TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604
Eazy hakumtoa Dre.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bob malley, lwambo makiadi hawakujitangaza tu lkn ngoma!
Mmmmh,kanombo si ilikua ajali ile jamani?
Ukiweka Haipiti hata dakika sifuri Mods wanafanya yao...Labda tutaweke List ya Wasanii wa Bongo waliofariki kwa Ugonjwa wa Moyo na Kifua.
Uongo bana Us hakuna ngoma����������
Hilo nenooo,ngoja nimuambie shemeji yako tukapime na sisi.
Ila kwani sie wambea tunapataga ukimwi? Mi nadhani jukwaa la MMU ndo kutakuwa na waathirika wengi maana kule kutwa wanawaza ngono tuuu, sisi uku umbea masaa 24 ukimwi unatokea wapi? Ahahahahahah sitaki bifu na kina mwafulani
Hahahaaa,na ile autobiography iliyowekwa kule hali ni mbaya kwelikweli.
Binamu UKIMWI hauchagui jukwaa maana hao wa huko MMU hua wanakuja na huku celebrities pia.Kwahiyo chondechonde binamu asije mbebez akakuzimia kisa haya maubuyu yako na wewe ukaingia kichwa kichwa tutakukosa hivihivi. ..
Ohooooo.
Nilikua nasikiliza VOA siku moja wakieleza historia ya Bob Marley wakasema wazi alifariki kwa HIV
Eazy hakumtoa Dre.
Nilikua nasikiliza VOA siku moja wakieleza historia ya Bob Marley wakasema wazi alifariki kwa HIV
Kuna mtu mmoja alikua na nguvu sana hapa TZ.tulitangaziwa kaondoka kwa kansa ya damu lkn ilikua ngoma pia. Nikimtaja sitaeleweka hata kidogo na wa Tz na naweza kutiwa selo. Ngoja tu nipotezee!
Nafahamu hilo Chief, ila Dre alikuwa already made kiaina, jamaa alianza kuwa DJ (ukicheki BET Hip-hop Awards '06, G-Master Flash anampa shout-outs Dre as a DJ), affiliated with World-class Wreckin' Crew. If anything, Dre ndio alichangia kwa kiasi kikubwa mafanikio ya N.W.A. Yella na Cube wali-join kwa sababu yake.Mkuu Eazy-E alim-sign Dr.Dre kwenye Label yake ya Ruthless Record baada ya kumuachia ndio akenda na Suge Knight kwenye Death Row Records.N.W.A ilundwa baada ya Dr.Dre na Ice Cube kuwa Signed na Ruthless Record iliyomilikiwa na Eazy-E.
Haya bwana.Mimi nasubiri list ya masuper star wa Tanzania waliofariki kwa UKIMWI!
Nafahamu hilo Chief, ila Dre alikuwa already made kiaina, jamaa alianza kuwa DJ (ukicheki BET Hip-hop Awards '06, G-Master Flash anampa shout-outs Dre as a DJ), affiliated with World-class Wreckin' Crew. If anything, Dre ndio alichangia kwa kiasi kikubwa mafanikio ya N.W.A. Yella na Cube wali-join kwa sababu yake.