Mimi 850,000/= ningeifanyia hivi:
1. Ningeamia sehemu 150,000/= hafu nitakeep a car, ila nikiamia 250,000/= am ditching a car, unless nina biashara nyingine ambayo gari ni muhimu.
2. Wazazi na ndugu, michango ya ndoa, kila kitu ndio 100,000/= kwa mwezi.
3. Kula 300,000 kwa mwezi.
4. Gari NO.
5. Kusema kweli savings uwongo. Labda ukatwe moja kwa moja kwenye mshahara ila kuweka mwenyewe uwongo. Badala ya saving ningefungua kijiwe.
6.BILLS za Maji, umeme, takataka, ulinzi wa mtaani, etc 50,000/=
7. Mavazi, saloon, Msfuta, sabuni etc 100,000
8. Starehe 100,000/=
Hope imezidi kidogo au imepungua kidogo...
Faida za kuacha gari:
Mafuta kadiria elfu 10 kwa siku.
Kuosha elfu 20 kw mwezi.
Service
Emergency kama ajali trafic
Parking za Mlimani na unapolala
Kuonekana una hela wkt kawaida
Mademu kusema nipeleke sehemu
Etc etc
Sikushawishi lakini nina mwezi wa 2 tokea niuze gari naona mabadiliko flani. Sio kwamba halina faida, zipo nyingi sanaa, ila nasikilizia kidogo. Kama Fap challenge.. [emoji1787][emoji1787]