Amalinze
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 6,780
- 5,305
- Thread starter
- #61
Nilifungua uzi nikijua ni wa tz..
Pamoja na dawa za kupunguza makali na huduma mbali mbali za afya.. bado ukimwi ni tishio na unatesa wengi
usiombe umpate mtu wako wakaribu..usikie kwenye tv
Sure Mkuu hiyo kitu si mchezo labda uwe Carrier ndio hautoona madhara yake sana.