Wajue Matycoon, richest business men in Dodoma

inaonekana hata vuzi hujaanza kunyoa kijana wa CBE 😅😂
 
Kama Tunavyojua, Nchii hii imebarikiwa kuwa na wafanyabiasha wakubwa sana na wanafahamika nchi nzima, wakiwemo Kina MO, Rostam, Marehemu Mengi, Patel, etc .
Sasa Leo tupate Fursa ya kuwajua wafanyabiasha wakubwa na matajiri ndani ya Mkoa was Dodoma, Japo ni mkoa upo nyuma Kimaendeleo lakini Kuna Wafanyabiasha wakubwa , Angalia katika Orodha hii Hawa ni wafanyabiashara matajiri Zaidi Dodoma.

1. Rahim Bhanji - Biashara mbalimbali.
2. Priscuss Malaya - Biashara
3. Ahmed Shabiby - Biashara
4. Frank Mtei - Biashara

Hili ni Somo zuri Kwa vijana kwani katika listi hii hakuna muajiriwa hata mmoja , Wala mtumishi, Hawa wote wamejiajiri na wametoa ajira, vijana msifikirie sana Kuajiriwa mkitaka utajiri.

Dar es salaam Ina mataicoon wakubwa Tena wengine ni waajiriwa wa Serikali lakini utajiri wao una mchanganyiko na vipesa vya ujanja ujanja kutoka Serikalini. Pia Kilimanjaro , Mwanza na Arusha Kuna watu Wana Hela kama mchanga

ungesa kuwa na biashara wamerithi kwa wazazi wao. sisi wazazi wetu maskini acha kutupeleka puta
 
Kama Tunavyojua, Nchii hii imebarikiwa kuwa na wafanyabiasha wakubwa sana na wanafahamika nchi nzima, wakiwemo Kina MO, Rostam, Marehemu Mengi, Patel, etc .
Sasa Leo tupate Fursa ya kuwajua wafanyabiasha wakubwa na matajiri ndani ya Mkoa was Dodoma, Japo ni mkoa upo nyuma Kimaendeleo lakini Kuna Wafanyabiasha wakubwa , Angalia katika Orodha hii Hawa ni wafanyabiashara matajiri Zaidi Dodoma.

1. Rahim Bhanji - Biashara mbalimbali.
2. Priscuss Malaya - Biashara
3. Ahmed Shabiby - Biashara
4. Frank Mtei - Biashara

Hili ni Somo zuri Kwa vijana kwani katika listi hii hakuna muajiriwa hata mmoja , Wala mtumishi, Hawa wote wamejiajiri na wametoa ajira, vijana msifikirie sana Kuajiriwa mkitaka utajiri.

Dar es salaam Ina mataicoon wakubwa Tena wengine ni waajiriwa wa Serikali lakini utajiri wao una mchanganyiko na vipesa vya ujanja ujanja kutoka Serikalini. Pia Kilimanjaro , Mwanza na Arusha Kuna watu Wana Hela kama mchanga
Frank Mtei kijana wa real estate, the don
 
Haya ndiyo mambo ya kuongea--- hawa mataikuni,siyo kupanda jukwaa kumsifia Samia Suluhu,wakati pasenti moja ya watu inahodhi pasenti 50 ya utajiri wa nchi.
 
Kama Tunavyojua, Nchii hii imebarikiwa kuwa na wafanyabiasha wakubwa sana na wanafahamika nchi nzima, wakiwemo Kina MO, Rostam, Marehemu Mengi, Patel, etc .
Sasa Leo tupate Fursa ya kuwajua wafanyabiasha wakubwa na matajiri ndani ya Mkoa was Dodoma, Japo ni mkoa upo nyuma Kimaendeleo lakini Kuna Wafanyabiasha wakubwa , Angalia katika Orodha hii Hawa ni wafanyabiashara matajiri Zaidi Dodoma.

1. Rahim Bhanji - Biashara mbalimbali.
2. Priscuss Mallya - Biashara
3. Ahmed Shabiby - Biashara
4. Frank Mtei - Biashara

Hili ni Somo zuri Kwa vijana kwani katika listi hii hakuna muajiriwa hata mmoja , Wala mtumishi, Hawa wote wamejiajiri na wametoa ajira, vijana msifikirie sana Kuajiriwa mkitaka utajiri.

Dar es salaam Ina mataicoon wakubwa Tena wengine ni waajiriwa wa Serikali lakini utajiri wao una mchanganyiko na vipesa vya ujanja ujanja kutoka Serikalini. Pia Kilimanjaro , Mwanza na Arusha Kuna watu Wana Hela kama mchanga
Utajiri una siri nyingi sana
 
Back
Top Bottom