Nyerere 23,soma historia.
Ni wazo zuri sana mbona Chadema wameweza!Leo kulikuwa na kikao cha halmashauri kuu mkoa cha kupokea taarifa za utekelezaji wa ilani ambao mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christine Mndeme alikuwa anawasilisha, Katika kikao hicho kilichorushwa moja kwa moja na Chanel Ten, wajumbe wa haashauri kuu mkoa wa Ruvuma wamekubaliana Rais Magufuri aendelee KUINGIZA kwa miaka 20 zaidi.
Kama mawazo hayo yataungwa mkono na mikoa mingine ina maana inawezekana Magufuri ndiye Rais atakaye kaa madarakani miaka mingi ikulu kuliko hata Nyerere
Viongozi wastaafu wanasemaje kuhusu hilo swala, kwa sababu tangu lianzishwe hakuna kiongozi yeyote MSTAAFU aliyewahi kukemea hiyo michezo. Kukaa kwao kimya unaleta shaka kama wanaunga mkono au la
Tujadili kwa pamoja haya ma
Ni wazo zuri sana mbona Chadema wameweza!
Tumuachie Mungu kwa kuwa watanzania ni waogaLeo kulikuwa na kikao cha halmashauri kuu mkoa cha kupokea taarifa za utekelezaji wa ilani ambao mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christine Mndeme alikuwa anawasilisha, Katika kikao hicho kilichorushwa moja kwa moja na Chanel Ten, wajumbe wa haashauri kuu mkoa wa Ruvuma wamekubaliana Rais Magufuri aendelee KUINGIZA kwa miaka 20 zaidi.
Kama mawazo hayo yataungwa mkono na mikoa mingine ina maana inawezekana Magufuri ndiye Rais atakaye kaa madarakani miaka mingi ikulu kuliko hata Nyerere
Viongozi wastaafu wanasemaje kuhusu hilo suala, kwa sababu tangu lianzishwe hakuna kiongozi yeyote mstaafu aliyewahi kukemea hiyo michezo. Kukaa kwao kimya unaleta shaka kama wanaunga mkono au la
Tujadili kwa pamoja haya ma
Hakuna aliyewahipambana na dunia zaidi ya kuukimbiza upepoBahati mbaya hata mkae na kuamua kumuongezea miaka 200, bado mwisho wa siku atakwenda tu kwenye moto wa milele alio andaliwa.