Kuna mtu mmoja alikua na nguvu sana hapa TZ.tulitangaziwa kaondoka kwa kansa ya damu lkn ilikua ngoma pia. Nikimtaja sitaeleweka hata kidogo na wa Tz na naweza kutiwa selo. Ngoja tu nipotezee!
wana bahati mbaya sana walifariki kabla ya maendeleo makubwa katika utabibu uliopelekea ukimwi kutoogopwa tena kama inavyoogopwa ebola na cancer.
Magic Johnson anadunda mpaka sasa tangu early 90's.
Wanaofariki kuanzia 2000 ni kifua na presha
Haya bwana.Mimi nasubiri list ya masuper star wa Tanzania waliofariki kwa UKIMWI!
Mmmh hiyo wasiitoe kwa kweli
MArehemu kanombo,
Zamani mtu akiwa na ukimwi unajua kabisa na watu walikuwa wanakufa wamekonda vidonda kibao, ila siku izi mtu anakufa na ngoma akiwa mzima na mwenye afya sijui ndo globalization au mambo ya digital
Mmmmh,kanombo si ilikua ajali ile jamani?
Acha tu.Kuna mama mmoja alikua anaugua ngoma enzi hizo niko mtoto nakumbuka alikufa 1999, aisee watu walizika mifupa tu!
Ahahaha kwa nini? Kama sijakuelewa
Hujui mambo ya kuchakachua yanasababishwa na unyanyapaa
Hahahaaa,tutapigwa ban wengi sana.
Si ajabu zikawa life ban kabisa.Hata hivyo kukata mzizi wa fitna mtu mwenye uhakika 100% kwamba anao mastar 10 aandike waraka tutumiane pm basi.
Mmh!! Na mimi nikapime kwanza sio kuwanyooshea watu kumbe na mimi ndo wale wale hahaha hah
Hahahaaa,tutapigwa ban wengi sana.
Si ajabu zikawa life ban kabisa.Hata hivyo kukata mzizi wa fitna mtu mwenye uhakika 100% kwamba anao mastar 10 aandike waraka tutumiane pm basi.
Poa naiandaa sasa hivi
SIku izi magonjwa yanalipuka mengi, washukur izo dawa za kupunguza makali ya ukimwi, maana wangeumbuka wengi, mtu anajishaua kufanya mazoezi na kula vizur kumbe tayari... bongo movie ndo mmh hatari, huyu mjane kijana nae nasikia kaukwaa
Mmh!! Na mimi nikapime kwanza sio kuwanyooshea watu kumbe na mimi ndo wale wale hahaha hah