Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Lucas Mwashambwa ana ID nyingi Sana apigwe ban ππUnaota mzee baba
Duh πNI kama mmepewa Nafasi ya kutupatia Waziri Mkuu mpya 2025-2030. Pole Gambo, pole sana
Mmelipwa kiasi gani, Rais hapigiwi kampeni kipumbavu hivi. Mambo ya PM ni siri ya Rais we poyoyo kafanye mambo yakoNI kama mmepewa Nafasi ya kutupatia Waziri Mkuu mpya 2025-2030. Pole Gambo, pole sana
Watakuwa wajinga sana kama watakubali kutapeliwa kifala iviNI kama mmepewa Nafasi ya kutupatia Waziri Mkuu mpya 2025-2030. Pole Gambo, pole sana