Wajue Mapepo katika maumbo ya Wanadamu

Kwa nini yasitoshe kwa Mungu muweza wa yote?
 
uzao qa adam hakuwa kaini na abel peke yake alizaa wana waume na wake sio hao wa3 peke yao na ndio watu hao ambao wanazungumzwa hapo kaini alioa dada yake. Adam aliish miaka 950 akazaa wana na binti soma mwanzo 5 vizur .....story ya mapepo kuzaliwa haipo kwenye biblia n ya kutunga kama ya lilithi tuu....ety jini (pepo( azaluwe ww unayajua maoepo unayasikia?? jini au pepo azaliwe ??
 
Naweza kukutana au kuonana na hao viumbe na mimi niwaulize haya maswala uliyoyazungumza hapa, alafu nisikie majibu yao
 
Naweza kukutana au kuonana na hao viumbe na mimi niwaulize haya maswala uliyoyazungumza hapa, alafu nisikie majibu yao
Watafute waliotajwa, hojia a nao,

Kwa usiowafahamu Walio karibu Yako,

Ukiwa katika Hali Yako ya upofu, huwezi wagundua,

Pata kuona kwanza.
 
Soma Luke 3:7
 
Kama lipo andiko kwa biblia linathibitisha mapepo walizaa na wanadamu naomba nilijue mkuu nizidi kujifunza.

Nijuavyo mimi mtu(spirit) ametokana na Creator of universe(God). Na hizo mapepo ni roho zilizokuwepo hata kabla ya kufanyika kwa mtu.

Mtu alifanyika kwa mwili wa mavumbi ili aweze kuendana na nature ya ulimwengu ambao ulikuwa umeinjiniwa kwa neno. Yaani kusema duniani mapepo wanazaana na wanadamu. Ni kusema vitu viwili vyenye source 2 tofauti vitengeneze uzao, halafu uzao u manifest katika muonekano wa source ya upande mmoja.

Navyoelewa mimi hizo pepo zina uwezo tu wa kuiteka nafsi ya mtu na wakatimiza malengo kupitia huyo mtu ila hawana uwezo wa kuendeleza uzao katika mwili.

Huo uwezo hawana, ningependa unielezee source ya hao pepo ni nini, nipo tayari kujifunza.
 
Mkuu kuwapinga tu , na wewe ni pepo ama unatumika na mapepo🤣
Mimi sio pepo mimi ni mwanadamu niheshimiwe kama mwanadamu

Haiwezekani ukasema eti mimi ni pepo nilie na umbo la mwanadamu eti mungu kakuonesha

Huyo mungu ni mshenzi anachonganisha watu na analeta chuki kati ya wanadamu na ni muongo wa kusingizia watu
 
Soma (Ezekiel 28:1-19).

Halafu uniambie mwanadamu huyo anayeongelewa hapo ni nani.
 
Soma (Ezekiel 28:1-19) Kisha uje useme binadamu aongewaye pale ni aina Gani?
 
Sio inawezekana wamo JF. NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA KUWA WAMO TENA WENGI. Ndio Hawa wanaopinga kila kitu kuhusu Mungu.
Kuhusu wanaopinga kuwa Mungu Yupo, naamini mambo mawili:
1. Kuna wanaopinga kwa sababu tu wanafuata mkumbo. Hawajui wanachokifanya.

2. Kuna wanaopinga wakiwa wanajua fika kuwa wanapinga kwa lengo la kuwapotosha "wajinga".
 
Nafikiri kuna typing error hapo juu. Nafikiri ulitaka kuandika Sodoma ukajikuta umeandika Dodoma.
 
Ni kweli na mara nyingi walipoonekana kwa wanadamu hata sasa wanajifunua kama wanaume vijana wenye umri wa 20's
Kuna ushuhuda wa mtumishi mmoja aliyewahi kutokewa na malaika Gabriel zaidi ya mara moja. Anasema mwonekano wake ni kama kijana wa miaka 25.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…