Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Gentleman,
kama wewe unafanya kazi ya kanisa,
chuki ya nini dhidi ya wanaochapa kazi ili kupata shekeli kulainisha na kuendesha maisha yao na familia zao?

waTanzania wameamua, wewe una mbwelambwela tu ๐Ÿ’
tafuta shughuri ya maana ya kufanya hata kilimo uvuvi ni kujipanga tu utaishi kwa uhuru na utayafurahia maisha kulikokutegemea kumfisia mwanadamu mwenzio ambao wote mwisho wenu kuoza na kunuka uwe unasoma hata vitabu vya dini vinafundisha hayo nyie masikini wa akil na mali
 
Nani kakupa mamlaka ya kuongea kwa niaba ya wengine?
Umefanyaje kujua kama "Wananchi" wameridhishwa na uteuzi?
wapi hawajasema gentleman?

mbona kila kitu ni bayana kila kona na pembe ya nchi?,
wananchi wote na waTanzania katika makundi yao mbalimbali wanapongeza CCM kwa hatua yake ya kuwateua Dr.Samia Suluhu Hassan na Dr Emmanuel Nchimbi kupeperusha bendera ya CCM uchaguzi mkuu wa Oct 2025,

kwani wewe unaishi wap gentleman? ๐Ÿ’
 
Kwanza acha kututaja woteโ€ฆsema badhi ya watz
 
unaumizwa na ukweli mtupu gentleman?๐Ÿคฃ

Kilimo si ndio uti wa mgongo wa Taifa letu gentleman, kazi inaendelea tu vizuri mbona. Ekari mia4 tu this agriculture year ๐Ÿ’
 

Attachments

  • IMG_20250127_101142_8.jpg
    429.8 KB · Views: 1
Wewe leo unampamba halafu wewe kesho unamkandia sikuelewi wewe upo upande gani chagua upande jingalao
Busara ni kutonipa upande, maana mimi sina upande.

Hoja zangu zinaangazia merit ya issue husika. Kama inastahili pongezi (ipongezwe) na kama upuuzi (ni upuuzi).

Vinginevyo usilazimishe watu humu kuchagua upande, usipangie watu wachangie nini.

Wewe kama una upande ni jukumu lako kutetea hoja ambazo unaona sio sahihi kwa upande wako.

Like unahitaji upande wa nini kwa katiba ya Tanzania na CCM iwapo kwa scenario ya Samia angetaka kugombea hakukuwa na wa kumzuia; hata aboronge vipi.

Hakuna anaekuzuia kusifia siku nzima, Iล‚a usinipangie cha kuandika tafadhali.
 
Acheni upuuzi...kikundi kidogo cha wahuni machawa hamna haki miliki ya kutoa maamuzi na kuyaita ya Watanzania
relax and calm down gentleman,

mihemko na makasiriko hayawezi kufua dafu dhidi ya ukweli huo bayana hapo jukwaani ๐Ÿ’
 
Mi nitoe unaposema wote unamaamisha nn mkuu?
wewe upo kwenye kundi la kura chache sana zilizoharibika na zitakazoharibika oct. gentleman,

so,
relax,
umewakilishwa vizuri sana ๐Ÿ’
 
relax and calm down gentleman,

mihemko na makasiriko hayawezi kufua dafu dhidi ya ukweli huo bayana hapo jukwaani ๐Ÿ’
Kutumia jina bandia hakukutoi ufahamu kuona upuuzi ukitendeka...ccm ni mkweo, kakuzalia mume, najua kimaadili hupaswi kumchungulia mkweo ila ukweli kwamba yupo uchi haukwepeki
 
Kutumia jina bandia hakukutoi ufahamu kuona upuuzi ukitendeka...ccm ni mkweo, kakuzalia mume, najua kimaadili hupaswi kumchungulia mkweo ila ukweli kwamba yupo uchi haukwepeki
relax and calm down gentleman,

siasa sio ya kuweka kwa roho, utaumia na kuteseka sana gentleman ๐Ÿ’
 
Wewe si ulifungua uzi humu unasema Sa100 ni hopeless kabisa leo hii unasema Sa100 ni mwamba hakuna wa kumzuia, kwa hio wewe unasimamia wapi? Sikuelewi jingalao
 
Watanzania gani wamempokea huyo bibi yenu bwana? sema ni nyie machawa na mafisadi uliojazana huko ccm ndio mmempokea, na mnajua hakubaliki kabisa ndio maana mnaleta propaganda nyiingi za kulazimisha ionekane anapendwa hili hata mkibaka uchaguzi hiyo October muonekane mlishinda kihalali, kwani nani hawajui wapumbavu nyie?

Eti Tanzania iko kwenye mikono salama? Kwa uongozi gani imara alionao Samia kiasi cha hii nchi kuwa salama? Nchi inachezewa na wahuni karibu kila sector na matukio hatarishi yamekithiri kama utekaji,ubakaji na mauaji halafu wewe uko hapa kuimba mapambio eti nchi iko kwenye mikono salama?

Machawa na wala makombo kama wewe ni cancer katika taifa hili, na hamtakiwi kuendelea kuwepo baada ya October, inapaswa nyie na bibi yenu tuwasahau kabisa baada ya hiyo October.
 
Wamepitisha kiroho upande hawana namna wanalinda matumbo yao
 
Gentleman wananchi na waTanzania wote wana imani nae na kwakweli wanamkubali mno.

chuki binafsi za wachache zitabadilika Oct 2025๐Ÿ’
Kwaiyo mimi au sisi ambao hatufurahishwi na wala hatuna imani na huu uongozi wetu sio watanzania?

Lakini watanzania safi ni wale walio na imani na huu uwendawazimu wenu?
Sijui mnahitaji nini ili muone yanayoendelea humu ndani.
 
Gentleman wananchi na waTanzania wote wana imani nae na kwakweli wanamkubali mno.

chuki binafsi za wachache zitabadilika Oct 2025๐Ÿ’
Sema machawa, wala rushwa, watumishi wazembe na mafisadi wote wa nchi hii ndio wana imani na Samia na sio watanzania wote matako wewe.
 
Wewe si ulifungua uzi humu unasema Sa100 ni hopeless kabisa leo hii unasema Sa100 ni mwamba hakuna wa kumzuia, kwa hio wewe unasimamia wapi? Sikuelewi jingalao
Changia hoja kwa merit, sio kama vile kila mtu humu anashida ya kujipendekeza.

Unaandika kama vile kila mtu humu anashida ya fadhila ya teuzi ya โ€˜bi-tozoโ€™. Wengine tushazoea maisha ya mlo mmoja huku Buguruni.

Mnฤ… matatizo kweli kweli nyie watoto, wenye njaa.

Mbona kila siku namtwanga huyo mama humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ