Jeep wrangler
JF-Expert Member
- Jan 7, 2024
- 1,794
- 3,350
Ni zamu ya CCM ndakindaki hao wengine wakajiunge na ubwabwa au no reforms no electionSio mbaya mara moja moja moja kumsifia adui yako.
Hii ni mbinu ya kale ya kivita.
Gekul......ulikula kodi za wananchi kwa biashara haramu ya manunuzi ya binadamu awamu ya 5, karibu uraiani.
Mollel.....nawe ulitamani mapato ya aibu, ukala kodi zetu kwa dharau.
Waitara Mwita, ukaona ujipatie pesa bwerere za kula kilaji, kiko wapi?
Gambo, ulikuwa na majigambo, ukatesa, ukachoma moto, ukashtaki wasio na hatia, ukatembea juu ya damu. Hatimaye ulifika ulikotaka kufika, mwendo umeumaliza.
Silinde utapona?
peneza, utapendeza?
Hanje, mfungwa toka gerezani hadi Bungeni, ukajipa moyo eti Yusufu naye alifungwa, akaibukia Ikulu kwa Farao....je wajumbe watakuvusha?
Katambi, mwenye damu ya kunguni, ulipewa lift ukasnza kupiga na honi huku ukitutukana wengine, vipi mwenye gari bado ana nafasi ya kukubeba?
Wajumbe, kazi yenu tamu na chafu sana.
Mshana Jr Tindo Erythrocyte Terminator View attachment 3403544
Hao mnao wacheka wamefyekwa kesho utakuta kamati kuu imewapitisha hawa didimu waacheni akili zao wanazijua waoSio mbaya mara moja moja moja kumsifia adui yako.
Hii ni mbinu ya kale ya kivita.
Gekul......ulikula kodi za wananchi kwa biashara haramu ya manunuzi ya binadamu awamu ya 5, karibu uraiani.
Mollel.....nawe ulitamani mapato ya aibu, ukala kodi zetu kwa dharau.
Waitara Mwita, ukaona ujipatie pesa bwerere za kula kilaji, kiko wapi?
Gambo, ulikuwa na majigambo, ukatesa, ukachoma moto, ukashtaki wasio na hatia, ukatembea juu ya damu. Hatimaye ulifika ulikotaka kufika, mwendo umeumaliza.
Silinde utapona?
peneza, utapendeza?
Hanje, mfungwa toka gerezani hadi Bungeni, ukajipa moyo eti Yusufu naye alifungwa, akaibukia Ikulu kwa Farao....je wajumbe watakuvusha?
Katambi, mwenye damu ya kunguni, ulipewa lift ukasnza kupiga na honi huku ukitutukana wengine, vipi mwenye gari bado ana nafasi ya kukubeba?
Wajumbe, kazi yenu tamu na chafu sana.
Mshana Jr Tindo Erythrocyte Terminator View attachment 3403544
Ufike wakati wanaotufanya mazombi wakomeshwe, tumechezewa sanaKuna watu wanafurahia utafikiri wao watapewa hayo majimbo.
Sio wote.Hao mnao wacheka wamefyekwa kesho utakuta kamati kuu imewapitisha hawa didimu waacheni akili zao wanazijua wao
Easifanye makosa wawape watu wao waaminifu majira yote nao wafurahieNi zamu ya CCM ndakindaki hao wengine wakajiunge na ubwabwa au no reforms no election
Huyo anawrza rudishwa January akiachwa nje wanamjua ni mharibifu wa chini chiniNasikiia na njanuary kaliwa kichwa.
Huyo ni mtu wao watajuana, mimi naongelea wasaliti wafyekwe...Wamtoe na mkenda mwe
Japo kuna watu wanabebwa tuCcm kamati kuu kama aitotengua maamuzi ya huku chini,basi bunge lijalo wabunge watawatumikia wapiga kura wao inavyostahili
Haha ni kweli bosssmambo ya CCM hayanihusu.
ndani ya Basra - Iraq.
Hivi shoga ake mdee VP huko au hajatia niaBado Esta bulaya
Nimewaagiza naye wasimuache arudi kuzimu na ndefu zake bali wamng'oe kucha ajifunzeBado Esta bulaya