Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Kwangu Mimi hapo Christian Bella hana mpinzani hapa Tanzania hivyo namba 1-5 ni zake.
Kuanzia namba 6 angekaa Ally kiba.
Namba 7 Jose Mara.
Number 8 Banana Zero
Number 9 Barnaba
Number 10 Bell tisa
Number 11 Bernard Paul.
Number 12 Anaconda(Judith)
Nimempa Christian Bella Namba 1-5 maana ni msanii wa pekee sana.
Kwanza hakuwai kutoa wimbo mbaya.
Hakuwai kutoa wimbo halafu husipendwe mfano kuanzia wimbo kama Asubuhi; Msaliti;ameondoka;Nani kama Mama,hizo ni chache na kama kuna mtu ana wimbo ambao katoa Bella hakupendwa naomba aundike maana Mimi sina kumbukumbu kama ana wimbo hakuwai kupendwa.
Wasalaam
hahahahahaha mnajikazaje kutokumtaja platnum???? hihuhihihuhihuhiuuhiii, mja wivu mpaka unawapalia