Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Umefika wakati sasa hata watukanaji kwenye mitandao wawajibishwe kwa makosa yao ya kutukana hovyo hovyo!...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, wamefanya mazungumzo na ujumbe maalum wa wajumbe 11 wa Baraza la Wawakilishi la Marekani (Congress).
Ujumbe huo uliongozwa na Ronny Jackson, Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Huduma za Kijeshi, Ulinzi na Usalama ya Baraza la Wawakilishi la Marekani (House Armed Services Subcommittee).
Mazungumzo hayo yamefanyika katika Makao Makuu ya zamani ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Ngome Upanga, jijini Dar es Salaam.
Katika mazungumzo hayo, Tanzania imeeleza umuhimu wa kuondolewa kwa baadhi ya vikwazo, ikiwemo vinavyohusu utoaji wa visa kwa Watanzania wanaosafiri kwenda Marekani, ili kuimarisha uhusiano kati ya wananchi wa nchi hizo mbili.
Kwa upande wake, ujumbe wa Marekani umeipongeza Tanzania kwa mchango wake katika kudumisha amani na usalama wa kikanda, hususan kupitia juhudi za kupambana na ugaidi na ushiriki katika operesheni za kulinda amani barani Afrika.
Pande hizo mbili zimekubaliana kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika maeneo yenye maslahi ya pamoja na kuendelea na majadiliano kuhusu masuala yaliyowasilishwa na Tanzania katika vikao vijavyo.
N.b,Huwezi haribu uhusiano wetu mzuri na marekani,unajichosha tu akili.View attachment 3641995
Unachekesha.Umetoa ujumbe vizuri halafu mwisho umetumia tissue iliyotumika juzi.Unawajua mabeberu wewe? Ulitaka waanze kufokafoka mkutanoni kama vibwengo? Subiri utajua hujui kitu.Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, wamefanya mazungumzo na ujumbe maalum wa wajumbe 11 wa Baraza la Wawakilishi la Marekani (Congress).
Ujumbe huo uliongozwa na Ronny Jackson, Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Huduma za Kijeshi, Ulinzi na Usalama ya Baraza la Wawakilishi la Marekani (House Armed Services Subcommittee).
Mazungumzo hayo yamefanyika katika Makao Makuu ya zamani ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Ngome Upanga, jijini Dar es Salaam.
Katika mazungumzo hayo, Tanzania imeeleza umuhimu wa kuondolewa kwa baadhi ya vikwazo, ikiwemo vinavyohusu utoaji wa visa kwa Watanzania wanaosafiri kwenda Marekani, ili kuimarisha uhusiano kati ya wananchi wa nchi hizo mbili.
Kwa upande wake, ujumbe wa Marekani umeipongeza Tanzania kwa mchango wake katika kudumisha amani na usalama wa kikanda, hususan kupitia juhudi za kupambana na ugaidi na ushiriki katika operesheni za kulinda amani barani Afrika.
Pande hizo mbili zimekubaliana kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika maeneo yenye maslahi ya pamoja na kuendelea na majadiliano kuhusu masuala yaliyowasilishwa na Tanzania katika vikao vijavyo.
N.b,Huwezi haribu uhusiano wetu mzuri na marekani,unajichosha tu akili.View attachment 3641995
Kwani magereza yanayotanuka kama kondomu yameshaandaliwa ili kukidhi na kukata kiu yako?Umefika wakati sasa hata watukanaji kwenye mitandao wawajibishwe kwa makosa yao ya kutukana hovyo hovyo!...
Sikuwahi ona vijana wenye matusi kama vijana wa chadema!
Hawa wamelipia hadi chai na Serikali. All these for what? Msingeua watu msingefanya hivi. Na bado kibano cha Ted Cruz kitakuwa pale pale.Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, wamefanya mazungumzo na ujumbe maalum wa wajumbe 11 wa Baraza la Wawakilishi la Marekani (Congress).
Ujumbe huo uliongozwa na Ronny Jackson, Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Huduma za Kijeshi, Ulinzi na Usalama ya Baraza la Wawakilishi la Marekani (House Armed Services Subcommittee).
Mazungumzo hayo yamefanyika katika Makao Makuu ya zamani ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Ngome Upanga, jijini Dar es Salaam.
Katika mazungumzo hayo, Tanzania imeeleza umuhimu wa kuondolewa kwa baadhi ya vikwazo, ikiwemo vinavyohusu utoaji wa visa kwa Watanzania wanaosafiri kwenda Marekani, ili kuimarisha uhusiano kati ya wananchi wa nchi hizo mbili.
Kwa upande wake, ujumbe wa Marekani umeipongeza Tanzania kwa mchango wake katika kudumisha amani na usalama wa kikanda, hususan kupitia juhudi za kupambana na ugaidi na ushiriki katika operesheni za kulinda amani barani Afrika.
Pande hizo mbili zimekubaliana kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika maeneo yenye maslahi ya pamoja na kuendelea na majadiliano kuhusu masuala yaliyowasilishwa na Tanzania katika vikao vijavyo.
N.b,Huwezi haribu uhusiano wetu mzuri na marekani,unajichosha tu akili.View attachment 3641995
Hawa ma congress man wameanzia rwanda,inamaana na rwanda wamewanunua?,#tuache imani za kibwege!, huyo ted cruz na kale ka bibie ni watu wawili tu, hawa wamejionea hali ilivywo shwari mustarehe, amerika hutumia sana kura,wale viberenge wawili,watapuuzwa!Hawa wamelipia hadi chai na Serikali. All these for what? Msingeua watu msingefanya hivi. Na bado kibano cha Ted Cruz kitakuwa pale pale.
Wapo kwenye ziara ndefu kwa nchi maalum pekee zile zenye democrasia ya kweli na haki,wameanzia #rwanda mkuu.Hichi kikao ni kizito haswa. Hawa ndiyo wafanya maamuzi wa Marekani kama wamejileta wenye afadhali tunaweza wamudu
Kweli Ile kampuni ya kuleta Taswira nzuri kwa Tanzania imefanya kazi kubwa
CCM OYEEEEEEEE
Wewe bwege kweli. Kuna post moja unasema hovyo kuhusu wamarekani. Leo unasema vingine. Ukiwa CCM unaweza kuambiwa wewe ni mwananmke na ukashangilia kweli kuwa wewe ni mwanamke ili hali wewe ni mwanaume. Akili hizo ni zaidi ya......Hawa ma congress man wameanzia rwanda,inamaana na rwanda wamewanunua?,#tuache imani za kibwege!, huyo ted cruz na kale ka bibie ni watu wawili tu, hawa wamejionea hali ilivywo shwari mustarehe, amerika hutumia sana kura,wale viberenge wawili,watapuuzwa!
Wauaji wauajiWaziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, wamefanya mazungumzo na ujumbe maalum wa wajumbe 11 wa Baraza la Wawakilishi la Marekani (Congress).
Ujumbe huo uliongozwa na Ronny Jackson, Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Huduma za Kijeshi, Ulinzi na Usalama ya Baraza la Wawakilishi la Marekani (House Armed Services Subcommittee).
Mazungumzo hayo yamefanyika katika Makao Makuu ya zamani ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Ngome Upanga, jijini Dar es Salaam.
Katika mazungumzo hayo, Tanzania imeeleza umuhimu wa kuondolewa kwa baadhi ya vikwazo, ikiwemo vinavyohusu utoaji wa visa kwa Watanzania wanaosafiri kwenda Marekani, ili kuimarisha uhusiano kati ya wananchi wa nchi hizo mbili.
Kwa upande wake, ujumbe wa Marekani umeipongeza Tanzania kwa mchango wake katika kudumisha amani na usalama wa kikanda, hususan kupitia juhudi za kupambana na ugaidi na ushiriki katika operesheni za kulinda amani barani Afrika.
Pande hizo mbili zimekubaliana kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika maeneo yenye maslahi ya pamoja na kuendelea na majadiliano kuhusu masuala yaliyowasilishwa na Tanzania katika vikao vijavyo.
N.b,Huwezi haribu uhusiano wetu mzuri na marekani,unajichosha tu akili.
°Uzi kama huu ungeliandikwa na chadema wangeandika mambo ya hovyo kabisa,kuharibu sifa nzuri ya taifa hili,maana ndiyo kiu yao!
View attachment 3641995
well done serikali sikivu ya CCM na wajumbe wa Congress kutoka Marekani 🔥Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, wamefanya mazungumzo na ujumbe maalum wa wajumbe 11 wa Baraza la Wawakilishi la Marekani (Congress).
Ujumbe huo uliongozwa na Ronny Jackson, Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Huduma za Kijeshi, Ulinzi na Usalama ya Baraza la Wawakilishi la Marekani (House Armed Services Subcommittee).
Mazungumzo hayo yamefanyika katika Makao Makuu ya zamani ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Ngome Upanga, jijini Dar es Salaam.
Katika mazungumzo hayo, Tanzania imeeleza umuhimu wa kuondolewa kwa baadhi ya vikwazo, ikiwemo vinavyohusu utoaji wa visa kwa Watanzania wanaosafiri kwenda Marekani, ili kuimarisha uhusiano kati ya wananchi wa nchi hizo mbili.
Kwa upande wake, ujumbe wa Marekani umeipongeza Tanzania kwa mchango wake katika kudumisha amani na usalama wa kikanda, hususan kupitia juhudi za kupambana na ugaidi na ushiriki katika operesheni za kulinda amani barani Afrika.
Pande hizo mbili zimekubaliana kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika maeneo yenye maslahi ya pamoja na kuendelea na majadiliano kuhusu masuala yaliyowasilishwa na Tanzania katika vikao vijavyo.
N.b,Huwezi haribu uhusiano wetu mzuri na marekani,unajichosha tu akili.
°Uzi kama huu ungeliandikwa na chadema wangeandika mambo ya hovyo kabisa,kuharibu sifa nzuri ya taifa hili,maana ndiyo kiu yao!
View attachment 3641995
In fact watu hap wa chini sana,Hao ni watu wa level ya chini sana Marekani.
Kuja kwao hakuondoi muswada uliopo kwenye bunge la Marwkani.
Na kuja kwao si suala ujiko kwa CCM.
Angekuja John Thune au Michael Johnson, hapo labda ningestuka kidogo.
Muswada dhidi ya Samia na wauaji wenzake upo palepale.In fact watu hap wa chini sana,
wamepanga pia kumtembelea kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi korokoroni 🐒
relax tu gentleman, haya mambo hayahitaji mihemko 🤣Muswada dhidi ya Samia na wauaji wenzake upo palepale.
Sanctions dhidi ya Mafwele na Makonda bado zipo palepale na zingine kuwahusu wengine zipo njiani.
Kwa nini mnawaomba Marekani waondoe vikwazo?relax tu gentleman, haya mambo hayahitaji mihemko 🤣
okay bas sawa,Kwa nini mnawaomba Marekani waondoe vikwazo?