Ambapo ukiangalia muundo wake wa nje na ndani + mosaic and design ni kutoka Roman Catholic Church or Byzantine empire
Most of Muslim hawajui hii historia na watakupinga sana ukimwambia kwa kuwa wamedanganwya na kulishwa vitu vingi vya uongo.
View attachment 1757085
Kilicho jitokeza ni nini?
Waislam wengi huupinga na kusema huu ni msikiti uliojengwa na Suleiman
ni vichekesho kidogo wengine wakasema umejengwa na Umar ibn Al-Khattāb ili mradi tu! Kupinga kuwa haukuwa kanisa before.
Na kitu wanacho changanya waislam wengi ni msikiti wa al aqsa na the dome of the rock
The dome of the rock sio msikiti msikiti ni al aqsa ijapokuwa hivi vitu viwili vipo karibu na eneo moja
hiyo ni kawaida ya waislam wengi kupinga na kupinga kwao si bure coz ni wamefundishwa vitu vingi na bila kujua kuwa mengine walidanganywa kwa manufaa ya viongozi wao bila wao kujua ni sumu walilishwa.
So tuangalie historia kidogo
Eneo hili ndipo palipokuwa hekalu la wayaudi na mara kwa mara waisrael walipokuwa wakivamiwa na kushambuliwa basi hekalu lilibomolewa basi miaka ikasonga mfalme Suleiman akajenga hekalu jipya kwa vipimo alivyopewa na Mungu
1 wafalme 6:1-38 likaanza kutumika miaka ikasonga mpaka akaja YESU kristo na kutoa utabiri huu
Marko 13:1-2
Alipokuwa akitoka nje ya Hekalu, mmojawapo wa wanafunzi wake akamwambia, “Mwalimu, ona jinsi mawe haya na majengo haya yalivyo maridadi!”
Yesu akamjibu, “Unayaona majengo haya yalivyo makubwa? Hakuna hata jiwe moja litakalobaki juu ya jingine, yote yatabomo lewa.”
Na utabiri huo ulitimia March mwaka 70 A.D baada ya kristo kufa na kupaa mbinguni, warumi waliuvamia mji wa Jerusalem na kulibomoa kabisa hekalu na kila kitu kilichomo ndani ya hekalu hakikubakia kitu Kama Yesu alivyotabiri/
So nashangaa waislam wanavyosema kuwa huo msikiti ulijengwa na Suleiman wakati hekalu alilojenga Suleiman lilishabomolewa na warumi mwaka 70 na lilikuwa ni hekalu na si msikiti remember that
So miaka ikasonga mnamo mwaka 310A.D ndipo dola la kirumi lilianza kugeuza uelekeo na kuwa la kikristo kamili ,mfalme Constatino na mama yake Herena walianza kujenga makanisa katika dola ya kirumi na ndani ya Jerusalem 313AD, kwa kipindi hiko na moja ya makanisa yaliojengwa ni pamoja na hilo
msikiti wa al aqsa
Ilipofika mwaka
638AD Umar ibn Al-Khattāb aliuteka mji wa Jerusalem na kuukalia na kubadilisha mambo mengi ndani ya mji na moja vitu alivyo badirisha ni kanisa hilo na kujenga the dome of the rock but ilipofika mwaka
1100AD wakristo waliuchukua tena huo mji na kuukalia wakarudisha vitu vyao tena but ilipofika mwaka
1500AD Ottoman waliuchukua tena mpaka mwaka
1900AD, but kipindi cha katikati hapo Jerusalem hapakutulia palikuwa na mashambulio ya mara kwa mara baina ya Muslim na Christian na Jewish but ilipofika mwaka
1917 great British waliuchukua mji na kuukalia baada ya hapo ni mgawanyo wa mji mpaka leo
So tukirudi kwnye mada yetu ili jengo lilikuwaje?
Kama tunavyoona kwenye picha kapo chini
muundo wa ujenzi na mosic, milango, madirisha, nguzo 100% ni mitindo ya makanisa hiyo haitoshi hivi karibuni kumegunduliwa mosic yenye takribani miaka
1700 ambapo ni mitindo ya Byzantine empire kwenye kudecorate makanisa na majengo yao miaka hiyo na imegunduliwa eneo moja wapo la msikiti so hii inatoa ushaidi tosha kuwa
Byzantine or Roman empire walikuwa ndio wajenzi wa jengo hili na si vinginevyo
So kwa waislam wote nawasihi kusoma histolia before hujadanganywa na viongozi wenu coz bila kujua na nyinyi mnaongozwa na mihemko kuliko akili
View attachment 1757143