Wajumbe 11 wa Congress watua Dar, wafanya majadiliano muhimu na waandamizi

Nani aliyempa mwaliko mwenzake?
 
Teddy Cruz na mwenzake walikinukisha sana
 
Marekani huwa walifanya jambo hawatanii
 
Hakuna hata moja linalogusa HAKI za waTanzania!

Hiyo maana yake thanmani yetu ni ndogo sana kwa hawa watu; mna mshirika wao yupo tayari sana kutuuza kwa bei yoyote.

ujumbe huu umeletwa hapa kwa juhudi za kile kikampuni (lobbyists) kilicholipwa pesa kuwafanyia kazi waovu

Kipaumbele cha ujumbe huu ni maslahi ya nchi yao; nasi tupo tayari kabisa kuyalinda, ili mradi tu waovu wasisumbuliwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…