Wajue Masupasta 10 waliofariki kwa ugonjwa wa UKIMWI

Wajue Masupasta 10 waliofariki kwa ugonjwa wa UKIMWI

Hii ni list ya Bongo

B Jiwe

Me B

Yule muimbaji wa nyimbo za injili


Ukipata virusi leo baada ya miaka 4 ukafa basi utakuwa ulipenda kufa. ARVs zimesaidia wengi usione wamevaa mawigi..
 
Ril Wayne pia nae alishawahi kujitangaza kuwa ni muathirika Wa ukimwi,SAA cjui ndio alikuwa anatafuta kick au laa
 
kevin peter hall wa predator aliongezewa damu yenye virusi kimakosa hospitalini
 
wana bahati mbaya sana walifariki kabla ya maendeleo makubwa katika utabibu uliopelekea ukimwi kutoogopwa tena kama inavyoogopwa ebola na cancer.

Magic Johnson anadunda mpaka sasa tangu early 90's.

Hahahaaa,wewe chizi huo ujinga wako ulionitumia pm nimeishia tu kuvunjika mbavu zangu!

kwa imani yako bob si nabii, ila kwa imani yangu mimi bob ni nabii

Inaonekana huyo jamaa hajui kuwa kuna dini ya kirasta na marasta wanaenda kuhiji semshamane ethiopia........mwambie atafute kitabu kinaitwa rastaman resistance ataijua vizuri hii imani ya kirasta
 
Jaman naona watu mnaitaja ngoma sana hata kama hauja kwan utaishi milele kama jiwe kila binadamu aliyezaliwa na mwanamke ataonja mauti kwa wale wa kristo wenzangu huwez kwenda kwa Mungu bila kuonja mauti futen msemo wa kusema mnamngoja kristo lazima uwonje mauti ndiyo upate kumuona sisi wote n marehemu watarajiwa
 
SIku izi magonjwa yanalipuka mengi, washukur izo dawa za kupunguza makali ya ukimwi, maana wangeumbuka wengi, mtu anajishaua kufanya mazoezi na kula vizur kumbe tayari... bongo movie ndo mmh hatari, huyu mjane kijana nae nasikia kaukwaa

Tofauti ya sasa na kipindi cha nyuma ni muda wa kuugua tu yaani inachukua muda mfupi kummaliza muathirika tangu apate maambukizi, sasa hivi muda wa kuishi umeongezeka ila dalili ya mwisho ni ile ile tu na madawa ya kurefusha maisha ARV's yana madhara makubwa ndio maana unakuta kuna waathirika wanakufa na magonjwa ya moyo au saratani ambayo yanatokana na madawa ya kupunguza makali ya AIDS.

Ukimwi ni hatari sana.
 
Back
Top Bottom