Tofauti ya sasa na kipindi cha nyuma ni muda wa kuugua tu yaani inachukua muda mfupi kummaliza muathirika tangu apate maambukizi, sasa hivi muda wa kuishi umeongezeka ila dalili ya mwisho ni ile ile tu na madawa ya kurefusha maisha ARV's yana madhara makubwa ndio maana unakuta kuna waathirika wanakufa na magonjwa ya moyo au saratani ambayo yanatokana na madawa ya kupunguza makali ya AIDS.
Ukimwi ni hatari sana.
Trick dady, Trina, 5O Cent, Brand, rihana, chriss brown na sababu kubwa ya rihana kupigwa na chris kumuambukiza ugonjwa wa zinaa, lil wyne, Naomi campbell, Naj benaisa, na wengine wengii tu wanatumia madawa ya kulevya kupoteza mawazo wanadai ila karibu wasanii wote america na bongo wameshaumia...kuwa mwangalifu Bongo ni balaa nikianza wataja hapa
Haya bwana.Mimi nasubiri list ya masuper star wa Tanzania waliofariki kwa UKIMWI!
Katika mastaa wote Mimi ninayemkubali hapo ni fela Ransome anikulapo kuti. Jamaa kwanza alijipa jina la anikulapo meaning "He who carries death in his pouch", with the interpretation: "I will be the master of my own destiny and will decide when it is time for death to take me". Jamaa ni wakishua because mjomba wake tu ni nobel prize laureate mzee wole Soyinka.
then alipelekwa chuo Landon kusomea udaktari jamaa alikacha udaktari akasomea muziki. Baadae akaachana na dini za kizungu akaamua kufata dini waliyokuwa wakiabudu mababu zake (yoruba). Hapo aliamua kuoa wanawake 27 wengi wao wakiwa ni waimbaji wake wa bendi.
Jamaa alikuwa akiiponda serikali ya obasanjo na jeshi lake kiasi cha kwamba aliwahikutoa album iliyokwenda kwa Jina la zombie akiwafananisha wanajeshi wa nigeria na mazombi ! Na Kusababisha nyumba yake kuvamiwa na wanajeshi 1000 wakampa kipondo kizito mpaka wakamvunja mguu, mama yake alitupwa kutoka ghorofani naye kavunjika kiuno!
Baada ya zali hilo kuisha jamaa alitunga nyimbo "Coffin for Head of State" and "Unknown Soldier" na alitengeneza jeneza akaenda kuliweka kwenye gate kuu la kambi ya jeshi!
Kuna mengi ya kumwelezea tatizo muda una bana !
Haya bwana.Mimi nasubiri list ya masuper star wa Tanzania waliofariki kwa UKIMWI!
Poaaaaa.Huku hakuna jipya siku hizi.
Trick dady, Trina, 5O Cent, Brand, rihana, chriss brown na sababu kubwa ya rihana kupigwa na chris kumuambukiza ugonjwa wa zinaa, lil wyne, Naomi campbell, Naj benaisa, na wengine wengii tu wanatumia madawa ya kulevya kupoteza mawazo wanadai ila karibu wasanii wote america na bongo wameshaumia...kuwa mwangalifu Bongo ni balaa nikianza wataja hapa
Kwenye NWA yeye ndio alikuwa hustler kweli (drug dealing) na ndio alikuwa na hela za kufinance kundi hao wengine kina dre, cube walikuwa warembo tu....kwahiyo kwa namna flani kawatoa wote hao.Eazy hakumtoa Dre.
Kwani ngoma ilianza mwaka gani? Manake Bob kafariki kitambo (1981).. au ilikuwepo sema ikawa haijulikani?Nilikua nasikiliza VOA siku moja wakieleza historia ya Bob Marley wakasema wazi alifariki kwa HIV