MAGEUZI KWELI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,947
- 253
Hoja mufilisiWa Zanzibar wasiwe na wasiwasi maana ma CCM always ni full kujipendekeza kwao...
Wewe kichwa chako kikubwa lakini hakina msaada kwako hata kidogo.CDM waligomea hii sheria hadi wakapigwa bungeni.
Hakuna unachojua mkuu watu kama wewe mmepoteza mwelekeo mnatakiwa kupuuzwa tu.Wa Zanzibar wasiwe na wasiwasi maana ma CCM always ni full kujipendekeza kwao...
Kama ingekuwa mnajali idadi ya watu basi isingekuwa nafasi za wajumbe kutoka Tanganyika zimehodhiwa na Wakristo.Pamoja na kwamba nchi zimeungana lakini pia tunaanalia population ie idadi ya watu, na eneo. Zanzibar ina watu milioni moja wakati bara ina watu milioni 43 plus. Lazima idadi ya wajumbe itofautiane
Baada ya uteuzi wa wajumbe 201 wa bunge la katiba, baadhi ya wazanzibar wameanza kuwaka kwa hasira wakisema nchi mbili zimeungana, inakuwa je bara watoke 14 na zanzibar watoke 6?
Hata wengi walioteuliwa wengi wahamiaji hakuna mzanzibar halisi.
Nawakilisha