Wajue Masupasta 10 waliofariki kwa ugonjwa wa UKIMWI

Wajue Masupasta 10 waliofariki kwa ugonjwa wa UKIMWI

wana bahati mbaya sana walifariki kabla ya maendeleo makubwa katika utabibu uliopelekea ukimwi kutoogopwa tena kama inavyoogopwa ebola na cancer.

Magic Johnson anadunda mpaka sasa tangu early 90's.

Ukimwi unatisha japokuwa ebola ndo mwisho wa mchezo
 
Zamani mtu akiwa na ukimwi unajua kabisa na watu walikuwa wanakufa wamekonda vidonda kibao, ila siku izi mtu anakufa na ngoma akiwa mzima na mwenye afya sijui ndo globalization au mambo ya digital

Acha tu.Kuna mama mmoja alikua anaugua ngoma enzi hizo niko mtoto nakumbuka alikufa 1999, aisee watu walizika mifupa tu!
 
Acha tu.Kuna mama mmoja alikua anaugua ngoma enzi hizo niko mtoto nakumbuka alikufa 1999, aisee watu walizika mifupa tu!

SIku izi magonjwa yanalipuka mengi, washukur izo dawa za kupunguza makali ya ukimwi, maana wangeumbuka wengi, mtu anajishaua kufanya mazoezi na kula vizur kumbe tayari... bongo movie ndo mmh hatari, huyu mjane kijana nae nasikia kaukwaa
 
Hujui mambo ya kuchakachua yanasababishwa na unyanyapaa

Kuna jirani yetu apa mdada tu kaolewa na mzee, wote ni waathirika wa ukimwi, na wanasema kabisa, wanatumia dawa na kufanya mazoezi, wanaishi vizur tuh, yani mimi nijijue nimeukwaa then nijitangaze big no
 
Hahahaaa,tutapigwa ban wengi sana.
Si ajabu zikawa life ban kabisa.Hata hivyo kukata mzizi wa fitna mtu mwenye uhakika 100% kwamba anao mastar 10 aandike waraka tutumiane pm basi.

Poa naiandaa sasa hivi
 
SIku izi magonjwa yanalipuka mengi, washukur izo dawa za kupunguza makali ya ukimwi, maana wangeumbuka wengi, mtu anajishaua kufanya mazoezi na kula vizur kumbe tayari... bongo movie ndo mmh hatari, huyu mjane kijana nae nasikia kaukwaa

Acha tu kwa jinsi mambo yalivyo huko bongo movie na tasnia ya muziki kiujumla hali ni mbaya sana.
 
Back
Top Bottom