Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
Sawa sasa kijana usiyekuwa na pesa nakupa deal nakuja Dar uko tayari kuosha lorry langu?Mkuu nilibanwa nikiwa free nitakufuata kule kule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sasa kijana usiyekuwa na pesa nakupa deal nakuja Dar uko tayari kuosha lorry langu?Mkuu nilibanwa nikiwa free nitakufuata kule kule
Hapa umetulisha tango pori. Huyu alitawala kwa muda mfupi sawa huko Russia, lakini si kwa muda wa masaa uliyoyasema wewe. Ngoja nifuatilie google.5/Boris Yeltsin
![]()
Alizaliwa mnamo mwaka 1931 na kufariki dunia 2007 akiwa na umri wa miaka 76 baada ya kupambana na maradhi kwa kipindi kirefu![]()
Huyu mzee alijiteua mwenyewe kuwa Waziri mkuu wa Urusi mnamo mwaka 1998.
Hii ilikuwa wakati yeye akiwa Rais na mgogoro wa kisiasa ukiwa umepamba moto hivyo akaamua kumpunguzia majukumu Waziri Mkuu kwa kujiteua yeye mwenyewe
Baada ya kukosolewa vikali na wananchi wake na wapinzani na kuambiwa ni dikteta na mzee wa kukurupuka kama yule wa Chato akaamua fasta kuachia huo Uwaziri mkuu na kumteua mtu mwingine
Yaani alikuwa Waziri mkuu ndani ya masaa manne tu...kukurupuka ni kubaya!!
Mkuu acha kulisha watu matango pori. Utashitakiwa kwa kuwalisha watu sumu.5/Boris Yeltsin
![]()
Alizaliwa mnamo mwaka 1931 na kufariki dunia 2007 akiwa na umri wa miaka 76 baada ya kupambana na maradhi kwa kipindi kirefu![]()
Huyu mzee alijiteua mwenyewe kuwa Waziri mkuu wa Urusi mnamo mwaka 1998.
Hii ilikuwa wakati yeye akiwa Rais na mgogoro wa kisiasa ukiwa umepamba moto hivyo akaamua kumpunguzia majukumu Waziri Mkuu kwa kujiteua yeye mwenyewe
Baada ya kukosolewa vikali na wananchi wake na wapinzani na kuambiwa ni dikteta na mzee wa kukurupuka kama yule wa Chato akaamua fasta kuachia huo Uwaziri mkuu na kumteua mtu mwingine
Yaani alikuwa Waziri mkuu ndani ya masaa manne tu...kukurupuka ni kubaya!!
Hapa umetulisha tango pori. Huyu alitawala kwa muda mfupi sawa huko Russia, lakini si kwa muda wa masaa uliyoyasema wewe. Ngoja nifuatilie google.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nabaki kucheka tu mtu ansposhindwa kuelewa kilichoandikwa kisha anakuja juu kuanza kukosoaMkuu acha kulisha watu matango pori. Utashitakiwa kwa kuwalisha watu sumu.
Kiongozi huyu alitawala Urusi iliyosambaratika baada ya Mikail Gorbachev na alitawala kwa kipindi cha takribani miaka minane na ushee!
Tena hili ndiyo limenistua hadi andiko lako lote nianze kufiatilia mmoja mmoja!
Lakini kuna ulazima gani kupotosha kama hauna uhakika na jambo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijali mkuu.....Tunasubiria uzi vya vyama vya siasa vilivyongangania kukaa madarakani kwa muda mrefu zaidi!
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Uandishi 'kabila' hiyo kamwe hauwezi kuelimisha mtu.Huwa nabaki kucheka tu mtu ansposhindwa kuelewa kilichoandikwa kisha anakuja juu kuanza kukosoa
Uliyoyasndika wewe yapo tofauti na niliyoelezea hivyo rudia kusoma ili uelewe kisha ujenge hoja
Mimi nimeandika akiwa rais alijiteua yeye mwenyewe kuwa waziri mkuu kisha kutengua uamuzi huo ndani ya masaa machache kutokana na kupingwa na wananchi].....hiki ndicho niliyoandika kama kwako ni matango pori sawa unaweza kushindia mapapai pia na ukashiba vizuri tu
No!Ila Mod wa Jamii Inrelligence ni mpuuzi
Sikuwepo km week jhivi nakuta msda zangu nyingi amezihamishia Habari na Hoja Mchanganyiko ila za wengine za ovyo ovyo zimeachea tu
Kwavile Jf tunapost kwa mapenzi tu sitegemei kuanzisha tena mada labda mwakani maana hizi ni dharau
Naunga mkono juhudi zako Madame B za kumuomba bwana Bitoz abaki na aendelee ku2pa elimu hapa jukwaani.No!
No!
No! My dear, don do that!!!
Nenda private uwaombe wawe wanaziacha mada zako.
Ukifanya hivo utaniumiza mie na jamii nzima.
Yeah true kabisa my kaka lwamuNaunga mkono juhudi zako Madame B za kumuomba bwana Bitoz abaki na aendelee ku2pa elimu hapa jukwaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono juhudi zako Madame B za kumuomba bwana Bitoz abaki na aendelee ku2pa elimu hapa jukwaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naheshimu maoni yenuYeah true kabisa my kaka lwamu
Tutakaopata shida ni sisi wasomaji na wapenda nakala, sio hao mods maana mods kazi yao kubanisha na kumuvuzisha.
Wengine sie makala kama zile huwa licha ya kutupa burudani, pia tunaingiza maarifa mapya kichwani.
Maisha yenyewe mafupi....yanini kujipa stress!!!!!
Mkuu,Uandishi 'kabila' hiyo kamwe hauwezi kuelimisha mtu.
Mantiki yako ilikuwa kuelezea viongozi walioshikilia madaraka ya uongozi wa taifa kwa muda mfupi.
Je huyo Yeltisin alitawala kwa muda mfupi huo tu ulioutaja wewe?
Hapo ulitakiwa kufafanua kuwa; "Aliyekuwa rais wa Russia kwa muda wa miaka minane, pindi alipotaka kubadili cheo chake cha urais na kukifanya kiwe ni uwaziri mkuu, wananchi waliandamana kumpinga na kufanya akae kwenye cheo hicho kipya cha uwaziri mkuu kwa muda kadhaa"......
Hapo mtu 'biginner' ataelewa vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu.Naheshimu maoni yenu
Ila huyo Mod kaniboa sana labda anataka jukwaa zima lijae thread za ulozi na kupinga uwepo wa Mungu na zile za akina Zebodi tu
Nilienda MEMBERS ONLY kumpa maneno huyo Mod hivyo ujumbe ushamfika