stinger_bug
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 856
- 1,716
Unaunga hoja ipo mkuu? Wewe ni mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM mkoa wa ruvuma? Au imeitishwa kura ya maoni ya kubadilisha katiba tayari?Naunga mkono hoja.
P
Kwa katiba IPI mkuu!Naunga hoja apewe 4 term
umetumwa na mabeberu mkuu sisi tuko kwenye right trackkichwa chako kina mavi
Umepotoka kitambo Pascal. Lkn nakuhakikishia uteuzi utausikia redioni tu.Naunga mkono hoja.
P
Magufuli ni mtu mwoga sana, hawezi ishi nje ya madaraka!! Muda ni hakimu mzuri!
Sio kwa ccm yaani asbh na mapema wanamng'oa hata kwa uchawiMagufuli ni mtu mwoga sana, hawezi ishi nje ya madaraka!! Muda ni hakimu mzuri!
Wajumbe hao wamekiuka Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977. Chama kiwachukulie hatua vinginevyo Mwanasheria Mkuu wa Serikali aingie ulingoni kuitetea Katiba kama alivyoapa kuilinda Na kuitetea.Leo kulikuwa na kikao cha halmashauri kuu mkoa cha kupokea taarifa za utekelezaji wa ilani ambao mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christine Mndeme alikuwa anawasilisha, Katika kikao hicho kilichorushwa moja kwa moja na Chanel Ten, wajumbe wa haashauri kuu mkoa wa Ruvuma wamekubaliana Rais Magufuri aendelee KUONGOZA kwa miaka 20 zaidi.
Kama mawazo hayo yataungwa mkono na mikoa mingine ina maana inawezekana Magufuli ndiye Rais atakayekaa madarakani miaka mingi Ikulu kuliko hata Nyerere
Viongozi wastaafu wanasemaje kuhusu hilo suala? Kwa sababu tangu lianzishwe hakuna kiongozi yeyote mstaafu aliyewahi kukemea hiyo michezo. Kukaa kwao kimya unaleta shaka kama wanaunga mkono au la
Tujadili kwa pamoja haya ma
Leo kulikuwa na kikao cha halmashauri kuu mkoa cha kupokea taarifa za utekelezaji wa ilani ambao mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christine Mndeme alikuwa anawasilisha, Katika kikao hicho kilichorushwa moja kwa moja na Chanel Ten, wajumbe wa haashauri kuu mkoa wa Ruvuma wamekubaliana Rais Magufuri aendelee KUONGOZA kwa miaka 20 zaidi.

Mkuu na wewe unaunga mkono? Tanzania ni ya wana ccm?kama MWENYEKITI Wa chama sawa lakini urais utaleta ukakasiNaunga mkono hoja.
P
Wote ni wapumbavuHao waliotoa mapendekezo na waliomuacha kiongozi ulieisha muda wake kuendelea kuwa madarakani wapumbavuest ni akina nani?
Leo kulikuwa na kikao cha halmashauri kuu mkoa cha kupokea taarifa za utekelezaji wa ilani ambao mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christine Mndeme alikuwa anawasilisha, Katika kikao hicho kilichorushwa moja kwa moja na Chanel Ten, wajumbe wa haashauri kuu mkoa wa Ruvuma wamekubaliana Rais Magufuri aendelee KUONGOZA kwa miaka 20 zaidi.
Kama mawazo hayo yataungwa mkono na mikoa mingine ina maana inawezekana Magufuli ndiye Rais atakayekaa madarakani miaka mingi Ikulu kuliko hata Nyerere
Viongozi wastaafu wanasemaje kuhusu hilo suala? Kwa sababu tangu lianzishwe hakuna kiongozi yeyote mstaafu aliyewahi kukemea hiyo michezo. Kukaa kwao kimya unaleta shaka kama wanaunga mkono au la
Tujadili kwa pamoja haya ma
Hili jinamizi linajitoa ngozi kila wakati. Lilimtuma "mkulima" kwenda kwa pilato akina ZZK akalishitukia sasa linapitia uchochoro wake. Nasema kamateni huyu chatu kata kichwa mapema ameonja nyama ya Ben saa8, nk sasa anataka aendelee kumeza watanzania kamata lichatu hili. Fupisha urefu haraka hatari.Leo kulikuwa na kikao cha halmashauri kuu mkoa cha kupokea taarifa za utekelezaji wa ilani ambao mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christine Mndeme alikuwa anawasilisha, Katika kikao hicho kilichorushwa moja kwa moja na Chanel Ten, wajumbe wa haashauri kuu mkoa wa Ruvuma wamekubaliana Rais Magufuri aendelee KUONGOZA kwa miaka 20 zaidi.
Kama mawazo hayo yataungwa mkono na mikoa mingine ina maana inawezekana Magufuli ndiye Rais atakayekaa madarakani miaka mingi Ikulu kuliko hata Nyerere
Viongozi wastaafu wanasemaje kuhusu hilo suala? Kwa sababu tangu lianzishwe hakuna kiongozi yeyote mstaafu aliyewahi kukemea hiyo michezo. Kukaa kwao kimya unaleta shaka kama wanaunga mkono au la
Tujadili kwa pamoja haya ma
Mzee siku hizi sijui umepatwa na Niniiii?Naunga mkono hoja.
P
Hii kitu inachukuliwa kimzahamzaha ila behind the scene huwa imekomaa.Leo kulikuwa na kikao cha halmashauri kuu mkoa cha kupokea taarifa za utekelezaji wa ilani ambao mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christine Mndeme alikuwa anawasilisha, Katika kikao hicho kilichorushwa moja kwa moja na Chanel Ten, wajumbe wa haashauri kuu mkoa wa Ruvuma wamekubaliana Rais Magufuri aendelee KUONGOZA kwa miaka 20 zaidi.