Wajumbe wa Halmashauri Kuu CCM Mkoa wa Ruvuma wakubaliana Rais Magufuli aendelee kuongoza miaka 20 mbele

Ina maana kamati za mikoa za ccm ndo kazi yao hiyo? Ccm wanaendelea kukiuka katiba yao kila siku
 
Leo kulikuwa na kikao cha halmashauri kuu mkoa cha kupokea taarifa za utekelezaji wa ilani ambao mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christine Mndeme alikuwa anawasilisha, Katika kikao hicho kilichorushwa moja kwa moja na Chanel Ten, wajumbe wa haashauri kuu mkoa wa Ruvuma wamekubaliana Rais Magufuri aendelee KUONGOZA kwa miaka 20 zaidi.

Kama mawazo hayo yataungwa mkono na mikoa mingine ina maana inawezekana Magufuli ndiye Rais atakayekaa madarakani miaka mingi Ikulu kuliko hata Nyerere

Viongozi wastaafu wanasemaje kuhusu hilo suala? Kwa sababu tangu lianzishwe hakuna kiongozi yeyote mstaafu aliyewahi kukemea hiyo michezo. Kukaa kwao kimya unaleta shaka kama wanaunga mkono au la

Tujadili kwa pamoja haya ma
Wajumbe hao wamekiuka Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977. Chama kiwachukulie hatua vinginevyo Mwanasheria Mkuu wa Serikali aingie ulingoni kuitetea Katiba kama alivyoapa kuilinda Na kuitetea.
WanaCCM lazima tuongoze. Njia katika kuheshimu Katiba na sheria za nchi.
 
Leo kulikuwa na kikao cha halmashauri kuu mkoa cha kupokea taarifa za utekelezaji wa ilani ambao mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christine Mndeme alikuwa anawasilisha, Katika kikao hicho kilichorushwa moja kwa moja na Chanel Ten, wajumbe wa haashauri kuu mkoa wa Ruvuma wamekubaliana Rais Magufuri aendelee KUONGOZA kwa miaka 20 zaidi.

Kama mawazo hayo yataungwa mkono na mikoa mingine ina maana inawezekana Magufuli ndiye Rais atakayekaa madarakani miaka mingi Ikulu kuliko hata Nyerere

Viongozi wastaafu wanasemaje kuhusu hilo suala? Kwa sababu tangu lianzishwe hakuna kiongozi yeyote mstaafu aliyewahi kukemea hiyo michezo. Kukaa kwao kimya unaleta shaka kama wanaunga mkono au la

Tujadili kwa pamoja haya ma

Ni nani aliyepeleka hiyo agenda ya magufuli kuendelea kutawala huko Ruvuma?

Habari hiyo inatakiwa kuongelewa mkoani dodoma tu.
 
Kati ya mikoa ya watu wajinga Ruvuma haikosi!!. kwahiyo tunawaacha na ujinga wao.
 
Mimi binafsi ninaungana na halmashauri hiyo ya ccm kutaka miaka 20 Kwa Rais wetu!!
Tuwe wakweli, kama ameweza kufanya mazuri mengi na makubwa ndani ya miaka 4 tu, tutakuwa watu wa ajabu sana tukiiachia hii dhahabu iondoke baada ya miaka 10 tu!!
Ila tuseme hii ni "exceptional case" katiba ibaki pale pale!!!
 
Leo kulikuwa na kikao cha halmashauri kuu mkoa cha kupokea taarifa za utekelezaji wa ilani ambao mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christine Mndeme alikuwa anawasilisha, Katika kikao hicho kilichorushwa moja kwa moja na Chanel Ten, wajumbe wa haashauri kuu mkoa wa Ruvuma wamekubaliana Rais Magufuri aendelee KUONGOZA kwa miaka 20 zaidi.

Kama mawazo hayo yataungwa mkono na mikoa mingine ina maana inawezekana Magufuli ndiye Rais atakayekaa madarakani miaka mingi Ikulu kuliko hata Nyerere

Viongozi wastaafu wanasemaje kuhusu hilo suala? Kwa sababu tangu lianzishwe hakuna kiongozi yeyote mstaafu aliyewahi kukemea hiyo michezo. Kukaa kwao kimya unaleta shaka kama wanaunga mkono au la

Tujadili kwa pamoja haya ma

Akili za kushikiliwa, pia njaa ni kitu kibaya sana.
Wanafikiri labda na wao watakaa miaka hiyo yote kwenye oungozi?

Kuna mbuge mmoja alitoa hayo mawazo, akapingwa, lakini alikuwa anatikisa kiberiti kwani watu walishakubaliana hivyo ndani ya chama.
Pia mkuu mwenyewe anatamani sana hicho kitu, na ndiyo maana alishawahisema akiondoka hajui ni naniataendeleza yale aliyokwisha anza.
 
Leo kulikuwa na kikao cha halmashauri kuu mkoa cha kupokea taarifa za utekelezaji wa ilani ambao mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christine Mndeme alikuwa anawasilisha, Katika kikao hicho kilichorushwa moja kwa moja na Chanel Ten, wajumbe wa haashauri kuu mkoa wa Ruvuma wamekubaliana Rais Magufuri aendelee KUONGOZA kwa miaka 20 zaidi.

Kama mawazo hayo yataungwa mkono na mikoa mingine ina maana inawezekana Magufuli ndiye Rais atakayekaa madarakani miaka mingi Ikulu kuliko hata Nyerere

Viongozi wastaafu wanasemaje kuhusu hilo suala? Kwa sababu tangu lianzishwe hakuna kiongozi yeyote mstaafu aliyewahi kukemea hiyo michezo. Kukaa kwao kimya unaleta shaka kama wanaunga mkono au la

Tujadili kwa pamoja haya ma
Hili jinamizi linajitoa ngozi kila wakati. Lilimtuma "mkulima" kwenda kwa pilato akina ZZK akalishitukia sasa linapitia uchochoro wake. Nasema kamateni huyu chatu kata kichwa mapema ameonja nyama ya Ben saa8, nk sasa anataka aendelee kumeza watanzania kamata lichatu hili. Fupisha urefu haraka hatari.
 
Leo kulikuwa na kikao cha halmashauri kuu mkoa cha kupokea taarifa za utekelezaji wa ilani ambao mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christine Mndeme alikuwa anawasilisha, Katika kikao hicho kilichorushwa moja kwa moja na Chanel Ten, wajumbe wa haashauri kuu mkoa wa Ruvuma wamekubaliana Rais Magufuri aendelee KUONGOZA kwa miaka 20 zaidi.

Kama mawazo hayo yataungwa mkono na mikoa mingine ina maana inawezekana Magufuli ndiye Rais atakayekaa madarakani miaka mingi Ikulu kuliko hata Nyerere

Viongozi wastaafu wanasemaje kuhusu hilo suala? Kwa sababu tangu lianzishwe hakuna kiongozi yeyote mstaafu aliyewahi kukemea hiyo michezo. Kukaa kwao kimya unaleta shaka kama wanaunga mkono au la

Tujadili kwa pamoja haya ma
Hii kitu inachukuliwa kimzahamzaha ila behind the scene huwa imekomaa.
Ila tu ajili za hawa watu fupi kweli kwa nini wasimuombee kwanza Raisi wangu Umri mrefu kisha ndio wakaleta Mambo yako.
Wamasahau kuwa kuna Mkata uhai?
 
Back
Top Bottom