GE2025 Wajumbe-CCM kazi yenu ni njema sanaa

GE2025 Wajumbe-CCM kazi yenu ni njema sanaa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyo ni mtu wao watajuana, mimi naongelea wasaliti wafyekwe...
MSIGWA naye nasikia chali
1752328038486.jpg
 
Angalia wajumbe wenye bashasha,
Wamekuja wamevalia kijani,
Na khanga safi mabegani wameweka,
Kapero zao kichwani zinapendeza,
aeeeeeeeeh alo.
 
Sio mbaya mara moja moja moja kumsifia adui yako.
Hii ni mbinu ya kale ya kivita.

Gekul ulikula kodi za wananchi kwa biashara haramu ya manunuzi ya binadamu awamu ya 5, karibu uraiani.

Mollel.....nawe ulitamani mapato ya aibu, ukala kodi zetu kwa dharau.

Waitara Mwita, ukaona ujipatie pesa bwerere za kula kilaji, kiko wapi?

Gambo, ulikuwa na majigambo, ukatesa, ukachoma moto, ukashtaki wasio na hatia, ukatembea juu ya damu. Hatimaye ulifika ulikotaka kufika, mwendo umeumaliza.

Silinde utapona?

peneza, utapendeza?

Hanje, mfungwa toka gerezani hadi Bungeni, ukajipa moyo eti Yusufu naye alifungwa, akaibukia Ikulu kwa Farao....je wajumbe watakuvusha?

Katambi, mwenye damu ya kunguni, ulipewa lift ukasnza kupiga na honi huku ukitutukana wengine, vipi mwenye gari bado ana nafasi ya kukubeba?

Wajumbe, kazi yenu tamu na chafu sana.

Mshana Jr Tindo Erythrocyte Terminator



Wasaliti wote msiwaache waende kuzimu na mvi zao, wafundisheni kuwa ccm ina watu wake😂View attachment 3403544
Gambo, ulikuwa na majigambo, ukatesa, ukachoma moto, ukashtaki wasio na hatia, ukatembea juu ya damu. Hatimaye ulifika ulikotaka kufika, mwendo umeumaliza.📌🔨❗
 
Gambo, ulikuwa na majigambo, ukatesa, ukachoma moto, ukashtaki wasio na hatia, ukatembea juu ya damu. Hatimaye ulifika ulikotaka kufika, mwendo umeumaliza.📌🔨❗
Yaah huyu falla alichoma soko la Samunge moto, halafu akapeleka meza na kiti pale akiwa mkuu wa mkoa, akaanza kuwagawia vipesa waathirika ili kutengeneza mazingira ya ubunge.

Pesa alizokuwa akigawa alikuwa akipora wafanyabiashara wakubwa enzi za Magu....akidai ni maagizo toka juu.
 
Back
Top Bottom