Wajue wasanii wenye uwezo mkubwa zaidi wa kuimba Tanzania

Wajue wasanii wenye uwezo mkubwa zaidi wa kuimba Tanzania

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,058
Ili uwe msanii mkubwa inahitaji uwe na uwezo mkubwa tu wa kuimba, wafuatao ni wasanii wenye uwezo mkubwa zaidi wa kuimba na kuperfom live hapa Tanzania...hii ndiyo Top 5....

1) Chistian Bella

Kwa yoyote mpenda muziki wa ukweli hatasita kusema kuwa Bella ndiye mfalme wa vocal hapa Tanzania, jinsi atakavyoimba kwa stage hutoona tofauti na kwenye Audio sijaona wa kumfikia Bella hapa Tanzania labda tumpeleke kumshindanisha na watu wa nchi za nje huko.

2) Banana zorro

Kabla ya Christian bella huyu ndiye alikuwa undisputed vocal king ila kwa sasa anashika nambari mbili nyuma ya christian bella,
sifa nyingine huyu jamaa anaweza kuimba style zote iwe chakacha, rhumba, rnb, Afro Pop na aina zote zile.

3) Barnaba Boy

Umri wake bado ni mdogo ila uwezo wake mkubwa umefunika umri wake, Barnaba anaimba sana kiasi kwamba akiongea unaweza.ukaona kama sauti inakwaruza au inambadiliko hyo ni kawaida kwa wanaoimba sana kuwa na sauti fulani hvi wakati wakiongea, kamsikilize Beyonce au Michael jackson
akiwa anaongea.

4 Ben Pol

Kijana anayewakilisha mji wa Dodoma, kwa sasa unaweza kumuita mfalme wa Rnb hapa bongo, chana na uwezo wake wa kutunga vibao vikali ila Ben pol anajitahidi sana katika kuimba live

5) Belle 9

Kutoka mji kasoro anatufungia list yetu , uwezo wa Belle ni mkubwa mno kama ataendelea kufanya vizuri huenda akakumbukwa kama msanii bora zaidi wa kuimba ktoka Morogoro nyuma ya kina mzee Marijani.

Umekubaliana na list hii , nani alistahili kuwepo nikamsahau?
 
ili uwe msanii mkubwa inahitaji uwe na uwezo mkubwa tu wa kuimba, wafuatao ni wasanii wenye uwezo mkubwa zaidi wa kuimba na kuperfom live hapa Tanzania...hii ndiyo Top 5....

1) Chistian Bella.....

kwa yyte mpenda muziki wa ukwli hatasita kusema kuwa Bella ndiye mfalme wa vocal hapa Tanzania ....jinsi atakavyoimba kwa stage hutoona tofauti na kwny Audio,,, sijaona wa kumfikia Bella hapa Tanzania labda tumpeleke kumshindanisha na watu wa nchi za nje hukoo

2) Banana zorro

kabla ya Christian bella huyu ndiye alikuwa undisputed vocal king ila kwa sasa anashika nambari mbili nyuma ya christian bella.,,

sifa nyingine huyu jamaa anaweza kuimba style zote iwe chakacha, rhumba, rnb, Afro Pop na aina zote zile.....

3 Barnaba Boy

Umri wake bado ni mdogo ila uwezo wake mkubwa umefunika umri wake, Barnaba anaimba sana kiasi kwamba akiongea unaweza.ukaona kama sauti inakwaruza au inambadiliko hyo ni kawaida kwa wanaoimba sana kuwa na sauti fulani hvi wakati wakiongea, kamsikilize Beyonce au Michael jackson
akiwa anaongea..

4 Ben Pol

Kijana anayewakilisha mji wa Dodoma, kwa sasa unaweza kumuita mfalme wa Rnb hapa bongo., achana na uwezo wake wa kutunga vibao vikali ila Ben pol anajitahidi sana katika kuimba live

5 Belle 9...

kutoka mji kasoro anatufungia list ytu , uwezo wa Belle ni mkubwa mno kama ataendelea kufanya vizuri huenda akakumbukwa kama msanii bora zaidi wa kuimba ktoka Morogoro nyuma ya kina mzee Marijani

umekubaliana na list hii , nani alistahili kuwepo nikamsahau?

Mhh, una visa na akina Diamond, Ali Kiba na Ommy Dimpo nini?
 
1.Ramar D,ndo king wa rnb haina ubishi,wote uliowataja wapo chini ya sox ya huyu jamaa
2.Steve wa rnb
3.Ally kiba
4.Banana
6.Christian Bela
 
Kwangu Mimi hapo Christian Bella hana mpinzani hapa Tanzania hivyo namba 1-5 ni zake.
Kuanzia namba 6 angekaa Ally kiba.
Namba 7 Jose Mara.
Number 8 Banana Zero
Number 9 Barnaba
Number 10 Bell tisa
Number 11 Bernard Paul.
Number 12 Anaconda(Judith)

Nimempa Christian Bella Namba 1-5 maana ni msanii wa pekee sana.
Kwanza hakuwai kutoa wimbo mbaya.
Hakuwai kutoa wimbo halafu husipendwe mfano kuanzia wimbo kama Asubuhi; Msaliti;ameondoka;Nani kama Mama,hizo ni chache na kama kuna mtu ana wimbo ambao katoa Bella hakupendwa naomba aundike maana Mimi sina kumbukumbu kama ana wimbo hakuwai kupendwa.

Wasalaam
 
1.songa..
2.one the incredable.
3.nick mbishi.
4.fid q.
5.kadigo..
6.sterio
7.stamina
8.para the m.c
9.nash mc.
 
Christian Bella kijana wa masauti. Huyu jamaa ana sauti ya ajabu na kipekee, hata Africa watu wanaogusa level za Bella ni wachache. Kwa mtu anaejua mziki akimsikia Bella ataendelea kumsikiliza siku zote. Banana zoro anafuata
 
Mhh, una visa na akina Diamond, Ali Kiba na Ommy Dimpo nini?

jamaa unachekesha sana ww yani ommy dimpoz umuweke hapa halafu umtoe nani,, kumbuka nazunguzmia uwezo wa kuimba live,, diamond kupiga live show bado inamsumbua , ommy dimpoz ndo kabisa hawezi
 
Christian Bella kijana wa masauti. Huyu jamaa ana sauti ya ajabu na kipekee, hata Africa watu wanaogusa level za Bella ni wachache. Kwa mtu anaejua mziki akimsikia Bella ataendelea kumsikiliza siku zote. Banana zoro anafuata

hata list yangu ndivyo nilivyowapanga
 
1.songa..
2.one the incredable.
3.nick mbishi.
4.fid q.
5.kadigo..
6.sterio
7.stamina
8.para the m.c
9.nash mc.

elewa mada ,, kwan hawa wanaimba au wanarap???
 
Kwangu Mimi hapo Christian Bella hana mpinzani hapa Tanzania hivyo namba 1-5 ni zake.
Kuanzia namba 6 angekaa Ally kiba.
Namba 7 Jose Mara.
Number 8 Banana Zero
Number 9 Barnaba
Number 10 Bell tisa
Number 11 Bernard Paul.
Number 12 Anaconda(Judith)

Nimempa Christian Bella Namba 1-5 maana ni msanii wa pekee sana.
Kwanza hakuwai kutoa wimbo mbaya.
Hakuwai kutoa wimbo halafu husipendwe mfano kuanzia wimbo kama Asubuhi; Msaliti;ameondoka;Nani kama Mama,hizo ni chache na kama kuna mtu ana wimbo ambao katoa Bella hakupendwa naomba aundike maana Mimi sina kumbukumbu kama ana wimbo hakuwai kupendwa.

Wasalaam

nakubaliana na ww kwa upande kwa christian bella ila ally kiba kuwa juu ya Banana zorro kwa upande wa masauti hapo sikubaliani na ww
 
Back
Top Bottom