Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

mbona alichosema mtoa mada na ww ni tofauti,like kama umekurupuka
 
mbona alichosema mtoa mada na ww ni tofauti,like kama umekurupuka
Mtoa mada Ana accuse kupitia Dome, kwetu sisi msikiti wa al Aqsa sio jengo (hilo dome) Bali ni hio ardhi yote.

Wewe moja kwa moja unafikiria Sababu unaitwa msikiti wa al aqsa ni jengo, ndio hapo wewe na mtoa mada mnapokosea, AL aqsa ni eneo kama ilala knondoni Temeke etc na si jengo, sijui unaelewa.?

Ndio maana nikaleta ushahidi wa picha kuonesha watu wakiswali eneo la wazi na sio kwenye Hilo jengo.

Take your time Google Islam pray Al aqsa utaona picha zote watu Wana swali sehemu nyengine na sio hapo kwenye dome.
 
msikiti wa AL AQSA umejengwa lin na nan aliujenga,
AL aqsa Una stori ndefu, ni eneo takatifu muda mrefu, kwa mafundisho ya Kiisilamu umejengwa kipindi cha Nabii Ibrahim, tofauti ya Masjid AL aqsa na Msikiti wa Makka ni miaka 40, kwa hadith hii

Abu Dharr (may Allaah be pleased with him) who said: “I said, ‘O Messenger of Allaah, which mosque was built on earth first?’ He said, ‘Al-Masjid al-Haraam [in Makkah].’ I said, ‘Then which?’ He said, ‘Al-Masjid al-Aqsa.’ I said, ‘How much time was there between them?’ He said, ‘Forty years.

Then Nabii Suleiman akaja kuujenga tena Sunan al-Nasaa’i (693)
"When Sulaiman bin Dawud finished building Bait Al-Maqdis, he asked Allah for three things: Judgement that was in harmony with His judgement, and he was given that. And he asked Allah for a dominion that no one after him would have, and he was given that. And when he finished building the Masjid he asked Allah, the Mighty and Sublime, that no one should come to it, intending only to pray there, but he would emerge free of sin as the day his mother bore him."

Then baadae Tena Umar (as) akaja kuukomboa msikiti, kipindi hiki ndio wakristo waliufanya kama dampo la uchafu, Sababu wayahudi walikuwa wakiabudia hapa, alivyoukomboa ndio akatafuta eneo ambalo halijaathiriwa na uchafu, msome Ulamaa wetu Hapa

Shaykh al-Islam Ibn Taymiyah (may Allaah have mercy on him) in Majmoo’at al-Rasaa’il al-Kubra, 2/61: “Al-Masjid al-Aqsa is the name for the whole of the place of worship built by Sulaymaan (peace be upon him). Some people started to give the name of al-Aqsa to the prayer-place which was built by ‘Umar ibn al-Khattaab in front of it. Praying in this prayer-place which ‘Umar built for the Muslims is better than praying in the rest of the mosque, because when ‘Umar conquered Jerusalem there was a huge garbage dump on the rock, since the Christians wanted to show their scorn for the place towards which the Jews used to pray. So ‘Umar issued orders that the filth be removed and he said to Ka’b: ‘Where do you think we should build a place of prayer for the Muslims?’ He said, ‘Behind the rock.’ He said, ‘O you son of a Jewish woman! Are influenced by your Jewish ideas! Rather I will build it in front of it.’

Hapa sasa ndio ukaona hio picha waisilamu wanaswalia kwa mbele ya Dome of the rock kama picha zinavyoonesha.

Jengo kama jengo lilijengwa na Abd al-Malik ibn Marwan kama miaka 1500 iliopita.
 
Ajabu umeandika uongo mwanzo mwisho. Kijana historia inataka chain (sanadi) hujatupa sanadi.

Nakuja kuendelea hapa nilipoishia...
 
Hii inatusaidia nini waswahili wakati ukoloni na utumwa vilivyotutesa vilitokana na ujinga huu?
 
Unawapigia mbuzi gitaa wacheze

Hawa Waislam hawana asili ya kupenda Elimu wala Ukweli, hapa watakutukana na kukubeza sana bila kujali mwezi huu wanaouita mtukufu.

Ngoja waje wale walioshiba vizuri futari waanze kukujambia utakoma
 
Wanadai mpaka ikulu ya Tanzania ni yao mkuu
Na kudai hadi Adam na Eva walikuwa Waislam wenzao, sijui walisilimu wapi wakati aliyeleta Uislam Mtume Mudy hakuwepo

Wafuasi wa Bwn.Mudy wanachekesha sana

[emoji317][emoji317][emoji317]
 
umejengwa na Umar ibn Al-Khattāb ili mradi tu! Kupinga kuwa haukuwa kanisa before
Nani amekwambia kwamba msikiti huo umejengwa na Swahaba Umar bin al Khattab ?

Doom of Rock ilijengwa na khalifa Abd al-Malik ibn Marwaan mwaka 72 AH. Rejea kitabu "Ma'usuat fi filistiin".

Masjidi al Aqsa una mapokezi mawili,yapo masimulizi yanayosema umejengwa na nabii Suleyman hii ni kwa mujibu wa mapokezi ya Imaam an Nasai na yapo mapokezi ya Imaam al Bukhari katika sahihi yake yanasema ulijengwa kabla ya nabii Suleyman.

Sasa tupe maandiko na rejea kusadikisha unachosema.

Nipo ...
 
Unawapigia mbuzi gitaa wacheze

Hawa Waislam hawana asili ya kupenda Elimu wala Ukweli, hapa watakutukana na kukubeza sana bila kujali mwezi huu wanaouita mtukufu.

Ngoja waje wale walioshiba vizuri futari waanze kukujambia utakoma
Sasw elimu gani ameiandika hapo,kuna muda mnatakiwa msiwe vipofu wa akili na muwr mnahoji. Historia inataka chain mzee,hana chain wala marejeo ya waz hapo.

Huwezi kuwalinganisha Waislamu na wowote katika kutunza elimu na kuihakiki. Nasema tena HAKUNA.
 
Nitajie Elimu mliyoitunza inayotusaidia hivi sasa
 
Nitajie Elimu mliyoitunza inayotusaidia hivi sasa
Elimu ya Hadithi/Uhakiki wa habari na nyingine nyingi katika nyanja mbali mbali.

Sasa muulize mtoa mada habari za Swahaba Umar bin Khattab kujenga msikiti huo au hiyo Dome of Rock amezipata wapi.
 
unaleta hadithi badala ya historia?yaani mnamsingizia ibrahimu na kujenga misikiti?

uislamu umekuja na mudy 622AD, kabla hakukuwahi kuwepo hata chembe ya uislamu, wala jengo liitwalo msikiti..hakuna historia hiyo

unaleta ushahidi wa hadithi zaa abunwasi? HISTORIA ipo wazi hadi mwakaa 70AD, majeshi ya warumi yalipouvamia, historia ya kuthibitika ipo,wewe unaleta hadith za abunuasi?
 
nani kakudanganya ikiwa hata historia tu inawakana...hakuna asiyejua jinsi historia ilivyotunzwa vzr kuhusu HEKALU la suleimani, na kubomolewa kwake mara kwa mara....

cha ajabu uislamu unadanganya watu MARA ohoo ibrahimu alijenga msikiti mara suleiman ndio kajenga, historia ipo wazi kabla ya muhamadi hapakuwahi kuwepo msikiti wala DINI inayoitwa uislamu,

HISTORIA kuhusu dini kama UHINDU, iliyokuwepo hata kabla ya yesu, hadi leo zipo, iwe uislamu wa juzi tu miaka ya 600 baada ya YESU...

hapa nitakufundisha hadi msikiti wa kwanza ulijengwa lini
 
Elimu ya Hadithi/Uhakiki wa habari na nyingine nyingi katika nyanja mbali mbali.

Sasa muulize mtoa mada habari za Swahaba Umar bin Khattab kujenga msikiti huo au hiyo Dome of Rock amezipata wapi.
kuna mwenzio hapo juu nimeona kaleta hii mambo yenu, soma uone

Shaykh al-Islam Ibn Taymiyah (may Allaah have mercy on him) in Majmoo’at al-Rasaa’il al-Kubra, 2/61: “Al-Masjid al-Aqsa is the name for the whole of the place of worship built by Sulaymaan (peace be upon him). Some people started to give the name of al-Aqsa to the prayer-place which was built by ‘Umar ibn al-Khattaab in front of it. Praying in this prayer-place which ‘Umar built for the Muslims is better than praying in the rest of the mosque, because when ‘Umar conquered Jerusalem there was a huge garbage dump on the rock, since the Christians wanted to show their scorn for the place towards which the Jews used to pray. So ‘Umar issued orders that the filth be removed and he said to Ka’b: ‘Where do you think we should build a place of prayer for the Muslims?’ He said, ‘Behind the rock.’ He said, ‘O you son of a Jewish woman! Are influenced by your Jewish ideas! Rather I will build it in front of it.’
 
Sasa hoja yako iko wapi ? Unajua ukiambiwa Masjid al Aqsa unaelewa nini ?

Nini maana ya Hekalu mzee ni soko au sehemu ya kufanyia ibada ? Sisi Waislamu tunafata sanadi (Chain) ndiyo maana niliyo kuwekea yana chain. Sasa na wewe tuwekee marejeo yako usilete story na dibaji.
 
Hui ndiyo usahihi wa mambo,swahaba Umar hakujenga msikiti bali sehemu ya kusalia,sababu kulikuwa na hila iliyofanywa na mayahudi na wakristo. Lakini Masjid al Aqsa ndiyo kama alivyosema Ibn Taymiyyah (Allah amrehemu) . Sasa wewe pinga kwa hoja.
 
unaleta janja janja,et chain,yaan mnaungaunga story, ili kudanganya umma

KIJANA, uislamu na hekalu wapi na wapi

msikiti wa kwanza kujengwa duniani ni Quba Mosque

The Quba Mosque in Medina was built in 622 CE. This is the first mosque that can be accurately dated and is described in the Islamic holy book, the Quran, as the first mosque to be built on piety.

Hapo mlipovamia na kuweka msikiti wenu al aqsa, palikuwa na hekalu, historia haiongopi...
 
Historia isiyo kuwa na chain ni kama mazungumzo tu ya vijiweni,ndiyo maana dini zenu zinakapotoshwa sababu hazina chain.

Unajua nini kuhusu Hadithi ? Isiwe unaelewa Hadithi ya hapa ni kama zile za Esopo au Sinderela hapa tunaongelea Hadithi kwa istilahi ya kisheria.

Hakuna nabii wala Mtume wa Allah katika uso huu wa dunia ambaye hakuwa Muislamu.

Nakuacha na swali hili,Ibrahimu alikuwa ni dini gani au alikuwa anawafundisha watu nini ?
 
Hui ndiyo usahihi wa mambo,swahaba Umar hakujenga msikiti bali sehemu ya kusalia,sababu kulikuwa na hila iliyofanywa na mayahudi na wakristo. Lakini Masjid al Aqsa ndiyo kama alivyosema Ibn Taymiyyah (Allah amrehemu) . Sasa wewe pinga kwa hoja.
Yaani unataka nipinge hadith ya abunuasi, wakati historia ipo wazi hapo palikuwa na hekalu na lilivamiwa na waislamu

Waroma walijenga hapohapo hekalu kubwa kwa mungu wao Jupiter lililobomolewa baada ya ushindi wa Ukristo katika Dola la Roma.

Mara mbili kulitokea majaribio ya kujenga tena hekalu la Kiyahudi: mara ya kwanza chini ya Kaisari Julian Apostata, na mara ya pili wakati wa uvamizi wa Uajemi kwenye vita dhidi ya Bizanti mnamo 614 lakini majaribio yote yalishindikana.

Waislamu walipovamia Yerusalemu walikuta mlima wa hekalu kama mahali pa maghofu tu wakajenga hapo misikiti miwili: msikiti wa Al Aqsa pamoja na Kubba ya Mwamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…