Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

Upendo Nkone ameingia kwenye gospel akiwa tayari anajitambua
 
Huyu mbona kama ni UPENDO NKONE
 
Aiseeee
 
Kuna nyuzi zinazungumzia nguvu ya namba 8 ambayo ni numerolojia ya mwaka 2024, kuwa utakuwa mwaka wa mafanikio Kwa wayatafutayo.

Kuna ule mwingine unaozungumzia kuinuliwa Kwa vijana kufanya kazi ya utume na unabii
Mkuu unavutaga?
 
Wajina amezingua
Kumbe ndoa ilikufa🤔🙄
 
Lakini kwa "watajwa" ni KWELI baada ya.....ndio ika.....
 
Kun kipindi furan kulikua na mkutano wa injili mkoa x
Mzee akamualika mume wa martha baraka home wapige msosi

Kweli usiku waliluja wote…
Martha baraka,mumewe,na vile vijamaa vyao


Nliposikia walitengana nlilaani sana

Hadi kesho nafsi yangu imemkasilikia sana frola mbasha

Kuhusu martha mwaipaja ndio najua leo🥹🥹
 
Kwanza tambua tupo katika mfumo dume so mara nyingi mwanaume ndio anasikilizaa. Tukirudi kwenye mada ni kwamba ili ndoa iweze kudumu sheria ya ukichwa wa mume na kutii kwa mke ni lazima vifwatwe,yani kiasili mwanaume ni kiongozi kwa mwanamke na mke anapaswa kumtii mume wake( sio katika Kila jambo maana hata wanaume hukosea),Sasa tatizo linaanza pale mwanamke anapokuwa na nguvu ya kiuchumi yani kaijpata,kama hao waimbaji yani walopoanza kupata mafanikio katika uimbaji wao wakaanza kuwa mbali na familia na Huwa inakuwa ngum mwanamke kujitiisha kwa mwanaume asiye na kitu,so jumlisha kipato,umbali na ulimbuken wa umaarufu basi itoshe kusema Hawa waimbaji ndio chanzo
 
Kwa hiyo wewe mtoto wa nabii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…