Wajue watu hawa wenye IQ kubwa walioamua kuwa Wakristo

Amen, Mtumishi wa Mungu. ubarikiwe sana
 
Ameen. Asante kwa kupigilia msumari.
Halafu nimeipenda sana hiyo Avatar yako. Ni ishara kuwa unajua umuhimu wa kuibariki Israeli
 
Kida ze great na The Father of All naomba msome huu uzi kwanza halafu ndio muendelee kucomment. Nawaomba sana kwa unyenyekevu
 
Nenda zako huko. Mbinguni hakuna servers. Na. kama zipo, ulikwenda lini huko bila kufa na kurudi ili kuja kututapeli na kututisha? Usitufundishe tabia kwenye umri huu wa uzee. Kwenda zako na mbinguni yako
 
Jifunze kutofautisha servers na "servers"
 
Attachments

  • 0594feb2d725d4d5c6bb4659c622be2a.mp4
    7.3 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…