zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
jingalaokwanini unachukua ukweli kiasi hicho gentleman?🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jingalaokwanini unachukua ukweli kiasi hicho gentleman?🐒
Relax,Mimi sikuwepo wala siyo mwanachama wa CCM
Hakina nyani na jamii ya wanyama kwa ujumla ili uwe mbabe inabidi uwatwange wapinzani.Kwenye koo za nyani na wanyama huwa wanachagua wale wenye nguvu, akili, maarifa na uthubutu ndio wanakua Alpha ama viongozi.
Lakini sisi binadamu wenye akili tunachagua wajinga ndio watuongoze.
relax and calm down gentleman,Wakati una wasiwasi itakuaje nafasi ya bi tozo kwenye kinyan’ganyiro cha uraisi 2025 kama miezi mitatu nyuma (mod wakafuta mada yako).
Nilikwambia ‘bi-tozo’ sio fala ajatimua wakurugenzi wa TISS hovyo kwa miaka minne bure-bure na kusafisha Ikulu bila ya mikakati mahususi na Nchimbi hayuko hapo kwa bahati mbaya.
Mama ni mcheza chess na king maker ni Nchimbi kwa siasa za Tanzania. Sasa kuweza kuvuruga taratibu za nchi kwa kutumia kanuni na uwezo wa kuendesha nchi ni vitu viwili.
Nchimbi ni zero kichwani, anachoweza ni mbinu za kukwapua madaraka kwa fujo tu. Na sasa kama una akili zako timamu utaki ugomvi nae; ana nguvu kuliko mtu yeyote Tanzania (amini, usiamini).
Mimi nimeandika kwa mipaka tu; lakini ‘bi-tozo’ hatoboi kwa Nchimbi; uraisi wake na uteuzi wake wa ghafla ni tiktaka za Nchimbi.
Siko kwa sababu ya kuwafurahisha hao watu, hata kama outcome inajulikana.Tatizo lako wewe ndumilakuwili hueleweki leo utamponda kesho unampigia mapambio hatukuelewi jingalao
wananchi wote na waTanzania wa makundi mbalimbali wanaendelea kuipongeza CCM, lakini pia kuwapongeza Dr Samia Suluhu Hassan na Dr.Emanuel Nchimbi kuteuliwa na chama kupeperusha bendera ya CCM Oct 2025.Umevuta bangi na ugoro kigentlemen unakuja kuandika uharo hapa..... WANANCHI GANI HAO WAMEMKUBALI?
wenye chuki binafsi hupata tabu sana nyakati hizi gentleman, dah,Kwenye koo za nyani na wanyama huwa wanachagua wale wenye nguvu, akili, maarifa na uthubutu ndio wanakua Alpha ama viongozi.
Lakini sisi binadamu wenye akili tunachagua wajinga ndio watuongoze.
unaumia moyo kwasabb ya maoni huru tofauti na mtazamo wako gentleman, dah 🐒Unadhalilika kwa sababu ya kuhongwa kofia na fulana!
Vijana wa CCM,hivi sijui wewe ni wa kike au wa kiume Huna uwezo wa kugombea hiyo nafasi ya Uraisi?Pongezi za wananchi na waTanzania wa makundi mbalimbali nchini, zimeendelea kumiminika na kuelekezwa kwa Chama Cha Mapinduzi CCM, baada ya Dr Samia Suluhu Hassan na Dr.Emmanuel Nchimbi kupewa ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi muhimu sana na wa kihistoria katika taifa letu October 2025.
Kukubalika na kuaminika kwa wagombea uongozi hao wa CCM ngazi ya Taifa, kuna ashiria wazi imani kubwa ya waTanzania kwa CCM kuelekea ushindi wa kishindo baadae October ya mwaka huu 2025.
Shauku na imani ya wananchi na waTanzania wote kwa sasa ni kuona CCM katika uchaguzi wa kura za maoni, inateua wagombea uongozi wa ubunge na udiwani mahiri, makini, wasomi wanaokubalika na wanaoaminika zaidi kwa wananchi kulingana na mipango, sera na vipaumbele vyao dhidi ya maslahi mapana ya wananchi katika maeneo yao.
Maoni ya waTanzania wote ni kwamba, wanafuatilia kwa karibu sana na kuzingatia zaidi
uteuzi wa viongozi wa CCM kwajili ya uchaguzi mkuu, kwani teuzi hizo ndizo hua uchaguzi mkuu halisi wenyewe, na ule wa Oct. hua unakua ni katika kukamilisha ratiba na kutekeleza sheria na katiba ya nchi tu.
una maoni gani.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
hili liko wazi gentleman,Maoni yangu ni kuwa huna haki wala ridhaa ya kuongea kwa niaba ya watanzania wote.
Hana hata cheti cha F4!Vijana wa CCM,hivi sijui wewe ni wa kike au wa kiume Huna uwezo wa kugombea hiyo nafasi ya Uraisi?
Ungekuwa jaribu ningeponda Hilo fuvu akili ikukae sawa shenzi type ...wananchi wote na waTanzania wa makundi mbalimbali wanaendelea kuipongeza CCM, lakini pia kuwapongeza Dr Samia Suluhu Hassan na Dr.Emanuel Nchimbi kuteuliwa na chama kupeperusha bendera ya CCM Oct 2025.
Chuki binafsi Haifai gentleman 🐒
Chama Cha Mapinduzi CCM kitaendelea kubaba dhamana ya uongozi wa Taifa hili, ili hatimae azma ya kuwapelekea wananchi maendeleo itimie.Wanaume wa CCM mnatukosea sana watanganyika kwa kuhakikisha tutanatawaliwa na mmama kutoka Zenji.
nitagombea uspika 2030 gentleman 🐒Vijana wa CCM,hivi sijui wewe ni wa kike au wa kiume Huna uwezo wa kugombea hiyo nafasi ya Uraisi?
maybe,Hana hata cheti cha F4!
Liko wazi wapi? Mbona mimi sio mmoja wa wananchi wanayempongeza Dr Samia na Dr Nchimbi?hili liko wazi gentleman,
kwamba wanainchi wote na waTanzania wa makundi mbalimbali wanaendelea kuipongeza CCM lakini pia wanawapongeza Dr Samia Suluhu Hassan na Dr.Emanuel Nchimbi kwa kupewa dhamana na ridhaa ya kuongoza Taifa letu kwa kipindi kijacho.
Ni muhimu sana kuzingatia hilo gentleman 🐒
unakuaje na wasiwasi my lady wakati mambo ni mwemwere mwemwere kila kona ya nchi kuhusu Dr.Samia Suluhu Hassan kugombea urais na Dr Emanuel Nchimbi kua mgombea mwenza?Mbona kama una wasiwasi garmah