Doria Mtandaoni
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 461
- 934
Mabeberu ni watu wema.
Ukilewa usitypeMungu wabariki wazungu.
Mungu wabariki zaidi Commonwealth
Jumuia ya madola.
Nani aliyempa mwaliko mwenzake?WAJUMBE WA CONGRESS WA SERIKALI YA MAREKANI WAKUTANA NA WIZARA YA ULINZI NA JKT
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo, wamefanya mazungumzo na ujumbe maalum wa wajumbe 11 wa Baraza la Wawakilishi la Marekani (Congress) kutoka vyama viwili vikuu vya kisiasa nchini humo, Democrat na Republican.
Ujumbe huo uliongozwa na Ronny Jackson, Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Huduma za Kijeshi, Ulinzi na Usalama ya Baraza la Wawakilishi la Marekani (House Armed Services Subcommittee).
Mazungumzo hayo yalifanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya zamani ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Ngome Upanga, Dar es Salaam, yakilenga kujadili maeneo ya kipaumbele katika uhusiano kati ya Tanzania na Marekani.
Miongoni mwa maeneo yaliyojadiliwa ni ushirikiano katika biashara, uwekezaji, ulinzi na usalama, pamoja na hali ya amani na usalama katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.
Katika mazungumzo hayo, ujumbe wa Serikali ya Marekani ulieleza dhamira ya kuendelea kupanua ushirikiano wa kiuchumi na Tanzania, hususan katika sekta za kimkakati zikiwemo gesi asilia iliyoyeyushwa (LNG), madini muhimu, usafiri wa anga, pamoja na ulinzi na usalama.
Kwa upande wake, Serikali ya Tanzania, chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ilisisitiza umuhimu wa kuimarisha uhusiano wa wananchi wa nchi hizo mbili kwa kuondoa vikwazo vya utoaji wa visa kwa Watanzania wanaosafiri kwenda Marekani, pamoja na vikwazo vingine vilivyowekwa dhidi ya Tanzania.
Aidha, ujumbe wa Marekani uliipongeza Tanzania kwa mchango wake katika kudumisha amani na usalama wa kikanda, ikiwemo juhudi za kupambana na ugaidi na ushiriki wake katika operesheni za kulinda amani barani Afrika.
Viongozi wengine waandamizi wa Serikali ya Tanzania walioshiriki katika mazungumzo hayo ni pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe; Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda; pamoja na maafisa wengine waandamizi kutoka Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Wizara
USSR
View attachment 3642162 ya Mambo ya Nje
Teddy Cruz na mwenzake walikinukisha sanaWAJUMBE WA CONGRESS WA SERIKALI YA MAREKANI WAKUTANA NA WIZARA YA ULINZI NA JKT

Marekani huwa walifanya jambo hawataniiWAJUMBE WA CONGRESS WA SERIKALI YA MAREKANI WAKUTANA NA WIZARA YA ULINZI NA JKT

Hakuna hata moja linalogusa HAKI za waTanzania!Katika mazungumzo hayo, ujumbe wa Serikali ya Marekani ulieleza dhamira ya kuendelea kupanua ushirikiano wa kiuchumi na Tanzania, hususan katika sekta za kimkakati zikiwemo gesi asilia iliyoyeyushwa (LNG), madini muhimu, usafiri wa anga, pamoja na ulinzi na usalama.
Hili mbona lipo wazi kabisa!Nani aliyempa mwaliko mwenzake?