tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,931
- 15,849
- Thread starter
- #21
Anzisha uzi wako..unakua muoga hata kuanzisha uzi utaweza kudai katiba mpya kweli?Naomba kufahamishwa... Kile kikokotoo kilichosimamishwa zama zile za jpm, kitaanza kutumika tena lini? Ama kimefutwa kimya kimya? Na je ukienda nssf wakati huu unapata mafao yako yote? Msaada tafadhali..