View attachment 3230393
Wakati jeshi la Israel likimaliza kuondoa vikosi vyake kutoka ukanda wa Netzarim unaogawa kaskazini na kusini ya Gaza viongozi wakuu wa Hamas wamekwenda nchini Iran kupongezana na kiongozi mwenzao huko Tehran kuhusiana na ushindi wao.
Kuondoka kwa majeshi ya Israel eneo la kati ya Gaza kutawafanya wapalestina wa Gaza kuwa huru kwenda watakako kote Gaza kinyume na muda wote vilta vilipokuwa vikiendelea.
Khamenei akutana na viongozi waandamizi wa Hamas huko Tehran

Ipo hatari kubwa sana kwamba watafyekwa siku si nyingi zijazo.View attachment 3230393
Wakati jeshi la Israel likimaliza kuondoa vikosi vyake kutoka ukanda wa Netzarim unaogawa kaskazini na kusini ya Gaza viongozi wakuu wa Hamas wamekwenda nchini Iran kupongezana na kiongozi mwenzao huko Tehran kuhusiana na ushindi wao.
Kuondoka kwa majeshi ya Israel eneo la kati ya Gaza kutawafanya wapalestina wa Gaza kuwa huru kwenda watakako kote Gaza kinyume na muda wote vilta vilipokuwa vikiendelea.
Khamenei akutana na viongozi waandamizi wa Hamas huko Tehran
Wenzio hata hawajali Wala kuogopa kifoIpo hatari kubwa sana kwamba watafyekwa siku si nyingi zijazo.
MOSSAD tayari imeshawaweka kwenye Spotlights
Nadhani hawa sasa hawawezi tena kufanya ujinga kama waliofanya wenzao Oct 7 vinginevyo watawahishwa haraka sana kwa mabikra 72View attachment 3230393
Wakati jeshi la Israel likimaliza kuondoa vikosi vyake kutoka ukanda wa Netzarim unaogawa kaskazini na kusini ya Gaza viongozi wakuu wa Hamas wamekwenda nchini Iran kupongezana na kiongozi mwenzao huko Tehran kuhusiana na ushindi wao.
Kuondoka kwa majeshi ya Israel eneo la kati ya Gaza kutawafanya wapalestina wa Gaza kuwa huru kwenda watakako kote Gaza kinyume na muda wote vilta vilipokuwa vikiendelea.
Khamenei akutana na viongozi waandamizi wa Hamas huko Tehran
Nani kakudanganya hawaogopi KUFA...... Ni kwamba hawana jinsi tu wamezidiwa na Israel ndio maana wanakufaKinachoshangaza ni kuwa viongozi wa Hamas huwa hawaogopi kufa pamoja na kuchukua tahadhari kwa nafsi zao.
Akiuliwa mmoja wengine wanachukua nafasi yake.
Huyo wa kwanza kulia karibu na ayatola inaonesha utakuwa wa kwanza kutangulia anasura ya kibabiloni na ndio walengwa wakuu wa mosad.View attachment 3230393
Wakati jeshi la Israel likimaliza kuondoa vikosi vyake kutoka ukanda wa Netzarim unaogawa kaskazini na kusini ya Gaza viongozi wakuu wa Hamas wamekwenda nchini Iran kupongezana na kiongozi mwenzao huko Tehran kuhusiana na ushindi wao.
Kuondoka kwa majeshi ya Israel eneo la kati ya Gaza kutawafanya wapalestina wa Gaza kuwa huru kwenda watakako kote Gaza kinyume na muda wote vilta vilipokuwa vikiendelea.
Khamenei akutana na viongozi waandamizi wa Hamas huko Tehran
Lakini cha ajabu utakuta kwamba hakuna anayeuwawa kwenye uwanja wa vita wote wanauliwa wakiwa mafichoni na wengine wakiwa kwenye mashimo kama panya..!!πππWenzio hata hawajali Wala kuogopa kifo
Mwisho ikawaje?Mosad ilishindwa kumfikia Yahya Sinwar mpaka walikutana uwanja wa mapambano.
Ujinga kwako na aliekulisha uwo ujinga!! pengine na Sadaka umempa!!!! Viongozi wa Palestina majukum yao ni kupeleka MOTO kwa mvamizi wao Adi akimbie apo Ktk iyo Ardhi ya Palestina.Nadhani hawa sasa hawawezi tena kufanya ujinga kama waliofanya wenzao Oct 7 vinginevyo watawahishwa haraka sana kwa mabikra 72
kasoro huyo wa katikati,wengine hao ni weupe kama blonds wa ulaya, weupe kuliko wayahudi. yet, kuna kobaz mmoja atakuja hapa anasema wayahudi hao ni wazuri sio watu wa middle east. hajui hata huko ulaya walikokimbilia waliishi kivyao na ni walewale hata kama kuchanganya ni kidogo sana.View attachment 3230393
Wakati jeshi la Israel likimaliza kuondoa vikosi vyake kutoka ukanda wa Netzarim unaogawa kaskazini na kusini ya Gaza viongozi wakuu wa Hamas wamekwenda nchini Iran kupongezana na kiongozi mwenzao huko Tehran kuhusiana na ushindi wao.
Kuondoka kwa majeshi ya Israel eneo la kati ya Gaza kutawafanya wapalestina wa Gaza kuwa huru kwenda watakako kote Gaza kinyume na muda wote vilta vilipokuwa vikiendelea.
Khamenei akutana na viongozi waandamizi wa Hamas huko Tehran
Kwanza kabisa mimi siamini katika UJINGA unaoitwa MunguUjinga kwako na aliekulisha uwo ujinga!! pengine na Sadaka umempa!!!! Viongozi wa Palestina majukum yao ni kupeleka MOTO kwa mvamizi wao Adi akimbie apo Ktk iyo Ardhi ya Palestina.