Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,122
- 4,699
Halafu ikawajeMosad ilishindwa kumfikia Yahya Sinwar mpaka walikutana uwanja wa mapambano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu ikawajeMosad ilishindwa kumfikia Yahya Sinwar mpaka walikutana uwanja wa mapambano.
kama viongozi wa Hamas hawaigopi kufa kwanini wanajificha kwenye mataifa ya nje kama Qatar,Jordan kwanini wasibaki hapo Gaza na familia zaoKinachoshangaza ni kuwa viongozi wa Hamas huwa hawaogopi kufa pamoja na kuchukua tahadhari kwa nafsi zao.
Akiuliwa mmoja wengine wanachukua nafasi yake.
Apo nimekuelewa mkuu kwenye ujinga!! Lkn Kufa ni kufa tu vyovyote viwavo Watakufa Tutakufa ndio mana wao Wamechagua kufa lkn Wawe na madhara kwa Wavamizi wao wasifie majumbani kwa mzee!! Au Ugonjwa!!! Wafie rasasi na Maboom lkn nawao wawe Wamewauwa Wavamiz wao!!!Kwanza kabisa mimi siamini katika UJINGA unaoitwa Mungu
Hakuna wa kunilisha ujinga huo
Sina shida na wao kupeleka moto lakini ninachojua kwa HAKIKA ni kwamba siku wakipeleka moto kama wa Oct 7 hao wote watawahishwa kwa mabikra 72 wakufikirika
Acha uongo.Kuna asiyeogopa kifo au hawana namna wakijijua ni the walking deads?Kinachoshangaza ni kuwa viongozi wa Hamas huwa hawaogopi kufa pamoja na kuchukua tahadhari kwa nafsi zao.
Akiuliwa mmoja wengine wanachukua nafasi yake.
Sio kweli, huyo alibamizwa tu kwenye makorido ya hapo Gaza, kupigana uso kwa uso na waisrael hawawezi ndio maana wanakimbilia kujificha kwa wanawake na watoto.Mosad ilishindwa kumfikia Yahya Sinwar mpaka walikutana uwanja wa mapambano.
Hao magaidi wa kipalestina hawawezi kwenda popote kwani kwa hulka yao ya kigaidi waarabu wote hawawataki, waliona kilichowapata miaka ya nyuma walipo wakaribisha hivyo hawawezi kurudia kosa hata kidogo.Kwakweli ni ushindi mkubwa umepatikana Kwa mtutu wa risasi hio ndio lugha pekee ya mazungumzo. Vinginevyo yahudi ukimchekea ndio anakuondoa hivyo walibomoa kila kitu ili wakazi waogope kukaa Gaza lakini watu hawana habari haondoki mtu, Syria watajuta baadae kwahili walilofanya kumruhusu huyo mlowezi kuchukua vipande vya ardhi watavipigania kwa gharama kubwa mno
Hamas wakimaliza kukabidhi mateka vita vinarudiwa Bado Netanyahuu hajaridhika na kibano alichotoa gazaView attachment 3230393
Wakati jeshi la Israel likimaliza kuondoa vikosi vyake kutoka ukanda wa Netzarim unaogawa kaskazini na kusini ya Gaza viongozi wakuu wa Hamas wamekwenda nchini Iran kupongezana na kiongozi mwenzao huko Tehran kuhusiana na ushindi wao.
Kuondoka kwa majeshi ya Israel eneo la kati ya Gaza kutawafanya wapalestina wa Gaza kuwa huru kwenda watakako kote Gaza kinyume na muda wote vilta vilipokuwa vikiendelea.
Khamenei akutana na viongozi waandamizi wa Hamas huko Tehran
Wanapongezana kwa lipi!View attachment 3230393

ni kwasababu wanapigania haki yaoKinachoshangaza ni kuwa viongozi wa Hamas huwa hawaogopi kufa pamoja na kuchukua tahadhari kwa nafsi zao.
Akiuliwa mmoja wengine wanachukua nafasi yake.
Swali zuri sana.Mwisho ikawaje?
Kijiti cha ushindi upi Sasa,maana wamesababisha wapalestina zaidi ya elfu arobaini kufa,Gaza imebaki magofu haikaliki na sasa wapalestina wanapelekwa uhamishini na Marekani inainunua Gaza na kuigeuza mabustani ya watalii. wameshinda Nini sasa😀🙌View attachment 3230393
Wakati jeshi la Israel likimaliza kuondoa vikosi vyake kutoka ukanda wa Netzarim unaogawa kaskazini na kusini ya Gaza viongozi wakuu wa Hamas wamekwenda nchini Iran kupongezana na kiongozi mwenzao huko Tehran kuhusiana na ushindi wao.
Kuondoka kwa majeshi ya Israel eneo la kati ya Gaza kutawafanya wapalestina wa Gaza kuwa huru kwenda watakako kote Gaza kinyume na muda wote vilta vilipokuwa vikiendelea.
Khamenei akutana na viongozi waandamizi wa Hamas huko Tehran
Na wanarudi vitani tena ..oke wao wasiwaachie makaptive ya kiyazayuniKijiti cha ushindi upi Sasa,maana wamesababisha wapalestina zaidi ya elfu arobaini kufa,Gaza imebaki magofu haikaliki na sasa wapalestina wanapelekwa uhamishini na Marekani inainunua Gaza na kuigeuza mabustani ya watalii. wameshinda Nini sasa😀🙌