Makongoro/Madaraka walipata dingi ambae hakua na Nepotism na wala hakujali mambo ya future za watoto wake either kwa kuwapendelea wapate vitengo serikalini au ufisadi wowote ule.Mkuu, hii Mimi nimeipenda sana, imenipa kuona ni jinsi gani watu hasa vigogo ama watoto wa vigogo wasivyoishi vema na jamii.
Hilo ni funzo, haiwezekani, na ijulikane, jamii unayoishi nayo wakati mwingine ndio yaweza kuamua hatima ya mtu!
Unataka kuwa kiongozi Wakati jamii inayokuzunguka haioni msaada wowote wa kile ulicho nacho!
Tunategemeana! Mtu yeyote mwenye kuthamini Neno hilo, hufika mbaaali sana kimaisha.
Wajumbe wa Kamati ya Uchaguzi wa CCM jimbo la Butiama, mmefanya kitendo kibaya sana. Katika kura za maoni mmeshindwa kumuenzi Baba wa Taifa Mwl. Nyerere kwa kumchagua mtoto mmoja wa Baba wa taifa kweli mmeshindwa?
Familia ya Baba wa Taifa imetoa wagombea wawili katika hao mmeona hakuna anayefaa? Mnasema kuwa mzee Makongoro au Madaraka kwa maoni yenu mmeona wote hawatoshi?
Uchaguzi wa mwaka huu ni tarehe 28 Oktoba ambapo ukirudisha siku 14 nyuma ni siku ambayo tunamuenzi Baba wa taifa. Mtasema mnamuenzi vipi Baba wa Taifa hili?
Pamoja na juhudi zote za Baba wa Taifa za kuanzisha chama cha CCM na kutumia muda wake mwingi katika kukijenga chama leo mnaona familia yake haiwezi kuongoza! Kama sio BABA wa taifa hiki chama mngekijulia wapi?
Hebu rudisheni heshima ya BABA WA TAIFA.
...au yule Dotto Imeli wa kule Twitter!Watoto wa nyerere na Don Nalimison hawana tofauti.
Kaka kule Butiama 95% wananchi uelewa ni zero kabisa bila hela hupati kura hata 1,Nimrod Mkono aliwazoesha vibaya alikuwa anagawa hela kama njugu sasa Familia ya Nyerere Makongoro,Madaraka na yule Jackton Manyerere hela hawana .Hata huyo Jumanne sagini na Frank Mahemba waliongoza kwa kura kuna jamaa alikuwa ananiambia kuwa wamemwaga hela vibaya sana.
Kitu kingine ni kuwa ukiangalia neno Butiama fikra zinazoingia akilini mwako ni kwa Wazanaki tu kitu ambacho sio kweli kwa sasa asilimia zaidi ya 70 wakazi wa Butiama ni wakurya,hivyo wamegawanyika katika ukanda kuna ukanda una wakurya wengi sana ambao ndio wanahela kuliko wazanaki.
Makongoro kashakuwa Mbunge, Naona ajitambui uroho , pia ili ushinde kura za maoni ccm mpaka utoe hela.
Mtoto wa Mwinyi smjui vizuri, Ila Ridhiwan namfahamu vema, ni kijana mwenye kujichanganya na watu, saa ingine unaweza kudhani si mtoto wa Rais na maisha yake kitaa ni ya kawaida Sana!!Unataka kusema Huyu mtoto wa Mwinyi(Rais mtarajiwa zenji) na wakina Rizwan Kikwete hawa wameishi vipi vyema na jamii zao zaidi ya kutumia nafasi za wazazi wao kupata nafasi hizo.
Butiama wanajitambua. Shida ni Zanzibar wanaochaghuliwa Rais na Tanganyika.
Wajumbe wa Kamati ya Uchaguzi wa CCM jimbo la Butiama, mmefanya kitendo kibaya sana. Katika kura za maoni mmeshindwa kumuenzi Baba wa Taifa Mwl. Nyerere kwa kumchagua mtoto mmoja wa Baba wa taifa kweli mmeshindwa?
Familia ya Baba wa Taifa imetoa wagombea wawili katika hao mmeona hakuna anayefaa? Mnasema kuwa mzee Makongoro au Madaraka kwa maoni yenu mmeona wote hawatoshi?
Uchaguzi wa mwaka huu ni tarehe 28 Oktoba ambapo ukirudisha siku 14 nyuma ni siku ambayo tunamuenzi Baba wa taifa. Mtasema mnamuenzi vipi Baba wa Taifa hili?
Pamoja na juhudi zote za Baba wa Taifa za kuanzisha chama cha CCM na kutumia muda wake mwingi katika kukijenga chama leo mnaona familia yake haiwezi kuongoza! Kama sio BABA wa taifa hiki chama mngekijulia wapi?
Hebu rudisheni heshima ya BABA WA TAIFA.
Saaa katika watu wanajichanganya na raia wa kawaida kabisa kitaa ni wakina Makongoro/Madaraka hao mpk wanalewaga na kuzima huko uswahili na wala mtoto wa ushuani Ridhiwani hajawazidi hao majamaa kwa kujichanganya na watu.Mkuu,
Mtoto wa Mwinyi smjui vizuri, Ila Ridhiwan namfahamu vema, ni kijana mwenye kujichanganya na watu, saa ingine unaweza kudhani si mtoto wa Rais na maisha yake kitaa ni ya kawaida Sana!!
Mimi Bado nasisitiza tu kwamba, Maisha ya kubebwa siku lazima mtu alie, lakini maisha ya wewe mwenyewe uyaboleshe Kwa namna ipi, ni lazima jamii itambue uwepo wako!!
Baba wa Taifa Ni Baba Bora Sana Kwa wanae, Ila nahisi watoto ndio tatizo!
Ukaribu na jamii haihitaji ubebebwe, jibebe mwenyewe
Sina hoja tena mkuu, Ila nimecheka Sana aisee,Saaa katika watu wanajichanganya na raia wa kawaida kabisa kitaa ni wakina Makongoro/Madaraka hao mpk wanalewaga na kuzima huko uswahili na wala mtoto wa ushuani Ridhiwani hajawazidi hao majamaa kwa kujichanganya na watu.
Yule mmoja wa Nyerere wamepa U-Nec lkn nje ya hapo hana chochote yaani hata kwny ukuu wa mkoa huwa hawakumbukwi aisee.Mkuu umesahau kulikuwa na mjadala humu baada ya Hussein Mwinyi kupitishwa kupeperusha bendera kwamba amependelewa/ fadhila ya baba yake. Sasa wale wa Nyerere ...................!, hata hivyo watu wa Mara wanapenda ukweli na wala si wanafiki.
Nikweli inawezekana hawatoshi kwenye jamii wanayoishiMkuu, hii Mimi nimeipenda sana, imenipa kuona ni jinsi gani watu hasa vigogo ama watoto wa vigogo wasivyoishi vema na jamii.
Hilo ni funzo, haiwezekani, na ijulikane, jamii unayoishi nayo wakati mwingine ndio yaweza kuamua hatima ya mtu!
Unataka kuwa kiongozi Wakati jamii inayokuzunguka haioni msaada wowote wa kile ulicho nacho!
Tunategemeana! Mtu yeyote mwenye kuthamini Neno hilo, hufika mbaaali sana kimaisha.
Hahah wale ni wapiga maji hatari,mmoja alishalewaga akaenda nje ya ofisi(Nyeti) anakofanyia kazi mkewe akaanza kupiga honi ovyo ovyo mkewe akaamuru awekwe ndani kwa muda.Sina hoja tena mkuu, Ila nimecheka Sana aisee,
Labda sasa jamii imeona itawapoteza zaidi pindi wakipata Ulaji mahali watalewa mara dufu na kuhatarisha maisha yao
Nicolas MKapaMwinyi TUNAMWONA HUSSEN
Mkapa mtoto wake simfahamu
Kikwete TUNAMWONA RIDHI 1
Sema utakuwa utawala wa kiukoo
Angalia E.L. YUPO FREDRICK