Wajue viongozi kumi walioonja madaraka kwa kipindi cha muda mfupi

Yeah bae...nimeipata hiyoooooo....!!!!
Ila Mod wa Jamii Inrelligence ni mpuuzi
Sikuwepo km week jhivi nakuta msda zangu nyingi amezihamishia Habari na Hoja Mchanganyiko ila za wengine za ovyo ovyo zimeachea tu

Kwavile Jf tunapost kwa mapenzi tu sitegemei kuanzisha tena mada labda mwakani maana hizi ni dharau
 
Nimeshangaaa
 
Kuna Kitwanga huku
Kuna Ana Kilango
Hawa nao wamo au hawahusiki
 
Msingi ni wengi tumeishia hapo ,bora wewe umechunga ng'ombe ,Mie nilikua nacheza na mawese na dagaa

[emoji767]101-03-821.M|T|C
Usijali mkuu
Msingi w elimu ni kujua kusoma,kuandika na kuhesabu
 
Ila Mod wa Jamii Inrelligence ni mpuuzi
Sikuwepo km week jhivi nakuta msda zangu nyingi amezihamishia Habari na Hoja Mchanganyiko ila za wengine za ovyo ovyo zimeachea tu

Kwavile Jf tunapost kwa mapenzi tu sitegemei kuanzisha tena mada labda mwakani maana hizi ni dharau
Wapotezee Hao mkuu tuletee vitu adimu Tafadhali Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom