Wajue viongozi kumi walioonja madaraka kwa kipindi cha muda mfupi

Wajue viongozi kumi walioonja madaraka kwa kipindi cha muda mfupi

5/Boris Yeltsin
ecace9321b02e553fc75758354aa19c2.jpg
98a5cbf3c244e27ef07db058ccb4d9ac.jpg
614aede5e039e0bc20eb5d090e3bd8d8.jpg
Alizaliwa mnamo mwaka 1931 na kufariki dunia 2007 akiwa na umri wa miaka 76 baada ya kupambana na maradhi kwa kipindi kirefu
Huyu mzee alijiteua mwenyewe kuwa Waziri mkuu wa Urusi mnamo mwaka 1998.
Hii ilikuwa wakati yeye akiwa Rais na mgogoro wa kisiasa ukiwa umepamba moto hivyo akaamua kumpunguzia majukumu Waziri Mkuu kwa kujiteua yeye mwenyewe
Baada ya kukosolewa vikali na wananchi wake na wapinzani na kuambiwa ni dikteta na mzee wa kukurupuka kama yule wa Chato akaamua fasta kuachia huo Uwaziri mkuu na kumteua mtu mwingine

Yaani alikuwa Waziri mkuu ndani ya masaa manne tu...kukurupuka ni kubaya!!
Hahaha we jamaa unavyomalizia sentensi zako za mwisho[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hahaha we jamaa unavyomalizia sentensi zako za mwisho[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwani uongo mkuu jamaa alikurupuka kisha akakna wananchi wameanza kumpinga ndio akachukua maauzi magumu fasta
 
Dk Omar Alli Juma alikuwa makamu wa rais kwa miaka mingapi wakuu ?
 
Dk Omar Alli Juma alikuwa makamu wa rais kwa miaka mingapi wakuu ?
Miaka 6 mkuu kuanzia 1995 hadi alipofariki mwaka 2001 yaani muhula wa pili ulioanza oktoba mwaka 2000 aliutumikia kwa miezi kazdhaa tu
 
Miaka 6 mkuu kuanzia 1995 hadi alipofariki mwaka 2001 yaani muhula wa pili ulioanza oktoba mwaka 2000 aliutumikia kwa miezi kazdhaa tu
Siku anafariki Dr Ali Juma,niko ndani ya treni naenda Kigoma ,taarifa nilizipata niko Dodoma to Tabora

[emoji767]101-03-821.M|T|C
 
Back
Top Bottom