Mrs Byesige
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 2,025
- 3,969
KapitaBado Esta bulaya
Muongo sana, kuna wabunge wanapitishwa kwa Jili ya hongo lkn ni takataka na hawana msaada wowote
Huyo ni mtu wao watajuana, mimi naongelea wasaliti wafyekwe...
MSIGWA naye nasikia chali
Kwenye umasikini huo wa BumbuliWanamhitaji sana Makamba na pia usisahau Makamba Sr bado ana ushawishi
Umasikini ndio mtaji wa ccmKwenye umasikini huo wa Bumbuli
Pole Msigwa.
Jamaa ni prof lakini mi namuona kama hajiwezi kiutendaji ni anastahili kusimamiwa au awe mpiga meza bungeni tu na si kuwa waziri.Wamtoe na mkenda mwe
Gambo, ulikuwa na majigambo, ukatesa, ukachoma moto, ukashtaki wasio na hatia, ukatembea juu ya damu. Hatimaye ulifika ulikotaka kufika, mwendo umeumaliza.ππ¨βSio mbaya mara moja moja moja kumsifia adui yako.
Hii ni mbinu ya kale ya kivita.
Gekul ulikula kodi za wananchi kwa biashara haramu ya manunuzi ya binadamu awamu ya 5, karibu uraiani.
Mollel.....nawe ulitamani mapato ya aibu, ukala kodi zetu kwa dharau.
Waitara Mwita, ukaona ujipatie pesa bwerere za kula kilaji, kiko wapi?
Gambo, ulikuwa na majigambo, ukatesa, ukachoma moto, ukashtaki wasio na hatia, ukatembea juu ya damu. Hatimaye ulifika ulikotaka kufika, mwendo umeumaliza.
Silinde utapona?
peneza, utapendeza?
Hanje, mfungwa toka gerezani hadi Bungeni, ukajipa moyo eti Yusufu naye alifungwa, akaibukia Ikulu kwa Farao....je wajumbe watakuvusha?
Katambi, mwenye damu ya kunguni, ulipewa lift ukasnza kupiga na honi huku ukitutukana wengine, vipi mwenye gari bado ana nafasi ya kukubeba?
Wajumbe, kazi yenu tamu na chafu sana.
Mshana Jr Tindo Erythrocyte Terminator
Wasaliti wote msiwaache waende kuzimu na mvi zao, wafundisheni kuwa ccm ina watu wakeπView attachment 3403544
Yaah huyu falla alichoma soko la Samunge moto, halafu akapeleka meza na kiti pale akiwa mkuu wa mkoa, akaanza kuwagawia vipesa waathirika ili kutengeneza mazingira ya ubunge.Gambo, ulikuwa na majigambo, ukatesa, ukachoma moto, ukashtaki wasio na hatia, ukatembea juu ya damu. Hatimaye ulifika ulikotaka kufika, mwendo umeumaliza.ππ¨β
Yaleteni hayo majinaWajumbe ni mwendo wa kukata majina