Jeep wrangler
JF-Expert Member
- Jan 7, 2024
- 1,794
- 3,350
Sio mbaya mara moja moja moja kumsifia adui yako.
Hii ni mbinu ya kale ya kivita.
Gekul ulikula kodi za wananchi kwa biashara haramu ya manunuzi ya binadamu awamu ya 5, karibu uraiani.
Mollel.....nawe ulitamani mapato ya aibu, ukala kodi zetu kwa dharau.
Waitara Mwita, ukaona ujipatie pesa bwerere za kula kilaji, kiko wapi?
Gambo, ulikuwa na majigambo, ukatesa, ukachoma moto, ukashtaki wasio na hatia, ukatembea juu ya damu. Hatimaye ulifika ulikotaka kufika, mwendo umeumaliza.
Silinde utapona?
peneza, utapendeza?
Hanje, mfungwa toka gerezani hadi Bungeni, ukajipa moyo eti Yusufu naye alifungwa, akaibukia Ikulu kwa Farao....je wajumbe watakuvusha?
Katambi, mwenye damu ya kunguni, ulipewa lift ukasnza kupiga na honi huku ukitutukana wengine, vipi mwenye gari bado ana nafasi ya kukubeba?
Wajumbe, kazi yenu tamu na chafu sana.
Mshana Jr Tindo Erythrocyte Terminator
Wasaliti wote msiwaache waende kuzimu na mvi zao, wafundisheni kuwa ccm ina watu wake😂