Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

Uyahudi ni imani kama tu ukristo . Kwahyo sasa tofauti ni kwamba mtume Suleiman alitumwa kama mitume mengine katika zama zake kueneza utukufu wa Mungu. Lakini hawa mayahudi hawa wa zama hizi wengi wapo kwenye mfumo wa Zionism ambao ni wa kibaguzi
Sawa sasa wale wayahudi wasio wa zionism wao wako wapi, tamaduni zao zipo wapi.
Lakini pia mnakubari kuwa Yesu alikuwa myahudi ambae alitakiwa amtangaze muhamadi je ni mafundisho gani ya kiyahudi yanaonesha yesu alimtangaza muhamadi....
Ni kwanini historia ya uislamu ipo kimya kuhusu mwendelezo wa tamaduni yao ya uislamu pasipo kuhusisha tamaduni za kiyahudi mpaka miaka ya 600 CE..
Na je uyahudi ni imani tu na sio utaifa? Mbona mpaka quran yenu inatambua wayaudi kama jamii na sio imani pekee.... Nini taofauti kati ya waishmael na wa israeli... Sababu waisraeli ndo haoho wayahudiambao mpaka quran yenu inawatambua...
 
Ambapo ukiangalia muundo wake wa nje na ndani + mosaic and design ni kutoka Roman Catholic Church or Byzantine empire.

Most of Muslim hawajui hii historia na watakupinga sana ukimwambia kwa kuwa wamedanganwya na kulishwa vitu vingi vya uongo.

View attachment 1757085

Kilicho jitokeza ni nini?
Waislam wengi huupinga na kusema huu ni msikiti uliojengwa na Suleiman
🤣
🤣
🤣
ni vichekesho kidogo wengine wakasema umejengwa na Umar ibn Al-Khattāb ili mradi tu! Kupinga kuwa haukuwa kanisa before.

Na kitu wanacho changanya waislam wengi ni msikiti wa al aqsa na the dome of the rock
The dome of the rock sio msikiti msikiti ni al aqsa ijapokuwa hivi vitu viwili vipo karibu na eneo moja
hiyo ni kawaida ya waislam wengi kupinga na kupinga kwao si bure coz ni wamefundishwa vitu vingi na bila kujua kuwa mengine walidanganywa kwa manufaa ya viongozi wao bila wao kujua ni sumu walilishwa.

So tuangalie historia kidogo
Eneo hili ndipo palipokuwa hekalu la wayaudi na mara kwa mara waisrael walipokuwa wakivamiwa na kushambuliwa basi hekalu lilibomolewa basi miaka ikasonga mfalme Suleiman akajenga hekalu jipya kwa vipimo alivyopewa na Mungu

1 wafalme 6:1-38 likaanza kutumika miaka ikasonga mpaka akaja YESU kristo na kutoa utabiri huu
Marko 13:1-2
👇

Alipokuwa akitoka nje ya Hekalu, mmojawapo wa wanafunzi wake akamwambia, “Mwalimu, ona jinsi mawe haya na majengo haya yalivyo maridadi!” Yesu akamjibu, “Unayaona majengo haya yalivyo makubwa? Hakuna hata jiwe moja litakalobaki juu ya jingine, yote yatabomo lewa.”

Na utabiri huo ulitimia March mwaka 70 A.D baada ya kristo kufa na kupaa mbinguni, warumi waliuvamia mji wa Jerusalem na kulibomoa kabisa hekalu na kila kitu kilichomo ndani ya hekalu hakikubakia kitu Kama Yesu alivyotabiri/

So nashangaa waislam wanavyosema kuwa huo msikiti ulijengwa na Suleiman wakati hekalu alilojenga Suleiman lilishabomolewa na warumi mwaka 70 na lilikuwa ni hekalu na si msikiti remember that
🤣
🤣
🤣
🤣
🤣

So miaka ikasonga mnamo mwaka 310A.D ndipo dola la kirumi lilianza kugeuza uelekeo na kuwa la kikristo kamili ,mfalme Constatino na mama yake Herena walianza kujenga makanisa katika dola ya kirumi na ndani ya Jerusalem 313AD, kwa kipindi hiko na moja ya makanisa yaliojengwa ni pamoja na hilo

Msikiti wa al aqsa
Ilipofika mwaka 638AD Umar ibn Al-Khattāb aliuteka mji wa Jerusalem na kuukalia na kubadilisha mambo mengi ndani ya mji na moja vitu alivyo badirisha ni kanisa hilo na kujenga the dome of the rock but ilipofika mwaka 1100AD wakristo waliuchukua tena huo mji na kuukalia wakarudisha vitu vyao tena but ilipofika mwaka 1500AD Ottoman waliuchukua tena mpaka mwaka 1900AD, but kipindi cha katikati hapo Jerusalem hapakutulia palikuwa na mashambulio ya mara kwa mara baina ya Muslim na Christian na Jewish but ilipofika mwaka 1917 great British waliuchukua mji na kuukalia baada ya hapo ni mgawanyo wa mji mpaka leo

So tukirudi kwnye mada yetu ili jengo lilikuwaje?
Kama tunavyoona kwenye picha kapo chini
👇
muundo wa ujenzi na mosic, milango, madirisha, nguzo 100% ni mitindo ya makanisa hiyo haitoshi hivi karibuni kumegunduliwa mosic yenye takribani miaka 1700 ambapo ni mitindo ya Byzantine empire kwenye kudecorate makanisa na majengo yao miaka hiyo na imegunduliwa eneo moja wapo la msikiti so hii inatoa ushaidi tosha kuwa Byzantine or Roman empire walikuwa ndio wajenzi wa jengo hili na si vinginevyo.

So kwa waislam wote nawasihi kusoma histolia before hujadanganywa na viongozi wenu coz bila kujua na nyinyi mnaongozwa na mihemko kuliko akili.

View attachment 1757143
Umefafanua vizuri !
Hata haya mawe ukiyauliza yatasema yamejengwa na warumi !
 
Sawa sasa wale wayahudi wasio wa zionism wao wako wapi, tamaduni zao zipo wapi.
Lakini pia mnakubari kuwa Yesu alikuwa myahudi ambae alitakiwa amtangaze muhamadi je ni mafundisho gani ya kiyahudi yanaonesha yesu alimtangaza muhamadi....
Ni kwanini historia ya uislamu ipo kimya kuhusu mwendelezo wa tamaduni yao ya uislamu pasipo kuhusisha tamaduni za kiyahudi mpaka miaka ya 600 CE..
Na je uyahudi ni imani tu na sio utaifa? Mbona mpaka quran yenu inatambua wayaudi kama jamii na sio imani pekee.... Nini taofauti kati ya waishmael na wa israeli... Sababu waisraeli ndo haoho wayahudiambao mpaka quran yenu inawatambua...
Wayahudi wasio na itikadi ya zionisim wapo tena wapo huko Palestina na wengine wapo nnje ya mji huo pia. Wakati wa mzozo huu kushamiri 07 October mwaka jana. Mbona kulikuwa na video zina sambaa kuonyesha wayahudi wenye mji wao wakipigwa na askari wa israel.
Kitu watu wengi wasio kijua na kufuatilia ni kwamba waisrael wana watumia wakristo kama sehemu yao wa kuficha maovu lakini wasicho jua hata makanisa yanapigwa bomu na hao waisrael pia. Kuhusu tamaduni labda uwe specific unataka tamaduni gani sababu tamaduni zao zinajulikana wanafuga ndevu na pia wanavaa majoho au tuseme kanzu.
Tunakubali sana kuwa Yesu alikuwa Myahudi sio Yesu tu peke yake bali mitume mingi walikuwa mayahudi hata nabii Musa pia. Kilicho tokea ni injil yenu imechezewa. MTUME Mohammad SAW ameongelewa na Yesu AS lakini vitabu vya sasa hazisemi. Na weka video chini uangalie. Nime attach video tatu tofauti ku support hoja yangu ili wote tupate kuelimika.

Uislam ulikuwepo kabla ya Mtume Mohammad SAW. Hata Yesu pia alikuwa muislam. Neno uislam ni kujisalimisha kwa mwenyezi Mungu. Hiyo miaka 600BC ni zama alizo kuja Mtume wetu Mohammad SAW. Sababu mayahudi wengi ni wabishi na wahuni walimkataa Yesu AS na hata historia yake wakadiriki kuifuta baadhi ya vitu. Lakini alivo kuja Mtume Mohammad SAW. Amerudisha agano na Mungu katika uhai tena.

Uyahudi ni imani ndio na sio utaifa na ndio maana tuna sema kila muisrael ni myahudi lakini sio kila myahudi ni muisrael. Kwa maana hata wewe unaweza kuwa myahudi lakini sio muisrael. Hao wakina Netanyahu sio waisrael. Waisrael pure ni wale walioko Palestina. Ndio maana kuna wapalestina ambao ni waarabu alafu sio waislam ni wakristo. Na pia kuna wapalestina ambao ni wayahudi. Dini zote tatu chimbuko lake ni Pale Yerusalem.

Tofauti kati ya kizazi cha Ismail na kizazi cha Israel ni uzao wao tu. Mmoja kazaliwa na mama muarab kutoka Misri mwengine kazaliwa na mama myahudi. Lakini baba yao,ni mmoja ambaye ni Ibrahim AS au baba wa Iman.

Waisrael ambao wamesemwa na Quran kwa jina lingine watu wa kitabu. Wameongelewa sana katika Quran na pia wamelaaniwa sana.
Hao ndio wale walikatazwa kuvua samaki siku ya Jumamosi. Lakini wakawa wabishi wakapigwa laana na kuwa manyani. Lakini pia hawa ndio walio taka kumuua Yesu.
Kitu mnacho kosea wakristo wengi mnadhani bado hawa ndio taifa teule. Ukweli ni kwamba walikuwa taifa teule zama hizo sababu walikuwa chini ya kiongozi wao ambaye ni nabii wa Mungu.
Lakini sasa nabii wa mwisho au mtume wa mwisho ni Mohammad SAW ambaye amekuja kwa ajili ya waislam wote. Hapa ndipo mnapo kataa ukweli. Lakini video nilizo weka hapo chini zitasaidia kuwaelimisha. Ahsante
 
Attachments

  • islam_the_peace_religion-20240107-0001.mp4
    6.6 MB
  • forbidden_shorts44-20240107-0001.mp4
    3.6 MB
  • abrahmno_iron_100-20240107-0001.mp4
    5.6 MB
Ambapo ukiangalia muundo wake wa nje na ndani + mosaic and design ni kutoka Roman Catholic Church or Byzantine empire.

Most of Muslim hawajui hii historia na watakupinga sana ukimwambia kwa kuwa wamedanganwya na kulishwa vitu vingi vya uongo.

View attachment 1757085

Kilicho jitokeza ni nini?
Waislam wengi huupinga na kusema huu ni msikiti uliojengwa na Suleiman
🤣
🤣
🤣
ni vichekesho kidogo wengine wakasema umejengwa na Umar ibn Al-Khattāb ili mradi tu! Kupinga kuwa haukuwa kanisa before.

Na kitu wanacho changanya waislam wengi ni msikiti wa al aqsa na the dome of the rock
The dome of the rock sio msikiti msikiti ni al aqsa ijapokuwa hivi vitu viwili vipo karibu na eneo moja
hiyo ni kawaida ya waislam wengi kupinga na kupinga kwao si bure coz ni wamefundishwa vitu vingi na bila kujua kuwa mengine walidanganywa kwa manufaa ya viongozi wao bila wao kujua ni sumu walilishwa.

So tuangalie historia kidogo
Eneo hili ndipo palipokuwa hekalu la wayaudi na mara kwa mara waisrael walipokuwa wakivamiwa na kushambuliwa basi hekalu lilibomolewa basi miaka ikasonga mfalme Suleiman akajenga hekalu jipya kwa vipimo alivyopewa na Mungu

1 wafalme 6:1-38 likaanza kutumika miaka ikasonga mpaka akaja YESU kristo na kutoa utabiri huu
Marko 13:1-2
👇

Alipokuwa akitoka nje ya Hekalu, mmojawapo wa wanafunzi wake akamwambia, “Mwalimu, ona jinsi mawe haya na majengo haya yalivyo maridadi!” Yesu akamjibu, “Unayaona majengo haya yalivyo makubwa? Hakuna hata jiwe moja litakalobaki juu ya jingine, yote yatabomo lewa.”

Na utabiri huo ulitimia March mwaka 70 A.D baada ya kristo kufa na kupaa mbinguni, warumi waliuvamia mji wa Jerusalem na kulibomoa kabisa hekalu na kila kitu kilichomo ndani ya hekalu hakikubakia kitu Kama Yesu alivyotabiri/

So nashangaa waislam wanavyosema kuwa huo msikiti ulijengwa na Suleiman wakati hekalu alilojenga Suleiman lilishabomolewa na warumi mwaka 70 na lilikuwa ni hekalu na si msikiti remember that
🤣
🤣
🤣
🤣
🤣

So miaka ikasonga mnamo mwaka 310A.D ndipo dola la kirumi lilianza kugeuza uelekeo na kuwa la kikristo kamili ,mfalme Constatino na mama yake Herena walianza kujenga makanisa katika dola ya kirumi na ndani ya Jerusalem 313AD, kwa kipindi hiko na moja ya makanisa yaliojengwa ni pamoja na hilo

Msikiti wa al aqsa
Ilipofika mwaka 638AD Umar ibn Al-Khattāb aliuteka mji wa Jerusalem na kuukalia na kubadilisha mambo mengi ndani ya mji na moja vitu alivyo badirisha ni kanisa hilo na kujenga the dome of the rock but ilipofika mwaka 1100AD wakristo waliuchukua tena huo mji na kuukalia wakarudisha vitu vyao tena but ilipofika mwaka 1500AD Ottoman waliuchukua tena mpaka mwaka 1900AD, but kipindi cha katikati hapo Jerusalem hapakutulia palikuwa na mashambulio ya mara kwa mara baina ya Muslim na Christian na Jewish but ilipofika mwaka 1917 great British waliuchukua mji na kuukalia baada ya hapo ni mgawanyo wa mji mpaka leo

So tukirudi kwnye mada yetu ili jengo lilikuwaje?
Kama tunavyoona kwenye picha kapo chini
👇
muundo wa ujenzi na mosic, milango, madirisha, nguzo 100% ni mitindo ya makanisa hiyo haitoshi hivi karibuni kumegunduliwa mosic yenye takribani miaka 1700 ambapo ni mitindo ya Byzantine empire kwenye kudecorate makanisa na majengo yao miaka hiyo na imegunduliwa eneo moja wapo la msikiti so hii inatoa ushaidi tosha kuwa Byzantine or Roman empire walikuwa ndio wajenzi wa jengo hili na si vinginevyo.

So kwa waislam wote nawasihi kusoma histolia before hujadanganywa na viongozi wenu coz bila kujua na nyinyi mnaongozwa na mihemko kuliko akili.

View attachment 1757143
We mwenyewe umedanganywa umekuja kudangaya watu hapa🤣🤣🤣
 
Wayahudi wasio na itikadi ya zionisim wapo tena wapo huko Palestina na wengine wapo nnje ya mji huo pia. Wakati wa mzozo huu kushamiri 07 October mwaka jana. Mbona kulikuwa na video zina sambaa kuonyesha wayahudi wenye mji wao wakipigwa na askari wa israel.
Kitu watu wengi wasio kijua na kufuatilia ni kwamba waisrael wana watumia wakristo kama sehemu yao wa kuficha maovu lakini wasicho jua hata makanisa yanapigwa bomu na hao waisrael pia. Kuhusu tamaduni labda uwe specific unataka tamaduni gani sababu tamaduni zao zinajulikana wanafuga ndevu na pia wanavaa majoho au tuseme kanzu.
Tunakubali sana kuwa Yesu alikuwa Myahudi sio Yesu tu peke yake bali mitume mingi walikuwa mayahudi hata nabii Musa pia. Kilicho tokea ni injil yenu imechezewa. MTUME Mohammad SAW ameongelewa na Yesu AS lakini vitabu vya sasa hazisemi. Na weka video chini uangalie. Nime attach video tatu tofauti ku support hoja yangu ili wote tupate kuelimika.

Uislam ulikuwepo kabla ya Mtume Mohammad SAW. Hata Yesu pia alikuwa muislam. Neno uislam ni kujisalimisha kwa mwenyezi Mungu. Hiyo miaka 600BC ni zama alizo kuja Mtume wetu Mohammad SAW. Sababu mayahudi wengi ni wabishi na wahuni walimkataa Yesu AS na hata historia yake wakadiriki kuifuta baadhi ya vitu. Lakini alivo kuja Mtume Mohammad SAW. Amerudisha agano na Mungu katika uhai tena.

Uyahudi ni imani ndio na sio utaifa na ndio maana tuna sema kila muisrael ni myahudi lakini sio kila myahudi ni muisrael. Kwa maana hata wewe unaweza kuwa myahudi lakini sio muisrael. Hao wakina Netanyahu sio waisrael. Waisrael pure ni wale walioko Palestina. Ndio maana kuna wapalestina ambao ni waarabu alafu sio waislam ni wakristo. Na pia kuna wapalestina ambao ni wayahudi. Dini zote tatu chimbuko lake ni Pale Yerusalem.

Tofauti kati ya kizazi cha Ismail na kizazi cha Israel ni uzao wao tu. Mmoja kazaliwa na mama muarab kutoka Misri mwengine kazaliwa na mama myahudi. Lakini baba yao,ni mmoja ambaye ni Ibrahim AS au baba wa Iman.

Waisrael ambao wamesemwa na Quran kwa jina lingine watu wa kitabu. Wameongelewa sana katika Quran na pia wamelaaniwa sana.
Hao ndio wale walikatazwa kuvua samaki siku ya Jumamosi. Lakini wakawa wabishi wakapigwa laana na kuwa manyani. Lakini pia hawa ndio walio taka kumuua Yesu.
Kitu mnacho kosea wakristo wengi mnadhani bado hawa ndio taifa teule. Ukweli ni kwamba walikuwa taifa teule zama hizo sababu walikuwa chini ya kiongozi wao ambaye ni nabii wa Mungu.
Lakini sasa nabii wa mwisho au mtume wa mwisho ni Mohammad SAW ambaye amekuja kwa ajili ya waislam wote. Hapa ndipo mnapo kataa ukweli. Lakini video nilizo weka hapo chini zitasaidia kuwaelimisha. Ahsante
1. Hao wayahudi wasio wa zionism kama wapo hapo palestina je, wanauhusiano gani na sehemu inayopiganiwa na wapalestina wengine yaani hapo penye hekalu la suleiman au al aqsa?
2. Umesema kuwa mitume na mabii wengi walikuwa ni wayahudi.... Sasa dini yenu imetokana na ishmael na ikaja mpaka kwa mohamed ambae ni mwarabu... Je, mabii wakiarabu kutoka kwa ishmael mpaka kwa Mohamed wakowapi kama hawapo ni kwa nn?
3. Israeli kama taifa mwanzo wake ni upi? sababu hata maandiko ya historia za kale zinatambua israel kama taifa... Na je hao manabii wayahudi wakale uliowataja wao walikuwa taifa gani?
4. Kama a kila mtu anaejisalimisha kwa Mungu ni muislamu.... Basi wayahudi, wahindu, na dini zingine wote kwa tamaduni zao wako sahihi sababu abu kila mmoja anaamini amejisalimisha kwa Mungu...
Kwanini sasa uislamu unataka watu waslimu...? Hivyo huwenda Yesu hakuwa muislamu sababu tayari unakubali alikuwa ni myahudi ambayo nayo ilikuwa ni dini kama ulivyo sema na uislamu pia ni dini, kwa hio hata wakati wa Yesu uyahudi ulikuwepo na uislamu ulikuwepo, kwanini useme Yesu alikuwa ni mwislamu.?
 
Budha naye alikuwa muislam?
 
Code:
mama muarab kutoka Misri mwengine kazaliwa na mama myahudi.

Sarah hakuwa myahudi bali mturuki.

Mwanzo 28:

1 Basi Isaka akamwita Yakobo, akambariki, akamwagiza akamwambia, Usitwae mke wa binti za Kanaani.
2 Ondoka, uende Padan-aramu, mpaka nyumba ya Bethueli baba ya mama yako, ukajitwalie huko mke katika binti za Labani, ndugu wa mama yako.

10 Yakobo akatoka Beer-sheba, kwenda Harani.

HARANI NDIYO UTURUKI YA LEO.

Pili,uyahudi unatokana na mtoto wa nne wa Yakobo(Israel) Yuda.
Ni kizazi cha Yuda pekee ndicho kilicho zalisha wayuda na itikadi ya kiyahudi.
 
samahani kwa kutumia jina la Sarah maana sio sahihi kuhusu uzao wa Ismail.MAMA wa Nabii ismail ambaye jina lake ni Hajra/Hajira alikuwa Muarab tena toka Misri. unajua kwanini nakataa kuhusu uturuki. nchi ya uturuki ni kama kisiwa kina watu wa asili tofauti. kuna waarab humo kuna wa ajemi(iran) na pia kuna wazungu humo. pia ki geografia ipo Asia ila ipo bara la Asia.
 
sina elimu sana kuhusu mabudha lakini nauhakika dini kuu ni hizi 3 uyahudi, ukristo na uislam.
 
1. Hao wayahudi wasio wa zionism kama wapo hapo palestina je, wanauhusiano gani na sehemu inayopiganiwa na wapalestina wengine yaani hapo penye hekalu la suleiman au al aqsa?
2. Umesema kuwa mitume na mabii wengi walikuwa ni wayahudi.... Sasa dini yenu imetokana na ishmael na ikaja mpaka kwa mohamed ambae ni mwarabu... Je, mabii wakiarabu kutoka kwa ishmael mpaka kwa Mohamed wakowapi kama hawapo ni kwa nn?
3. Israeli kama taifa mwanzo wake ni upi? sababu hata maandiko ya historia za kale zinatambua israel kama taifa... Na je hao manabii wayahudi wakale uliowataja wao walikuwa taifa gani?
4. Kama a kila mtu anaejisalimisha kwa Mungu ni muislamu.... Basi wayahudi, wahindu, na dini zingine wote kwa tamaduni zao wako sahihi sababu abu kila mmoja anaamini amejisalimisha kwa Mungu...
Kwanini sasa uislamu unataka watu waslimu...? Hivyo huwenda Yesu hakuwa muislamu sababu tayari unakubali alikuwa ni myahudi ambayo nayo ilikuwa ni dini kama ulivyo sema na uislamu pia ni dini, kwa hio hata wakati wa Yesu uyahudi ulikuwepo na uislamu ulikuwepo, kwanini useme Yesu alikuwa ni mwislamu.?
wacha nijibu maswali yako kama ulivo uliza ili wote tupate kuelimika.
1. Hao wayahudi ambao sio wazayonist ni wazawa wa eneo hilo. Ndio maana watu wanasema wapalestina ndio waisrael wenyewe kwa sababu kiazazi chao kimeanza hapo zaidi ya miaka 100 iliyopita. hawajawa dispalced bibi na babu wamezaliwa hapo. toka kipindi cha Ottoman Empire walikuwa hapo sio wakristo sio waislam sio wayahudi baadhi walikuwa wakiishi pamoja ndani ya Palestina. Lengo la kupigani eneo hio ni kutokana na UWANZILISHI WA DINI ULIANZIA HAPO. Uislam tuna amini ulianza hapo kutoka kwa Nabii Ismael na vizazi vingine. hata Nabii Ibrahim amezikwa hapo.
2. Swali lako la pili nimekujibu kwa video inayo elezea family tree ya mtume Mohammad SAW.
3. Taifa la Israel limeanzia kwa Mtume Yakoub/ Yakobo mwana wa Isiaka mwana wa Ibrahim. pia kupitia hiyo video nimejibu maswali yako kadhaa. Unajua kwanini huyajui haya sababu dini yenu ina wazuia kutafuta elimu nnje ya box. mfano leo hii ukiona utata katika dini yenu utarudi kwa mchungaji ambaye huenda hajui chochote lakini ata kuzonga hivo hivo bila kukupa majibu. lakini katika uislam huwezi kumburuza mtu. unaweza kuwa ni imam au sheikh lakini ukikosea tuna kuchana. haya tuendelee na swali la nne.
4.Unajisalimisha kwa Mungu yupi? Una muita YESU Mungu ndio ujisalimishe kwake? Una abudu miungu au masanamu kama wale wahindi sijui ndio mabudha ndio useme uislam huo. kwani kisa na Nabii ibrahim kuvunja masanamu hamkusoma au kufundishwa katika vitabu vyenu?

"Hivyo huwenda Yesu hakuwa muislamu" ni muislam ndio na walio taka kumsulubisha ni wayahudi walio upinga uislam. tofauti ya uislam za waza za Yesu au Nabii Issa na zama za Mtume Mohammad SAW ni matendo ya uislam. mfano kuswali swala tano ilikuwa haipo enzi za Yesu. ilikuwepo kufunga , kutoa zaka, kuamini Mungu ni mmoja na nguzo nyengine za uislam.
nikuelimishe kidogo kuhusu hizi dini wayahudi walitaka ku sulubisha Yesu sababu walikataa ujumbe wa Injil. kwa sababu wayahudi wana muamini Nabii Musa.
Nabii Musa alikuwa myahudi na alikabidhiwa kitabu cha taurat. amri kumi za Mungu na ndio ali waahidi atawapeleka wa israel kwenye nchi ya ahadi.
mtume Mohammad SAW ndio mtume pekee na wa mwisho kuja au kuletwa katika zama zijazo mpaka kiama kitapo simama. sababu lengo la Mwenyezi Mungu lime timia. Ndio maana uislam umecover kila idara unayo ijua wewe na Quran tukufu ni kitabu kisicho kuwa na shaka ndani yake. Karibu tena mpaka tufike kwenye makubaliano sahihi. Ahsante
 
Attachments

  • MUHAMMAD SAW Generation.mp4
    5.3 MB
  • Family_tree_of_Muhammad.pdf
    Family_tree_of_Muhammad.pdf
    242.2 KB · Views: 3
  • islamic-family-tree_.png
    islamic-family-tree_.png
    160.3 KB · Views: 7
sina elimu sana kuhusu mabudha lakini nauhakika dini kuu ni hizi 3 uyahudi, ukristo na uislam.
Dini zipo nyingi ni bora utafute maarifa zaidi, Kuna Africa Traditional Religion,Shinto, Taoism,Hinduism,Zeroastrianism,Jainism,Sikhism, Rastafarianism nk

Kuna umuhimu wa watu kusoma Comperative Religions,ili kuondoa mitazamo hasi juu ya uwepo dini mbalimbali,kwa kuelewa utofauti na mfanano.
 
Sasa maarifa kuhusu hizo dini nyengine ambazo zina wafuasi wachache zinafaida gani mimi kujua.
Maana Afrika babu zetu kabla ya kuja dini walikuwa wakiabudu mizimu.
Unajua hizo dini ulizo zitaja hazina maana kwa sasa. Ni sawa na kusema kutumia usafiri wa gari moshi wakati sasa kuna usafiri mzuri wa reli ya kasi.

Dini zilizo letwa na mitume ndio dini sahihi na umepewa room ya kujifunza na kujua ukweli wa dini sahihi ni ipi.

Hizo dini zinazo bagua au kutaka watu wafuge rasta au wavae nguo fulani tu. Inapoteza sifa za dini ya kweli. Hizo dini nyengine hazina umuhimu sababu dini sahihi zipo na mtu ukifa bila kufuata dini sahihi kisa kiburi chako au ujuaji tu au hoja isiyo na mashiko baaas. Jiandae siku ya mwisho tutapo hesabiwa.
 
Kama umejipa haki ya kuto fuatilia dini sababu ya wafuasi wachache ndivyo hivyo wenye dini hiyo ana haki ya kutofuatilia dini yako kwa kigezo cha idadi.

Umeisoma na kuilewa Africa traditional Religion (ATR) iko katika misingi gani?

Unasema Babu zetu waliabudu mizimu kulingana na mafundisho gani ? Ambayo ni ushaidi kwamba waliabudu mizimu?

Unasema dini zilizo letwa na mitume ndo dini za ukweli kwa kigezo gani? Na upi ni usahihi wa dini na upi sio usahihi wa dini?

Tuseme dini kuwa na taratibu au mfumo fulani mfano wa kimavazi kwa waumini au wafuasi wake inapoteza sifa ya kuwa dini ya kweli ?
 
Sasa maarifa kuhusu hizo dini nyengine ambazo zina wafuasi wachache zinafaida gani mimi kujua.
Maana Afrika babu zetu kabla ya kuja dini walikuwa wakiabudu mizimu.
Unajua hizo dini ulizo zitaja hazina maana kwa sasa. Ni sawa na kusema kutumia usafiri wa gari moshi wakati sasa kuna usafiri mzuri wa reli ya kasi.

Dini zilizo letwa na mitume ndio dini sahihi na umepewa room ya kujifunza na kujua ukweli wa dini sahihi ni ipi.

Hizo dini zinazo bagua au kutaka watu wafuge rasta au wavae nguo fulani tu. Inapoteza sifa za dini ya kweli. Hizo dini nyengine hazina umuhimu sababu dini sahihi zipo na mtu ukifa bila kufuata dini sahihi kisa kiburi chako au ujuaji tu au hoja isiyo na mashiko baaas. Jiandae siku ya mwisho tutapo hesabiwa.
Nyingine na si nyengine usituharibie lugha wee mwarabu koko wa busisi
 
1. Kama wote walikuwepo hapo kwa nn wanagombania eneo la al aqsa au solomon's temple.... Unasema hawakuwahi kuhamishwa je una fahamu historia juu ya kuvunjwa kwa hekalu la yerusalemu mwaka 70 AD? Je ni nini kilwakuta wayahudi?

2. Sasa mbona hao manabii wa kutokea upande wa Ishmael hamuwatumii katika kuonesha mtitiriko wa dini ya kiislamu ila mnatumia manabii wenye asili ya israel katika konesha muendelezo wa dini ya kiislamu. Je wao walifanya kitu gani cha kukumbuka katika uislamu kama dini.... Na hapo tayari unakubali wengi wa manabii kama suleiman, Daud, ayub wote hao walikuwa wayahudi, sasa kwanini hawa wayahudi tu ndo wanaonesha lineage ya uislamu?
3. Kama manabii wengi wakubwa katika uislamu pia walikuwa ni waisrael... Sasa hawa wanauhusiano gani na wale Ishmael ambao ndio chimbuko la uislamu?

4. Wewe siunasema Yesu alikuwa mwislamu na uislamu ni Dini... Na pia unakubali kuwa Yesu alikuwa ni myahudi na umeshasema kuwa uyahudi ni Dini je, Yesu huyo huyo alikuwa myahudi na muislamu kwa wakati mmoja? Kama sio kwann useme kuwa kila anaemwamini Mungu ni mwislamu.... Je Mungu yupi Yesu alimwamini Je ni ALLAH au ni YAHWEH(jehovah) ambae ni Mungu wa Israeli au wayahudi?

Nyongeza.. ; Kabla ya Muhammad, kabila lake la wa quraish waliabudu Mungu yupi? Sababu historia inasema kuwa walikuwa na miungu yao mingine tofauti na huyo Allah na wala hawakuwa waislamu....
 
Na huo Uongo waliolishwa Waislam ndio unaowagharimu Wapalestina!
 
Kama kawaida yangu wacha nikuelimishe tena
1. Inapo tokea vita lazima itokee misplacement ya vitu au watu. Kwa maana kuna ambao wata bahatika kukimbia au kuwa mateka na wengine wata bahatika kusalia katika eneo hilo kwa sababu wanaonekana sio threat.
Wayahudi wengi wapo kwenye nchi za kislam sababu walikuwa hawafanyiwi hila, kuuliwa tofauti na walivo kuwa kwenye mataifa ambayo sio ya kiislam. Pia sababu kubwa ya wayahudi kuuliwa na Hitler ni kutokana na idadi kubwa ya wao kuleta usaliti kwenye vita ya kwanza ya dunia na kupelekea Germany kushindwa vibaya. Hitler alivo pata nguvu kwenye vita ya pili ndio akawa ana wachinja tu kila siku. Kwahyo tukija kwenye hiyo historia ya kuvunjwa Kwa hekalu au Mskiti wa Al Aqsa na kutokea vita. Kuna ambao wali hama na kuna ambao wapo. Kama sasa hivi vita inayo pigwana huko Palestina kuna ambao wamehama na kuna ambao bado wapo. Mimi naongelea ambao hawaku hawa. Wamezaliwa kwenye vita na kufa kwenye vita. Hata leo kuna wayahudi ambao ni wazawa wa Pale na sio hawa wakina Netanyahu ambao wazaliwa ulaya na kwenda kuishi Palestina?
Hata Zionist wengi ni machotara sio wazaliwa asili kwa maana baba myahudi na mama myahudi. Wengi wamechanganya. Kwahyo uki niiliza kili wakuta nini wayahudi narudia kusema wayahudi walikuwa misplaced tena kwa idadi kubwa na Utawala wa Roman empire unahusika pia kuwa swaga waisrael kwenda kwenye nchi za watu. Utawala wa Ottoman uka wasitiri mpaka pale vita ya kwanza ya dunia.

2. Manabii kutokea upande wa Ismael ni wawili tu. Ismael peke yake na Mohammad SAW. Kwahyo vizazi vilivo fuata bana ya Ismael walikuwa watu wa kawaida na hawakupewa utume. Ukisema manabii wenye Asili ya Israel unakosea sababu uisrael umeanzia kwa Mtume Yakobo nadhani. Nabii Ibrahim haku anzisha kizazi cha Bani Israel. Usibabaike sana na kizazi cha Israel au wayahudi. Ukiona mtume ameletwa katika jamii fulani tambua fika hicho kizazi ndio kinacho ongoza kwa kufanya ubadhirifu katika jamii. Haya mambo ya ushoga wameanza hao majamaa huku Afrika kulikuwa hakuna hizi tabia. Hebu fikiria kizazi cha lutu mpaka mkewe kamkataa mtume unafikiri ni jambo dogo. Jamaa ni washenzi sana ndio maana waliletewa mitume. Huku Afrika mitume wengi hawaja wahi kufika lakini tuna amini. Tuendelee, unaposema wao walifanya kitu gani kukumbuka uislam kama ni dini. Family tree ya mitume inakufundisha nini? Hiyo ni asili ya vizazi vyao na ndio maana tunasema hakuna mtume Mnyakyusa au Mwanamke sababu wote wana toka Generation moja mzee baba. Uislam ni asili na kinacho tofautiana ni matendo tu. Uislam wa sasa ni wa kuswali swala tano. Ila wa zama za Nabii Musa au Yesu kulikuwa hakuna kuswali swala tano. Ilikuwa una sujudu chini na matendo mengine ya ibada. Hivi nikuulize huyo Yesu wenu alikuwa akiimba nyimbo za kumtukuza Mungu? Ukielewa concept yangu moja kwa moja utagundua hata huyo Yesu mnaye sema ni Mungu haimake sense.

3. Sisi waislam hatu waitii hao manabii Waisrael tuna waiba Banu Israel kwa maana kizazi cha Yakoub/Yakobo. Kwa sababu kimeanzia kwa Nabii Yakoub kuja mpaka kwa Issa bin Mariam au Yoshua ambaye nyingi mna muita Yesu kwa kiswahili na Jesus kwa Engish. Sasa uki niuliza wana uhusiano gani na waislam wakati nimesha kuelezea kwa mchoro bado unaendelea kukaza fuvu sijui unataka nitumie njia gani kukueleweshe rafiki yangu. Labda kama una hoja ya ushahidi mwengine kupinga hiki nilicho kieleza lakini unacho pinga wewe ni uelewa. Ni sawa na kusema 1+1=2 na nimekuelezea hii 2 tunaipata vipi. Kama unaona 2 sio jibu sahihi leta wewe solution ya kwanini 1+1 sio mbili na si kukataa tu bila sababu. Hili swali lako halina mashiko umerudia swali na majibu nitayo kupa nimesha kujibu.

4. Ndio Yoshua alikuwa Muislam na Uislam ni dini ya haki na haina shaka ndani yake. Yesu alikuwa myahudi ndio kwa maana amezaliwa katika uyahudi. Kuwa myahudi sio mpaka ufanye practice za uyahidi. Kuwa wayahudi wakristo pia unafahamu hilo. Kuwa wayahudi waislam pia na kuna wayahudi ambao ni wazayuni ambao hawa ndio waharibifu.

Kila Muisrael ni myahudi. Lakini sio kila myahudi ni muisrael. Kupitia hii statement unaweza kuelewa. Ngoja nikuelezee. Netanyahu ni myahudi lakini sio muirael. Kazaliwa Dermark huko kwa wazungu. Ana uisrael gani? Mhuni tu yule. Ukisema kila anaye Muamini Mungu ni muislam tuweke sawa kidogo. Kila anaye muamini Allah ni muislam hii imekaa sawa. Maana neno Mungu linaweza leta ukakasi kidogo. Mungu aliye Muamini Yesu ni Allah pekee sababu Allah ndio Mungu wetu sote wanadamu. Yeye ndiye aliye watuma mitume wote ulimwenguni. Mungu wa Israel, Mungu wa Daudi, Mungu wa Wayahudi ndio Allah. Pia kuhusu kizazi cha Banuu Israel kimesha sambaratika na hao mna wasoma katika biblia wa zama hizo za zamani sio hizi sasa. Ufalme ulikuwepo enzi wa mitume lakini mitume washapita na karne zimesha enda na waliobakia ndio hawa washenzi wa dunia walio leta biashara ya kamari, umalaya, pombe na ushoga.

Kwenye Nyongeza,
Kabla kuzaliwa Mohammad SAW kwenye hilo kabila la Quraishi walikuwa wakiabudu miungu kwa maana masanamu. Walikuwa wakitengeneza sanamu kwa tende na kufanya Mungu wao. Njaa zikiwa kali wana chomoa vipande wanakula. Tuseme tu mpaka sasa kuna watu hawa amini kuwa dini zipo wengine wanasema tumeletewa na wazungu wengine wanasema ni uongo stori zipo nyingi.

Ila ukweli ni kwamba Mitume inaletwa kwenye ulimwengu huu pindi jamii fulani au kizazi fulani linapo kithirisha kufanya maovu katika jamii ndio mtume anakuja. Toka zama za Issa bin Mariam zaidi ya miaka 500 ndio amekuja Mtume Mohammad SAW. Uzuri ni kwamba ujio wa mtume Mohammad SAW ulitabiriwa kwenye maandiko na Injil ya Yesu. Sema kinacho tokea kuna washenzi wana futa huu ukweli. Hata Mtume Mohammad SAW ametajwa katika biblia. Sio hii ya kiswali ile Original scripture yenye maandishi ya ki Hebrew.
Ahsante na karibu tena
 
Attachments

  • l1xkr3hd8hm71.jpg
    l1xkr3hd8hm71.jpg
    488.9 KB · Views: 6
  • th.jpg
    th.jpg
    47.5 KB · Views: 7
  • th (5).jpeg
    th (5).jpeg
    32.7 KB · Views: 6
  • th (1).jpeg
    th (1).jpeg
    59.5 KB · Views: 5
  • th (3).jpeg
    th (3).jpeg
    36 KB · Views: 6
  • th (2).jpeg
    th (2).jpeg
    49.7 KB · Views: 6
  • th (2).jpg
    th (2).jpg
    58.4 KB · Views: 6
  • th (6).jpeg
    th (6).jpeg
    32 KB · Views: 6

Back
Top Bottom