ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Kama Tunavyojua, Nchii hii imebarikiwa kuwa na wafanyabiasha wakubwa sana na wanafahamika nchi nzima, wakiwemo Kina MO, Rostam, Marehemu Mengi, Patel, etc.
Sasa Leo tupate Fursa ya kuwajua wafanyabiasha wakubwa na matajiri ndani ya Mkoa was Dodoma, Japo ni mkoa upo nyuma Kimaendeleo lakini Kuna Wafanyabiasha wakubwa , Angalia katika Orodha hii Hawa ni wafanyabiashara matajiri Zaidi Dodoma.
1. Rahim Bhanji - Biashara mbalimbali.
2. Priscuss Mallya - Biashara
3. Ahmed Shabiby - Biashara
4. Frank Mtei - Biashara
Hili ni Somo zuri Kwa vijana kwani katika listi hii hakuna muajiriwa hata mmoja , Wala mtumishi, Hawa wote wamejiajiri na wametoa ajira, vijana msifikirie sana Kuajiriwa mkitaka utajiri.
Dar es salaam Ina mataicoon wakubwa Tena wengine ni waajiriwa wa Serikali lakini utajiri wao una mchanganyiko na vipesa vya ujanja ujanja kutoka Serikalini. Pia Kilimanjaro , Mwanza na Arusha Kuna watu Wana Hela kama mchanga