Wajumbe 11 wa Congress watua Dar, wafanya majadiliano muhimu na waandamizi

labda ndiyo maana satanic muslim jihadists waliouwa Christians arusha “wamehukumiwa” kunyongwa, its just a game, lkn nielewavyo USA hadanganyiki kitoto namna hiyo …
 
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, wamefanya mazungumzo na ujumbe maalum wa wajumbe 11 wa Baraza la Wawakilishi la Marekani (Congress).

Ujumbe huo uliongozwa na Ronny Jackson, Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Huduma za Kijeshi, Ulinzi na Usalama ya Baraza la Wawakilishi la Marekani (House Armed Services Subcommittee).

Mazungumzo hayo yamefanyika katika Makao Makuu ya zamani ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Ngome Upanga, jijini Dar es Salaam.

Katika mazungumzo hayo, Tanzania imeeleza umuhimu wa kuondolewa kwa baadhi ya vikwazo, ikiwemo vinavyohusu utoaji wa visa kwa Watanzania wanaosafiri kwenda Marekani, ili kuimarisha uhusiano kati ya wananchi wa nchi hizo mbili.

Kwa upande wake, ujumbe wa Marekani umeipongeza Tanzania kwa mchango wake katika kudumisha amani na usalama wa kikanda, hususan kupitia juhudi za kupambana na ugaidi na ushiriki katika operesheni za kulinda amani barani Afrika.

Pande hizo mbili zimekubaliana kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika maeneo yenye maslahi ya pamoja na kuendelea na majadiliano kuhusu masuala yaliyowasilishwa na Tanzania katika vikao vijavyo.

N.b,Huwezi haribu uhusiano wetu mzuri na marekani,unajichosha tu akili.

°Uzi kama huu ungeliandikwa na chadema wangeandika mambo ya hovyo kabisa,kuharibu sifa nzuri ya taifa hili,maana ndiyo kiu yao!
View attachment 3641995
Chadema hawaoni aibu hao wajumbe wa Congress wamenunuliwa na CCM!
 
😁🤣😄😀😃😅😆😂🔥🔥🔥😂😅😆😄Lazima Tuchutame
 
Who are you?.
Wahenga walisema “usitishie kuchafua hali ya hewa kama una tumbo la kuendesha”
 
Muswada dhidi ya Samia na wauaji wenzake upo palepale.

Sanctions dhidi ya Mafwele na Makonda bado zipo palepale na zingine kuwahusu wengine zipo njiani.
Nothing went without voting!,waliofika tz ni 11 tu, totally senator is 535,masenator vibaraka yaani akina cruz T ni wawili Tu./ Just measure options after voting!...
#Useless!...
 
🤣🤣

Ujinga ni mzigo! CCM ni majuha sana.

Maseneta ni wangapi?
 
🤣🤣

Ujinga ni mzigo! CCM ni majuha sana.

Maseneta ni wangapi?
Jumla ya masenator ni wangapi?U.S Mimi nimeishi kule,je wewe unajua wapo wangapi?kuna 100 huwa hawahusiki kwenye kupiga kura!
 
Wewe ni juha kama gunia la mawe!

Hata kuandika ueleweke, hujui!

US kuna maseneta 100 huwa hawahusiki kwenye kupiga kura????
 
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, wamefanya mazungumzo na ujumbe maalum wa wajumbe 11 wa Baraza la Wawakilishi la Marekani (Congress).

Ujumbe huo uliongozwa na Ronny Jackson, Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Huduma za Kijeshi, Ulinzi na Usalama ya Baraza la Wawakilishi la Marekani (House Armed Services Subcommittee).

Mazungumzo hayo yamefanyika katika Makao Makuu ya zamani ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Ngome Upanga, jijini Dar es Salaam.

Katika mazungumzo hayo, Tanzania imeeleza umuhimu wa kuondolewa kwa baadhi ya vikwazo, ikiwemo vinavyohusu utoaji wa visa kwa Watanzania wanaosafiri kwenda Marekani, ili kuimarisha uhusiano kati ya wananchi wa nchi hizo mbili.

Kwa upande wake, ujumbe wa Marekani umeipongeza Tanzania kwa mchango wake katika kudumisha amani na usalama wa kikanda, hususan kupitia juhudi za kupambana na ugaidi na ushiriki katika operesheni za kulinda amani barani Afrika.

Pande hizo mbili zimekubaliana kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika maeneo yenye maslahi ya pamoja na kuendelea na majadiliano kuhusu masuala yaliyowasilishwa na Tanzania katika vikao vijavyo.

N.b,Huwezi haribu uhusiano wetu mzuri na marekani,unajichosha tu akili.

°Uzi kama huu ungeliandikwa na chadema wangeandika mambo ya hovyo kabisa,kuharibu sifa nzuri ya taifa hili,maana ndiyo kiu yao!
View attachment 3641995
usichoke jua ujweli wanaujua
 
Si watakutana na chedema then wataambiwa ukweli wa mambo ulivyo

Then wenyewe watapima
 
🤣🤣

Wewe ni juha kama gunia la mawe!

Hata kuandika ueleweke, hujui!

US kuna maseneta 100 huwa hawahusiki kwenye kupiga kura????
Ukiwa mjinga (yaani hulijui jambo) ni bora kukaa kimya kutunza heshima yako.

Sasa huyu Crocodiletooth ni ishara tunaongozwa na watu wa aina gani. Kwenye kuanika zaidi alivyo kachomekea na kuishi Marekani😄😀😃

Ni kama anataka kumfundisha samaki kuishi majini.
 
Tutawashughulikia

Ona wenzetu hao walio na vijana bora kwenye vyama vyao

Nyie huku mnawaza kushughulikiana na mama zenu wanapita madirishani kwenye mabasi ya kodi zao

Vijana wa hovyo kabisa kama mmerogwa
 
Attachments

  • Screenshot_20260724_123543.jpg
    Screenshot_20260724_123543.jpg
    200.3 KB · Views: 13
Hao ni watu wa level ya chini sana Marekani.

Kuja kwao hakuondoi muswada uliopo kwenye bunge la Marwkani.

Na kuja kwao si suala ujiko kwa CCM.

Angekuja John Thune au Michael Johnson, hapo labda ningestuka kidogo.
Hao hawakuja kwa ajili ya vacation;

Wamekuja kama wawakilishi wa Serikali ya marekani hivyo wana mamlaka ya kujadili lolote na serikali yetu.

Hao uliowataja kawatafute upige nao picha, inatosha.
 
Wandamizi makonda.
Kazi ni kipimo cha utu
 
WAJUMBE WA CONGRESS WA SERIKALI YA MAREKANI WAKUTANA NA WIZARA YA ULINZI NA JKT

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo, wamefanya mazungumzo na ujumbe maalum wa wajumbe 11 wa Baraza la Wawakilishi la Marekani (Congress) kutoka vyama viwili vikuu vya kisiasa nchini humo, Democrat na Republican.

Ujumbe huo uliongozwa na Ronny Jackson, Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Huduma za Kijeshi, Ulinzi na Usalama ya Baraza la Wawakilishi la Marekani (House Armed Services Subcommittee).

Mazungumzo hayo yalifanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya zamani ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Ngome Upanga, Dar es Salaam, yakilenga kujadili maeneo ya kipaumbele katika uhusiano kati ya Tanzania na Marekani.

Miongoni mwa maeneo yaliyojadiliwa ni ushirikiano katika biashara, uwekezaji, ulinzi na usalama, pamoja na hali ya amani na usalama katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.

Katika mazungumzo hayo, ujumbe wa Serikali ya Marekani ulieleza dhamira ya kuendelea kupanua ushirikiano wa kiuchumi na Tanzania, hususan katika sekta za kimkakati zikiwemo gesi asilia iliyoyeyushwa (LNG), madini muhimu, usafiri wa anga, pamoja na ulinzi na usalama.

Kwa upande wake, Serikali ya Tanzania, chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ilisisitiza umuhimu wa kuimarisha uhusiano wa wananchi wa nchi hizo mbili kwa kuondoa vikwazo vya utoaji wa visa kwa Watanzania wanaosafiri kwenda Marekani, pamoja na vikwazo vingine vilivyowekwa dhidi ya Tanzania.

Aidha, ujumbe wa Marekani uliipongeza Tanzania kwa mchango wake katika kudumisha amani na usalama wa kikanda, ikiwemo juhudi za kupambana na ugaidi na ushiriki wake katika operesheni za kulinda amani barani Afrika.

Viongozi wengine waandamizi wa Serikali ya Tanzania walioshiriki katika mazungumzo hayo ni pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe; Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda; pamoja na maafisa wengine waandamizi kutoka Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Wizara

USSR
IMG-20260802-WA0045.jpg
ya Mambo ya Nje
 
Back
Top Bottom