Wajue watu hawa wenye IQ kubwa walioamua kuwa Wakristo

Setfree

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
6,238
Reaction score
8,194
Katika ulimwengu wa leo, kuna watu wanaofikiri kwamba wanaomwamini Yesu Kristo na kuwa walokole ni “watu wenye ufahamu mdogo” au "wenye changamoto ya afya ya akili." Lakini historia na ukweli wa sasa unashuhudia vinginevyo. Kuna watu wanaotambulika kuwa wana kiwango cha juu cha akili (high IQ) na elimu kubwa, lakini waliamua kumkabidhi Kristo maisha yao.

1. Blaise Pascal
Huyu ni mwanafizikia, mhandisi na mwanafalsafa mashuhuri wa Ufaransa. Aliunda “Pascal’s Triangle” na kuanzisha misingi ya nadharia ya uwezekano (probability theory). Pamoja na akili kubwa, alikiri kwamba ukweli wa Kristo unazidi hoja za kibinadamu. Katika maandiko yake ya Pensées alieleza uzuri wa imani ya Kikristo na haja ya kumwamini Yesu.

2. Francis Collins
Ni mwanasayansi wa Marekani aliyeongoza Human Genome Project, mradi uliotafsiri ramani ya vinasaba vya binadamu. Awali alikuwa akijiita atheist, lakini baada ya tafakuri na utafiti, aliugeukia Ukristo na kukiri kuwa Yesu Kristo ndiye Bwana na Mwokozi wake. Kitabu chake The Language of God kinaeleza safari hiyo ya imani.

3. YoungHoon Kim
Anatajwa na vyombo mbalimbali kuwa na IQ kubwa mno duniani—276. Hata katika zama za leo, ametangaza hadharani kwamba imani yake iko kwa Yesu Kristo. Alinukuliwa akisema: “Christ is my logic” yaani Kristo ndiye mantiki yake. Huu ni ushahidi kwamba hata wenye akili kubwa zaidi hawaoni aibu kumpokea Yesu Kristo.

4. Mortimer J. Adler
Huyu ni mwanafalsafa mashuhuri na mwandishi anayeheshimika sana katika ulimwengu wa elimu. Kwa miaka mingi aliishi bila imani, lakini mwishowe alibadilika, akabatizwa, na kumkiri Yesu Kristo. Adler alikiri kwamba falsafa pekee haiwezi kutosheleza kiu ya nafsi ya mwanadamu bila ukweli wa imani ya Kikristo.

Watu hao wenye akili kubwa waliona kwamba imani ya Kikristo sio udhaifu, wala sio ujinga. Waliona kwamba hakuna akili ya kibinadamu inayoweza kutatua siri ya maisha, kifo na wokovu bila Kristo.

Kwa hiyo ndugu yangu, wewe unayeimba kila siku kwamba kumwamini Yesu ni “mental health” au ni “upuuzi,” tafakari tena kauli zako. Je, akili zako zimezidi za Pascal, Collins, Kim au Adler? Watu hao wenye kiwango cha juu cha IQ waliamua kumfuata Yesu, ni nini kinachokuzuia wewe leo usiamue kuokoka na kumfuata Yesu?

Leo hii, fanya uamuzi wa busara. Tubu dhambi zako, mwamini Yesu Kristo, upokee wokovu wa bure. Usikubali shetani akupoteze kwa hoja zake za uongo. Shetani anaujua uzuri wa mbinguni. Lakini hawezi tena kurudi huko, ameishahukumiwa kutupwa motoni. Kwa sababu hiyo hapendi wewe uokoke na kuingia mbinguni kwenye raha ya milele. Ndio sababu anahangaika kukushawishi umkatae Yesu ili na wewe uangamie motoni milele. Shtuka mapema, mpinge shetani na umkubali Yesu leo, kabla mlango wa neema haujafungwa.
 
✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️
 
Hivi Unajua Egypt ni moja ya Nchi iliyokuwa na watu wenye IQ kubwa duniani. Unaweza kufuatilia mambo mengi mojawapo ni Hesabu. Namaanisha wao ndio waanzilishi wa Hesabu mbalimbali na baadhi ya formula za physics na matibabu (biology)- sema tu wazungu hawawezi kuandika hili kwa kuwa ipo Africa

Mfano wa hesabu zilizo anzia Misri: Arthrometric, Geometric, Liner Equation, unit fraction, wao ndio walianzisha mambo ya land surveying, Calculating area and volumes nk nk nk Kama sio wazungu kuja huku Africa kuwavuruga, pengine wangekuwa First world +++
 
Unakuta Mtu anajiita Atheist lakini kila jumapili anaingia church
That's much better. Siku ya siku anaweza kuachana kabisa na huo uatheist kama alivyofanya Francis Collins
 
Katika ulimwengu wa leo, kuna watu wanaofikiri kwamba wanaomwamini Yesu Kristo na kuwa walokole ni “watu wenye ufahamu mdogo” au "wenye changamoto ya afya ya akili." Lakini historia na ukweli wa sasa unashuhudia vinginevyo. Kuna watu wanaotambulika kuwa wana kiwango cha juu cha akili (high IQ) na elimu kubwa, lakini waliamua kumkabidhi Kristo maisha yao.

1. Blaise Pascal
Huyu ni mwanafizikia, mhandisi na mwanafalsafa mashuhuri wa Ufaransa. Aliunda “Pascal’s Triangle” na kuanzisha misingi ya nadharia ya uwezekano (probability theory). Pamoja na akili kubwa, alikiri kwamba ukweli wa Kristo unazidi hoja za kibinadamu. Katika maandiko yake ya Pensées alieleza uzuri wa imani ya Kikristo na haja ya kumwamini Yesu.

2. Francis Collins
Ni mwanasayansi wa Marekani aliyeongoza Human Genome Project, mradi uliotafsiri ramani ya vinasaba vya binadamu. Awali alikuwa akijiita atheist, lakini baada ya tafakuri na utafiti, aliugeukia Ukristo na kukiri kuwa Yesu Kristo ndiye Bwana na Mwokozi wake. Kitabu chake The Language of God kinaeleza safari hiyo ya imani.

3. YoungHoon Kim
Anatajwa na vyombo mbalimbali kuwa na IQ kubwa mno duniani—276. Hata katika zama za leo, ametangaza hadharani kwamba imani yake iko kwa Yesu Kristo. Alinukuliwa akisema: “Christ is my logic” yaani Kristo ndiye mantiki yake. Huu ni ushahidi kwamba hata wenye akili kubwa zaidi hawaoni aibu kumpokea Yesu Kristo.

4. Mortimer J. Adler
Huyu ni mwanafalsafa mashuhuri na mwandishi anayeheshimika sana katika ulimwengu wa elimu. Kwa miaka mingi aliishi bila imani, lakini mwishowe alibadilika, akabatizwa, na kumkiri Yesu Kristo. Adler alikiri kwamba falsafa pekee haiwezi kutosheleza kiu ya nafsi ya mwanadamu bila ukweli wa imani ya Kikristo.

Watu hao wenye akili kubwa waliona kwamba imani ya Kikristo sio udhaifu, wala sio ujinga. Waliona kwamba hakuna akili ya kibinadamu inayoweza kutatua siri ya maisha, kifo na wokovu bila Kristo.

Kwa hiyo ndugu yangu, wewe unayeimba kila siku kwamba kumwamini Yesu ni “mental health” au ni “upuuzi,” tafakari tena kauli zako. Je, akili zako zimezidi za Pascal, Collins, Kim au Adler? Watu hao wenye kiwango cha juu cha IQ waliamua kumfuata Yesu, ni nini kinachokuzuia wewe leo usiamue kuokoka na kumfuata Yesu?

Leo hii, fanya uamuzi wa busara. Tubu dhambi zako, mwamini Yesu Kristo, upokee wokovu wa bure. Usikubali shetani akupoteze kwa hoja zake za uongo. Shetani anaujua uzuri wa mbinguni. Lakini hawezi tena kurudi huko, ameishahukumiwa kutupwa motoni. Kwa sababu hiyo hapendi wewe uokoke na kuingia mbinguni kwenye raha ya milele. Ndio sababu anahangaika kukushawishi umkatae Yesu ili na wewe uangamie motoni milele. Shtuka mapema, mpinge shetani na umkubali Yesu leo, kabla mlango wa neema haujafungwa.

Mungu akubariji sana kwa andiko hili, na wale wote wasomao kwa hamu ya kumtumikia Mumgu wa kweli katika ukamilifu wake wa utatu mtakatifu.

Ni yule pekee aliyepumbazwa akili na shetani ndiye ashindwaye kuisikia sauti ya Yesu Kristo.

Yesu mwenyewe alisema, "walio wangu nawajua na kila aliye Wangu, huisikia sauti yangu".

Lakini pia andiko linasema wapumbavu hukataa kuwa hakuna Mungu:

Zaburi 53:1 NENO​

Mpumbavu anasema moyoni mwake, “Hakuna Mungu.” Wameharibika, na njia zao ni za uovu kabisa, hakuna hata mmoja atendaye mema.
 
Katika ulimwengu wa leo, kuna watu wanaofikiri kwamba wanaomwamini Yesu Kristo na kuwa walokole ni “watu wenye ufahamu mdogo” au "wenye changamoto ya afya ya akili." Lakini historia na ukweli wa sasa unashuhudia vinginevyo. Kuna watu wanaotambulika kuwa wana kiwango cha juu cha akili (high IQ) na elimu kubwa, lakini waliamua kumkabidhi Kristo maisha yao.

1. Blaise Pascal
Huyu ni mwanafizikia, mhandisi na mwanafalsafa mashuhuri wa Ufaransa. Aliunda “Pascal’s Triangle” na kuanzisha misingi ya nadharia ya uwezekano (probability theory). Pamoja na akili kubwa, alikiri kwamba ukweli wa Kristo unazidi hoja za kibinadamu. Katika maandiko yake ya Pensées alieleza uzuri wa imani ya Kikristo na haja ya kumwamini Yesu.

2. Francis Collins
Ni mwanasayansi wa Marekani aliyeongoza Human Genome Project, mradi uliotafsiri ramani ya vinasaba vya binadamu. Awali alikuwa akijiita atheist, lakini baada ya tafakuri na utafiti, aliugeukia Ukristo na kukiri kuwa Yesu Kristo ndiye Bwana na Mwokozi wake. Kitabu chake The Language of God kinaeleza safari hiyo ya imani.

3. YoungHoon Kim
Anatajwa na vyombo mbalimbali kuwa na IQ kubwa mno duniani—276. Hata katika zama za leo, ametangaza hadharani kwamba imani yake iko kwa Yesu Kristo. Alinukuliwa akisema: “Christ is my logic” yaani Kristo ndiye mantiki yake. Huu ni ushahidi kwamba hata wenye akili kubwa zaidi hawaoni aibu kumpokea Yesu Kristo.

4. Mortimer J. Adler
Huyu ni mwanafalsafa mashuhuri na mwandishi anayeheshimika sana katika ulimwengu wa elimu. Kwa miaka mingi aliishi bila imani, lakini mwishowe alibadilika, akabatizwa, na kumkiri Yesu Kristo. Adler alikiri kwamba falsafa pekee haiwezi kutosheleza kiu ya nafsi ya mwanadamu bila ukweli wa imani ya Kikristo.

Watu hao wenye akili kubwa waliona kwamba imani ya Kikristo sio udhaifu, wala sio ujinga. Waliona kwamba hakuna akili ya kibinadamu inayoweza kutatua siri ya maisha, kifo na wokovu bila Kristo.

Kwa hiyo ndugu yangu, wewe unayeimba kila siku kwamba kumwamini Yesu ni “mental health” au ni “upuuzi,” tafakari tena kauli zako. Je, akili zako zimezidi za Pascal, Collins, Kim au Adler? Watu hao wenye kiwango cha juu cha IQ waliamua kumfuata Yesu, ni nini kinachokuzuia wewe leo usiamue kuokoka na kumfuata Yesu?

Leo hii, fanya uamuzi wa busara. Tubu dhambi zako, mwamini Yesu Kristo, upokee wokovu wa bure. Usikubali shetani akupoteze kwa hoja zake za uongo. Shetani anaujua uzuri wa mbinguni. Lakini hawezi tena kurudi huko, ameishahukumiwa kutupwa motoni. Kwa sababu hiyo hapendi wewe uokoke na kuingia mbinguni kwenye raha ya milele. Ndio sababu anahangaika kukushawishi umkatae Yesu ili na wewe uangamie motoni milele. Shtuka mapema, mpinge shetani na umkubali Yesu leo, kabla mlango wa neema haujafungwa.
Wafilipi 2:10-11
[10]ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi;
That at the name of Jesus every knee should bow, of things in heaven, and things in earth, and things under the earth;
[11]na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.
And that every tongue should confess that Jesus Christ is Lord, to the glory of God the Father.
 
Waefeso 4:18-20
Watu hao akili zao zimetiwa giza na wametengwa mbali na uzima wa Mungu kwa sababu ya ujinga wao kutokana na ugumu wa mioyo yao. Wakiisha kufa ganzi, wamejitia katika mambo ya ufisadi na kujiingiza katika kila aina ya uchafu, wakiendelea kutamani zaidi
Maandishi ya wazee waliokufa
 
Katika ulimwengu wa leo, kuna watu wanaofikiri kwamba wanaomwamini Yesu Kristo na kuwa walokole ni “watu wenye ufahamu mdogo” au "wenye changamoto ya afya ya akili." Lakini historia na ukweli wa sasa unashuhudia vinginevyo. Kuna watu wanaotambulika kuwa wana kiwango cha juu cha akili (high IQ) na elimu kubwa, lakini waliamua kumkabidhi Kristo maisha yao.

1. Blaise Pascal
Huyu ni mwanafizikia, mhandisi na mwanafalsafa mashuhuri wa Ufaransa. Aliunda “Pascal’s Triangle” na kuanzisha misingi ya nadharia ya uwezekano (probability theory). Pamoja na akili kubwa, alikiri kwamba ukweli wa Kristo unazidi hoja za kibinadamu. Katika maandiko yake ya Pensées alieleza uzuri wa imani ya Kikristo na haja ya kumwamini Yesu.

2. Francis Collins
Ni mwanasayansi wa Marekani aliyeongoza Human Genome Project, mradi uliotafsiri ramani ya vinasaba vya binadamu. Awali alikuwa akijiita atheist, lakini baada ya tafakuri na utafiti, aliugeukia Ukristo na kukiri kuwa Yesu Kristo ndiye Bwana na Mwokozi wake. Kitabu chake The Language of God kinaeleza safari hiyo ya imani.

3. YoungHoon Kim
Anatajwa na vyombo mbalimbali kuwa na IQ kubwa mno duniani—276. Hata katika zama za leo, ametangaza hadharani kwamba imani yake iko kwa Yesu Kristo. Alinukuliwa akisema: “Christ is my logic” yaani Kristo ndiye mantiki yake. Huu ni ushahidi kwamba hata wenye akili kubwa zaidi hawaoni aibu kumpokea Yesu Kristo.

4. Mortimer J. Adler
Huyu ni mwanafalsafa mashuhuri na mwandishi anayeheshimika sana katika ulimwengu wa elimu. Kwa miaka mingi aliishi bila imani, lakini mwishowe alibadilika, akabatizwa, na kumkiri Yesu Kristo. Adler alikiri kwamba falsafa pekee haiwezi kutosheleza kiu ya nafsi ya mwanadamu bila ukweli wa imani ya Kikristo.

Watu hao wenye akili kubwa waliona kwamba imani ya Kikristo sio udhaifu, wala sio ujinga. Waliona kwamba hakuna akili ya kibinadamu inayoweza kutatua siri ya maisha, kifo na wokovu bila Kristo.

Kwa hiyo ndugu yangu, wewe unayeimba kila siku kwamba kumwamini Yesu ni “mental health” au ni “upuuzi,” tafakari tena kauli zako. Je, akili zako zimezidi za Pascal, Collins, Kim au Adler? Watu hao wenye kiwango cha juu cha IQ waliamua kumfuata Yesu, ni nini kinachokuzuia wewe leo usiamue kuokoka na kumfuata Yesu?

Leo hii, fanya uamuzi wa busara. Tubu dhambi zako, mwamini Yesu Kristo, upokee wokovu wa bure. Usikubali shetani akupoteze kwa hoja zake za uongo. Shetani anaujua uzuri wa mbinguni. Lakini hawezi tena kurudi huko, ameishahukumiwa kutupwa motoni. Kwa sababu hiyo hapendi wewe uokoke na kuingia mbinguni kwenye raha ya milele. Ndio sababu anahangaika kukushawishi umkatae Yesu ili na wewe uangamie motoni milele. Shtuka mapema, mpinge shetani na umkubali Yesu leo, kabla mlango wa neema haujafungwa.
Utopolo mtupu. Maaaviii matupu. Nani hana akili kubwa?
 
Kuna jamaa kasema kama Yesu angejua watu wenyew anaojitoa sadaka mpo hvi asingekubal kufa msalabani

Kabla ya ukristo na Yesu je watu walikua hawana akili ndo swali la kujiuliza la msingi sana
 
Back
Top Bottom