Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Wakati jeshi la Israel likimaliza kuondoa vikosi vyake kutoka ukanda wa Netzarim unaogawa kaskazini na kusini ya Gaza viongozi wakuu wa Hamas wamekwenda nchini Iran kupongezana na kiongozi mwenzao huko Tehran kuhusiana na ushindi wao.
Kuondoka kwa majeshi ya Israel eneo la kati ya Gaza kutawafanya wapalestina wa Gaza kuwa huru kwenda watakako kote Gaza kinyume na muda wote vilta vilipokuwa vikiendelea.