Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

🤣🤣🤣Kwa hiyo tukizikamata mwanaume sio issue??unatusingizia bwana!
Ndio Mimi nina one of the most beautiful woman Ila sijidai alafu yeye ndio ananisaka lakini ukiniona nipo simple tu mpaka wajinga wajinga wanamuuliza umempendea nini jamaa jibu ni moja tu mikunjokunjo na mikong'oto kwenye 7mara70
 
Kuna nadharia na uhalisia. Sasa wee kaa na mentality ya kwamba mke au mume ni wako weye peke ndio utakuja nyea debe jela
Km Mwanamke anajijua bado hajamaliza ujana anataka aendelee kuruka sarakasi namshauri kwa wema asiolewe aendelee kua chakula cha wote hana mlaji maalumu
 
Km Mwanamke anajijua bado hajamaliza ujana anataka aendelee kuruka sarakasi namshauri kwa wema asiolewe aendelee kua chakula cha wote hana mlaji maalumu
Tatizo hawawezi maana inafika sehemu wanaona hela zao zinauma kutumia hivyo wanataka kuolewa wale hela zetu
 
Shusho sidhani kama ndoa yake haipo
 
Ngoja nisome comments za wanaoendelea kubishia hili neno...
 
Shusho sidhani kama ndoa yake haipo
Watu washatoa makala ndefu huko kwenye comments zilizotangulia kabla yako kuelezea jinsi alivyo mtupa baba mtu mzima aliyemtoa machakani Shusho alikokuwa anapanga nyanya barabarani. Endelea kusoma utaziona hizo comments.
 
Tusiwshukumu sana, kwa kweli ndoa za Kiafrika sio rahisi mwa mwanamke maarufu, maana mumewe atataka aendelee kumkalia na kumpelekesha, naye mwanamke atataka awe huru kama wale wa kwenye muvi za uzunguni.
 
Sio kukusingizia ndio ukweli wa mambo...mwanamke anataka apate pesa ili aondokane na mwanaume maishani mwake. Mwanaume akipata hela anataka kuhudumia wanawake wengi kadri iwezekanavyo. Thats the difference....men are givers women are selfish.
Wanaume tumeumbwa na roho safi ,no wonder tutakuwa wengi sana mbinguni haha
 
Upendo Kilahiro alishaolewa na bonge flani wa South Africa ni mchungaji, mumewe Amon Kilahiro naye alioa kwa ndoa mpya.
Japo yasemekana chanzo ni mume kucheps.

Iliniuma sana kwao kuachana, walikuwa na ndoa ya kuvutia na huduma bora kabisa
Ndy nasikia kwako leo... Jamani me ninavyomuona hukoo IG najua yupo na muwewe kwa Biden kumbe ndoa iliota mbawa... Basi kazi tena kazi ngumu
 
Ndy nasikia kwako leo... Jamani me ninavyomuona hukoo IG najua yupo na muwewe kwa Biden kumbe ndoa iliota mbawa... Basi kazi tena kazi ngumu
Oooh pole, ni muda sasa nahisi alishazaa na mume mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…