Wajue Matycoon, richest business men in Dodoma

Tajiri ni mmoja tu Dodoma, Kato wa Alco Vintage, wengine uliowataja ni wanamiliki magari makubwa na huo si utajiri, wakati wowote unafilisika.


Kato muhaya anaezalisha wine mbalimbali na kuuza ndani na nje ya nchi sio wa leo ni tajiri muda mrefu sana jamaa ni bilionea kweli sema sijui kwa nini hua hawamtaji hizo ni baadhi ya bidhaa zake
 
hivi shabibu si mwajiriwa anakula mshahara wa ubunge?
 
Alivyokaa huwezi mdhania ni Billionaire.Very humble

Pesa iko mingi sana mahotel ya kitalij Zanzibar, Arusha, Kilimanjaro, manyara, wote mvinyo wake upo, njoo local Bars mvinyo upo, supermarkets karibu zote, nchi mbalimbali ikiwamo za ulaya anaexport useme sio tajiri kweli
 
Karim Mandonga (Mtu Kazi)
Ukipigwa Kama Umepiga
Ukipiga Umepiga


Kwasasa Morogoro Ndiyo Mtu Maarufu Sana Mpaka Google Inamjua
Amewashinda Mpaka Abood, BM, Hood, Sadiq Murad

Haa Bongo Raha Sana,
Hivi HOOD bado yupo?
 
Mm mbona hujanitaja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
View attachment 2492342
Kato muhaya anaezalisha wine mbalimbali na kuuza ndani na nje ya nchi sio wa leo ni tajiri muda mrefu sana jamaa ni bilionea kweli sema sijui kwa nini hua hawamtaji hizo ni baadhi ya bidhaa zake
Tanzania ina Billionaire 1 pekee
Hao wengine ni Millionaires na Multi millionaires
 
Utajiri upo kwenye biashara zipi? ukimuondoa Shabiby
Mimi namsikiaga Frank Mtei wanasema ndie mmiliki wa zile Pub maarufu za Pestana na Bambalaga kule Dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…