambapo ni mitindo ya Byzantine empire kwenye kudecorate makanisa na majengo yao miaka hiyo na imegunduliwa eneo moja wapo la msikiti so hii inatoa ushaidi tosha kuwa Byzantine or Roman empire walikuwa ndio wajenzi wa jengo hili na si vinginevyo.

So kwa waislam wote nawasihi kusoma histolia before hujadanganywa na viongozi wenu coz bila kujua na nyinyi mnaongozwa na mihemko kuliko akili.

View attachment 1757143
Ulieyekudanganya hana kosa, kosa ni lako kwa kuwa na very narrow understanding
 
Hujui chochote kuhusu Uyahudi. Si maana ya Uyahudi Wala Historia.

Historia inasema jina la Uyahudi limetokana na mtoto wa Jacobi, huyu Jacobo alikuwa mjukuu wa nabii Ibrahim halafu Leo unasema Ibrahim alikuwa Myahudi.

Manabii hawawezi kuwa Mayahudi, sababu Uyahudi ni Ukafiri.
Tatizo lenu hapa ni moja. Kila mmoja wenu ana Iman tofauti na anatumia kitabu tofauti (mwingine Biblia na mwingine Qruan) hivyo hamuwezi kuelewana, sanasana mtaishia kutukanana, sawa tu na kile kinachotokea kwa Waisrael na Wapalestina
 
Kutoka 6,

2 Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;
3 nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.

Kutokana na andiko hilo,inatambulika wazi kuwa kuwa jina"Yehova"ni jina maalumu la Mungu alilojitambulisha nalo kwa Musa na aliowangoza katika kipindi chake.Lakini,Ibrahim,Isaka na Yakobo hawakulijua jina hilo.

Code:
Yehova ni Jina la Mungu ambalo kwa Kiingereza anaitwa Jehovah na kwa Kiebrania anaitwa יהוה (YHVH) na kwa Kiarabu anaitwa ( yahuh ) au ( يهوه ).

Pia baadae alipokuja Yesu,hakulitumia hilo jina kama tuonavyo katika andiko hili,
Marko 15:34
34 Ilipofika saa tisa, Yesu akalia kwa sauti kuu “Eloi, Eloi lama Sabaktani?” Yaani, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”

Yesu hakuwahi kutumia jina Yehova katika maisha yake yote alipokuwa hapa duniani.
Bali yeye Yesu alimuita" ELOI"

Code:
LAKINI Allah hajaitwa kwa jina la Yehova kwenye Quran yake hata mara moja. Kama Allah ni Yehova kwanini Quran imekataa kumwita hivyo?

Naomba majibu ya maswali haya,

1.Unaweza unesha ni wapi jina"Yehova " limefanywa kuwa la wanadamu wote badala ya Wanaisrael tu na nilazima litumike hilo na kwa watu wa lugha tofauti na Kiebrania?.

2.Katika kitabu cha Kutoka 6:3,
Mungu anasema alijulikana tu kama "Mungu Mwenyezi".Sasa naomba neno la Kiebrania lilotumika kama "Mungu Mwenyezi"kwa kina Ibrahim,Isaka na Yakobo.
3.Je,unasemaje sasa juu ya Yesu ambaye hakuwahitumia jina "Yehova ",kuwa yeye ni nani?.

Nb
Code:
SASA TURUDI KWENYE MADA YETU: YEHOVA KWA KIARABU NI YAHUH ( يهوه ) NA SIO ALLAH

YEHOVA ni sawa na majina kama Juma,John,Petro,n.k wakati "ALLAH" ni neno la kiarabu lenye maana ya"Mungu Mwenyezi" sawa na "Eloi".
Usifananishe Misingi ya Uislam na ukristo.
Mungu wetu hatambuliki kwa majina yanayokanganya kama Mungu wenu Bali Mungu wetu hutambulika kwa majina ya sifa za kipekee.
Pia HAKUNA SEHEM QUR'AN INAELEZA IBADA YA SWALA KAMA UNAYOZUNGUMZIA WEWE.
SWALA SAHIHI ILIFUNDISHWA NA IBRAHIM BABA WA MITUME.
UMEULA WA CHUYA MZEE.
 
Sijui hata kama umejipa muda wakujua post yangu nimeandika kwa ku-Quote nani na nimemjibu nini!.

Pia nguzo za Uislamu ni 6,na ngozo mojawapo ni kuamini vitabu vyote vya Mwenyezi Mungu na mitume wake wote.

Sasa sheikh!Mimi kosa langu ni lipi hapo ninapojadiliana na mnaswala kwa Torati na Injili?.
Kosa langu ni lipi ninapotoa mfano wa mtume Issa (Yesu)katika mjadala na mnaswala?.

Nisaidie nijue nilipokosea nijirekebishe,In Shaa Allah!.
 
dini ya uislamu habari yake ipo katika Quran takatifu na sio issue ya kihistoria ,kwaiyo wakuu tuheshimiane na kila moja akae na dini yake hatulazimishani ,acheni kujifanya munajua dini ya kiislamu kwa kuleta habari ya abunuasi hapo ,wabilahi towfiq.
Dini ya Mazuzu.
 
AL aqsa Una stori ndefu, ni eneo takatifu muda mrefu, kwa mafundisho ya Kiisilamu umejengwa kipindi cha Nabii Ibrahim, tofauti ya Masjid AL aqsa na Msikiti wa Makka ni miaka 40, kwa hadith hii

Abu Dharr (may Allaah be pleased with him) who said: “I said, ‘O Messenger of Allaah, which mosque was built on earth first?’ He said, ‘Al-Masjid al-Haraam [in Makkah].’ I said, ‘Then which?’ He said, ‘Al-Masjid al-Aqsa.’ I said, ‘How much time was there between them?’ He said, ‘Forty years.

Then Nabii Suleiman akaja kuujenga tena Sunan al-Nasaa’i (693)
"When Sulaiman bin Dawud finished building Bait Al-Maqdis, he asked Allah for three things: Judgement that was in harmony with His judgement, and he was given that. And he asked Allah for a dominion that no one after him would have, and he was given that. And when he finished building the Masjid he asked Allah, the Mighty and Sublime, that no one should come to it, intending only to pray there, but he would emerge free of sin as the day his mother bore him."

Then baadae Tena Umar (as) akaja kuukomboa msikiti, kipindi hiki ndio wakristo waliufanya kama dampo la uchafu, Sababu wayahudi walikuwa wakiabudia hapa, alivyoukomboa ndio akatafuta eneo ambalo halijaathiriwa na uchafu, msome Ulamaa wetu Hapa

Shaykh al-Islam Ibn Taymiyah (may Allaah have mercy on him) in Majmoo’at al-Rasaa’il al-Kubra, 2/61: “Al-Masjid al-Aqsa is the name for the whole of the place of worship built by Sulaymaan (peace be upon him). Some people started to give the name of al-Aqsa to the prayer-place which was built by ‘Umar ibn al-Khattaab in front of it. Praying in this prayer-place which ‘Umar built for the Muslims is better than praying in the rest of the mosque, because when ‘Umar conquered Jerusalem there was a huge garbage dump on the rock, since the Christians wanted to show their scorn for the place towards which the Jews used to pray. So ‘Umar issued orders that the filth be removed and he said to Ka’b: ‘Where do you think we should build a place of prayer for the Muslims?’ He said, ‘Behind the rock.’ He said, ‘O you son of a Jewish woman! Are influenced by your Jewish ideas! Rather I will build it in front of it.’

Hapa sasa ndio ukaona hio picha waisilamu wanaswalia kwa mbele ya Dome of the rock kama picha zinavyoonesha.
4ee793eb15189001b3c2627efb81d01e.jpg

Jengo kama jengo lilijengwa na Abd al-Malik ibn Marwan kama miaka 1500 iliopita.
Kuna wakati huwa natakani sana kuwa Muislam,ila usilam ukifika kwenye uongo wa kusema sijui ulianza wakati wa Ibrahim.Huwa nagairi kabisa, maana uongo wa waziwazi.Dini imeanza 620 sijui alafu ina fix hiyo.
Utasikia Mtume alipanda Bukaa akafika Yerusalem akapaa juu 621 wakati hilo jengo lenyewe limejengwa 690.
Jamani Usilam michosho du.
 
nani kakudanganya ikiwa hata historia tu inawakana...hakuna asiyejua jinsi historia ilivyotunzwa vzr kuhusu HEKALU la suleimani, na kubomolewa kwake mara kwa mara....

cha ajabu uislamu unadanganya watu MARA ohoo ibrahimu alijenga msikiti mara suleiman ndio kajenga, historia ipo wazi kabla ya muhamadi hapakuwahi kuwepo msikiti wala DINI inayoitwa uislamu,

HISTORIA kuhusu dini kama UHINDU, iliyokuwepo hata kabla ya yesu, hadi leo zipo, iwe uislamu wa juzi tu miaka ya 600 baada ya YESU...

hapa nitakufundisha hadi msikiti wa kwanza ulijengwa lini
Yaani nimegundua ili uwe Muislam,lazima uamue kujivua akili zake na kujivika upumbavu.Yaani lazimanuamue kujidunga nusukaputi.
 
Kuna wakati huwa natakani sana kuwa Muislam,ila usilam ukifika kwenye uongo wa kusema sijui ulianza wakati wa Ibrahim.Huwa nagairi kabisa, maana uongo wa waziwazi.Dini imeanza 620 sijui alafu ina fix hiyo.
Utasikia Mtume alipanda Bukaa akafika Yerusalem akapaa juu 621 wakati hilo jengo lenyewe limejengwa 690.
Jamani Usilam michosho du.
Kama shida yako ni kujua ukweli, hutoupata kwenye Mitandao ya kijamii, tafuta wasomi, hata sio lazima wasomi wa kiisilamu, tafuta wasomi wa Historia ambao ni verified kabisa wamebobea Hio field miaka na miaka wame dedicate maisha yao kufanya tafiti hizo.

Historia ya Jerusalem na Crusaders kuanzia mtafute Proffesor Roy Casagranda wa Chuo cha Austin Texas Marekani, Jamaa amebobea Historia ya Middle East na lectures zake ni Public anaziweka youtube, search tu jina lake youtube na Neno Crusaders kwa mbele.
 
Na kudai hadi Adam na Eva walikuwa Waislam wenzao, sijui walisilimu wapi wakati aliyeleta Uislam Mtume Mudy hakuwepo

Wafuasi wa Bwn.Mudy wanachekesha sana

[emoji317][emoji317][emoji317]
jiheshimu wewe
 
Yaani nimegundua ili uwe Muislam,lazima uamue kujivua akili zake na kujivika upumbavu.Yaani lazimanuamue kujidunga nusukaputi.
sio kweli ungejua uislam ulivyo sio kama dini yenu ambayo Mke wako ana msikiliza zaidi Padri au mchungaji kulio mume mwenyewe.
 
unaleta hadithi badala ya historia?yaani mnamsingizia ibrahimu na kujenga misikiti?

uislamu umekuja na mudy 622AD, kabla hakukuwahi kuwepo hata chembe ya uislamu, wala jengo liitwalo msikiti..hakuna historia hiyo

unaleta ushahidi wa hadithi zaa abunwasi? HISTORIA ipo wazi hadi mwakaa 70AD, majeshi ya warumi yalipouvamia, historia ya kuthibitika ipo,wewe unaleta hadith za abunuasi?
uislam sio dini iliyo letwa na MTUME MUHAMMAD SAW. maana ya neno uislam means to submit to will of GOD. Kwahyo kilicho badilika ni practice tu ya uislam. Kwasababu mitume wote wanatoka kwenye uzao mmoja kwa maana babu yao ni IBRAHIM AS.
 
Back
Top Bottom