Wajumbe feki wa bunge la katiba hawa hapa

SectionTwenty

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2013
Posts
675
Reaction score
611
Wajumbe feki wa bunge la katiba.

1. Kingunge Ngombale Mwiru - ameteuliwa kupitia NGO wakati hana sifa hizo

2. Elizabeth Minde - ni kiongozi kwenye jumuiya ya CCM mkoani Kilimanjaro

3. Evod Herman Mmanda - mjumbe wa NEC wilaya ya Rombo

4. Mary Paulo Daffa - kada wa CCM mkoa wa Singida

5. Adila Vuai - mfanyakazi wa idara ya mambo ya nje ofisi ya Kisiwandui Zanzibar

6. Shamim Khan - amewaahi kuwa mjumbe wa NEC na naibu waziri wa viwanda na biashara

7. Yasmin Haloo - kiongozi wa umoja wa wazazi CCM

8. Paulo Makonda - mkuu wa idara ya uhamasishaji UVCCM

9. Jesca Msambatavangu - mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa

10. Zainab Gama - mbunge wa zamani wa Kibaha

11. Hassan Wasakuvi- mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora

12. Yusufu Omari Chunda - kada maarufu wa CCM Zanzibar,NEC mjumbe

13. Shaka Hamdu Shaka - kada maarufu wa CCM Zanzibar,naibu katibu mkuu UVCCM Zanzibar

14. Waziri Rajabu - ameteuliwa kama mvuvi kutoka Zanzibar lakini wavuvi wamemkana

15. Issa Ameir Suleiman - ameteuliwa kama mvuvi kutoka Zanzibar lakini wavuvi wamemkana

16. Mohamed Abdallah Ahmed - ameteuliwa kama mvuvi kutoka Zanzibar lakini wavuvi wamemkana
 
Kwahiyo kuwa member alma kada small kuongozi was ccm ndio disqualification?. Nijuavyo Mimi nomination procedure ilikuwa wazi, ungetugafa Julia namna ambavyo procedure ilikiukwa ingesaidia GT kuendeleza name kunogesha mjadala.
 
NENO 'KUTEULIWA' huwezi kuzuia maana anayeteua ni mwenye mamlaka
 
Cha muhimu isiwe katiba ya CCM ambao wamekiri kabisa msimamo wao ni serikali mbili. Ni vema wakakubaliana na matakwa ya wananchi wanataka nini vinginevyo kukubalika kwa CCM kutazidi kuporomoka "exponentially". Ni vizuri sana kusoma alama za nyakati kuliko kushinikiza mambo.
 
Kwahiyo unamlaumu nani? aliewateua ama wale waliopeleka majina ili yateuliwe?
 
Wajumbe feki wa bunge la katiba.

1. Kingunge Ngombale Mwiru - ameteuliwa kupitia NGO wakati hana sifa hizo

2. Elizabeth Minde - ni kiongozi kwenye jumuiya ya CCM mkoani Kilimanjaro

3. Evod Herman Mmanda - mjumbe wa NEC wilaya ya Rombo

4. Mary Paulo Daffa - kada wa CCM mkoa wa Singida

5. Adila Vuai - mfanyakazi wa idara ya mambo ya nje ofisi ya Kisiwandui Zanzibar

6. Shamim Khan - amewaahi kuwa mjumbe wa NEC na naibu waziri wa viwanda na biashara

7. Yasmin Haloo - kiongozi wa umoja wa wazazi CCM

8. Paulo Makonda - mkuu wa idara ya uhamasishaji UVCCM

9. Jesca Msambatavangu - mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa

10. Zainab Gama - mbunge wa zamani wa Kibaha

11. Hassan Wasakuvi- mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora

12. Yusufu Omari Chunda - kada maarufu wa CCM Zanzibar,NEC mjumbe

13. Shaka Hamdu Shaka - kada maarufu wa CCM Zanzibar,naibu katibu mkuu UVCCM Zanzibar

14. Waziri Rajabu - ameteuliwa kama mvuvi kutoka Zanzibar lakini wavuvi wamemkana

15. Issa Ameir Suleiman - ameteuliwa kama mvuvi kutoka Zanzibar lakini wavuvi wamemkana

16. Mohamed Abdallah Ahmed - ameteuliwa kama mvuvi kutoka Zanzibar lakini wavuvi wamemkana

Umetumwa au Ndio ulivyo lelewa kua chuki na roho mbaya kwa mafanikio ya watu. Kwani wewe tatizo lako nini?. Au ulipeleka jina lako huju chaguliwa.
Angalia usiwe ukawa kwenu mchawi wa maendeleo ya watu.
 
Kwahiyo kuwa member alma kada small kuongozi was ccm ndio disqualification?. Nijuavyo Mimi nomination procedure ilikuwa wazi, ungetugafa Julia namna ambavyo procedure ilikiukwa ingesaidia GT kuendeleza name kunogesha mjadala.

Gama inaonekana hujui chochote na umekurupuka kuja kuchangia hii topic.

Mchakato wa uteuzi ulianzia kwenye Kundi/taasisi husika kwa kupendekeza majina kwa Rais na rais atatakiwa kuteua wajumbe kutoka kwenye hiyo Orodha.
Tatizo hasa ni kwamba wengine walioteuliwa na rais hawakuwa kabisa kwenye majina ya mapendekezo ya makundi husika na bahati mbaya sana wote ni Makada wa CCM.

Na jambo lingine la ajabu ni kuwa kuna Taasisi/Makundi ambazo hakuna hata mtu mmoja aliyeteuliwa japokuwa walipendekeza majina na walistahili kupata wajumbe. Kwa mfano Muungano wa Makanisa ya Pentecoste(PCT), Chama cha Madaktari(MAT) nk.
 
Last edited by a moderator:
Wajumbe feki wa bunge la katiba.

1. Kingunge Ngombale Mwiru - ameteuliwa kupitia NGO wakati hana sifa hizo

2. Elizabeth Minde - ni kiongozi kwenye jumuiya ya CCM mkoani Kilimanjaro

3. Evod Herman Mmanda - mjumbe wa NEC wilaya ya Rombo

4. Mary Paulo Daffa - kada wa CCM mkoa wa Singida

5. Adila Vuai - mfanyakazi wa idara ya mambo ya nje ofisi ya Kisiwandui Zanzibar

6. Shamim Khan - amewaahi kuwa mjumbe wa NEC na naibu waziri wa viwanda na biashara

7. Yasmin Haloo - kiongozi wa umoja wa wazazi CCM

8. Paulo Makonda - mkuu wa idara ya uhamasishaji UVCCM

9. Jesca Msambatavangu - mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa

10. Zainab Gama - mbunge wa zamani wa Kibaha

11. Hassan Wasakuvi- mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora

12. Yusufu Omari Chunda - kada maarufu wa CCM Zanzibar,NEC mjumbe

13. Shaka Hamdu Shaka - kada maarufu wa CCM Zanzibar,naibu katibu mkuu UVCCM Zanzibar

14. Waziri Rajabu - ameteuliwa kama mvuvi kutoka Zanzibar lakini wavuvi wamemkana

15. Issa Ameir Suleiman - ameteuliwa kama mvuvi kutoka Zanzibar lakini wavuvi wamemkana

16. Mohamed Abdallah Ahmed - ameteuliwa kama mvuvi kutoka Zanzibar lakini wavuvi wamemkana

Kuna demu anaitwa HAWA MCHAFU. Huyu ni kada wa CCM na kapitia kundi la Wavuvi wakati hajui hata Ndoano au Wavu wa kuvulia Samaki unafananaje!!
 
Rais ni janga, tutegemee kupata katiba ya ccm
 
Ndo shida ya kupoka hoja ambazo hujajipanga namna ya kuitekeleza. Hoja ya katiba ilikuwa ya cdm so hao ccm waliidandia tu.
Kufanya uteuzi wenye kasoro kama huu ni kuwadharau na kuwapuuza waliofanya uteuzi wa awali na
kwa kisingizio cha kupendekeza majina ya watu dhaifu.
Kujaza wanachama wa chama tawala ni uwoga wa kushindwa kwao na wamesahau kuwa katiba ni ya wananchi.
Hata kama ni shukrani mkulu ameitoa sivyo kwa kina kingunge na wenzake.
 
Kwahiyo kuwa member alma kada small kuongozi was ccm ndio disqualification?. Nijuavyo Mimi nomination procedure ilikuwa wazi, ungetugafa Julia namna ambavyo procedure ilikiukwa ingesaidia GT kuendeleza name kunogesha mjadala.

Hiki KILUGHA, ama???!!!!
 
hata members wote wa jf ni feki, wanatumia fake names,fake jinsia,fake umri,fake avatars,fake occupations,fake biography,fake comments,fake kila kitu,etc.
 
Back
Top Bottom