Mkuu, hii Mimi nimeipenda sana, imenipa kuona ni jinsi gani watu hasa vigogo ama watoto wa vigogo wasivyoishi vema na jamii.katika kula za maoni mmeshindwa kumuenzi Baba wa Taifa Mwl. Nyerere kwa kumchagua mtoto mmoja wa Baba wa taifa, kweli mmeshindwa? familia ya Baba wa Taifa imetoa wagombea wawili katika hao mmeona hakuna anayefaa?
Moja ya kosa kubwa la Nyerere ni kutowasomesha watoto wake na kutowapa exposure. Hili limeicost sana familia yake na kupelekea kuishi kwa kudra za maraisi waliopo.
Kinachoitokea familia ya Nyerere ni matokeo ya kujisahau na kuisahau familia yake.
Una hakika?Moja ya kosa kubwa la Nyerere ni kutowasomesha watoto wake na kutowapa exposure. Hili limeicost sana familia yake na kupelekea kuishi kwa kudra za maraisi waliopo.
Kinachoitokea familia ya Nyerere ni matokeo ya kujisahau na kuisahau familia yake.
Butiama nao wawe wanakuwa wazalendo, wameanza kuonyesha dalili za kupoteza uzalendo siku hizi. Baada ya Madaraka Nyerere kutangaza nia, walitakiwa wakubaliane mtu mwingine asichukue fomu, alitakiwa abaki Madaraka tu.Wajumbe wa kamati ya uchaguzi chama cha CCM jimbo la Butiama, mmefanya kitendo kibaya sana, katika kura za maoni mmeshindwa kumuenzi Baba wa Taifa Mwl. Nyerere kwa kumchagua mtoto mmoja wa Baba wa taifa kweli mmeshindwa?
Familia ya Baba wa Taifa imetoa wagombea wawili katika hao mmeona hakuna anayefaa? Mnasema kuwa mzee Makongoro au Madaraka kwa maoni yenu mmeona wote hawatoshi?
Uchaguzi wa mwaka huu ni tarehe 28 Oktoba ambapo ukirudisha siku 14 nyuma ni siku ambayo tunamuenzi Baba wa taifa. Mtasema mnamuenzi vipi Baba wa Taifa hili?
Pamoja na juhudi zote za Baba wa Taifa za kuanzisha chama cha CCM na kutumia muda wake mwingi katika kukijenga chama leo mnaona familia yake haiwezi kuongoza! Kama sio BABA wa taifa hiki chama mngekijulia wapi?
Hebu rudisheni heshima ya BABA WA TAIFA.
Hao watoto wa nyerere hawana nidhamu wengi ni walevi sana hata makongoro nyerere ambaye awamu zote wamejitahidi kumsaidia habebeki kwa sababu ya ulevi mwingi, endapo wangekuwa ni vijana watulivu waadilifu wangekuwa wapo mbali sana kusingekuwa na uhitaji wa kuwapigia keleleMtoa post hivi unawafahamu vizuri hao unaowatetea ama?
Ujumbe unatakiwa uwe umefika "laud and clear" hii nchi si ya hisani tena.Wajumbe wa Kamati ya Uchaguzi wa CCM jimbo la Butiama, mmefanya kitendo kibaya sana. Katika kura za maoni mmeshindwa kumuenzi Baba wa Taifa Mwl. Nyerere kwa kumchagua mtoto mmoja wa Baba wa taifa kweli mmeshindwa?
Familia ya Baba wa Taifa imetoa wagombea wawili katika hao mmeona hakuna anayefaa? Mnasema kuwa mzee Makongoro au Madaraka kwa maoni yenu mmeona wote hawatoshi?
Uchaguzi wa mwaka huu ni tarehe 28 Oktoba ambapo ukirudisha siku 14 nyuma ni siku ambayo tunamuenzi Baba wa taifa. Mtasema mnamuenzi vipi Baba wa Taifa hili?
Pamoja na juhudi zote za Baba wa Taifa za kuanzisha chama cha CCM na kutumia muda wake mwingi katika kukijenga chama leo mnaona familia yake haiwezi kuongoza! Kama sio BABA wa taifa hiki chama mngekijulia wapi?
Hebu rudisheni heshima ya BABA WA TAIFA.
Hawana fedha za kuhonga.Baba yao ,mwalimu Juliazi hakulimbikiza mali za ufisadi.Hawakutoa Rushwa
Kwanini wenyewe wasimuenzi baba yao kwa kuachiana?