Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao hawajawahi zungumzia hisa zao hata siku moja wametoa mijicho kwenye 49% ndio matumbo ndio yamewaweka hapo, hii timu bora ingeuzwa tu wanatuboa sana mashabiki
Mo naomba ajiuzuru turudi kule tulipotoka!
mishahara inayolipwa kwa wachezaji kwa mwezi mmoja si chini ya million mia mmoja hapo hujajumlisha safari kambi na viposho vya uendeshaji; club kama simba inahitaji si chini ya million 300 kujiendesha yenyewe. Kilomoni na genge lake wakabidhiwe timu tuone
yajayo yanafurahisha
Mpira ni pesa,uwekezaji lakini katika Vilabu vikongwe vya Simba na Yanga siasa ni nyingi saaana.
Hata wawekezaji nao wanafichaficha mambo hawapo wa wazi kihivyo.
Wengi ni wafadhili ambao wana mambo yao kimaslahi tu .. wakikamilisha wanakimbia.
Simba imeanza mchakato huu vizuri lakini nilijua tu kwa siasa zetu hizi na wanachama hali zao zilivyo na mwekezaji mwenyewe alivyo nilijua safari itakuwa ya mashaka.
Kuendeleza mpira Tanzania ni kuachana na vilabu hivi kwanza.
Vilabu hivi lazima vikihitaji mafanikio wabadilike kuanzia wanachama hadi viongozi.
Simba hadi leo hii bado mambo hayapo wazi kiwanja cha mpira nacho bado na maneno yameanza.
Kama Simba ilivyo hakuna haja ya maneno ya chini kwa chini au mafumbo weka mambo hadharani omba ushauri.
Vilabu hivi shida tupu. Na ndio shida ya maendeleo ya kandanda nchini.
Wasiturudishe zama za ujima, Kuna wanaojitutumua eti mo atuachie timu yetu utadhani huko nyuma ilivyokua mikononi mwao hakukua na migogoro.Muhimu tunahitaji maendeleo ya club ,hiyo mifumo ya uanachama haijawahi kutupeleka popote, miaka miwili ya Mo tumeona matunda yake,inavyoonekana viongozi wameona hakuna njia za upigaji tena,wanaanza figisu
Swali zuriHao wajumbe wanalipa mishahara ya wchezaji, tuanzie hapo... Kama mwenye kumiliki hisa 49% anaweka mezani bil 20 hao wanahisa wanaomiliki 51% wameweka ngapi nao mezani?
Tunaowapa kiburi hao viongozi ni siye washabiki siye tunaoenda viwanjani wenzetu washabiki wa ulaya huwa wanaisusia timu na pia kushinikiza viongozi kutoka.
Nampa pole Mo kufanya kazi na waswahili nikujiaribia cv yake, waswahili bado tuko kwenye evolution tunahitaji kutawaliwa badala ya kujitawala just imagine timu ina miaka zaidi ya 80 no uwanja no kitega uchumi chochote bado tunaendelea kuziamini fikra zilezile ziendelee kusimamia timu.
Hata watu wanaosema hizi timu ni za wanachama miye nakataa hizi timu zinamilikiwa na kigenge fulani ambacho kinaishi kupitia hizi timu hivyo kuchukua hizi klabu zijiendeshe na sawa na kukiua hicho kigenge kitu ambacho ni impossible
Huwa namshangaa sana MO jinsi anavyowekeza pesa yake SIMBA, MO angetakiwa asuke timu yake kama Bakressa.
Timu yenye asilimia 100 za umiliki wake, atumie hizo pesa zake ajenge bonge la uwanja, ashushe makocha na wachezaji wa viwango vya kimataifa.
Mashabiki wataongezeka tuu Man city, chelsea hazikuwa na mashabiki wengi hivi kabla hazijanunuliwa.
MO piga simba chini pesa uliyowapa mpaka sasa ifanye sadaka, tengeneza timu yako
Wana shangaza sana mkuuu.kazi kukodolea macho tuuu hisa za mo, miaka yote wapo na hatukuona chochotee cha maaana.Hao hawajawahi zungumzia hisa zao hata siku moja wametoa mijicho kwenye 49% ndio matumbo ndio yamewaweka hapo, hii timu bora ingeuzwa tu wanatuboa sana mashabiki
Hawezi anataka timu iliyo tayari, yuko kibiashara zaidi.Cha muhimu Mo aanzishe team yake binafsi from the scratch kama alivyofanya mwenzake Bakhresa
Mkuu sidhani kama anaweza, hivi African Lyon si ilikuwa yake!?Huwa namshangaa sana MO jinsi anavyowekeza pesa yake SIMBA, MO angetakiwa asuke timu yake kama Bakressa.
Timu yenye asilimia 100 za umiliki wake, atumie hizo pesa zake ajenge bonge la uwanja, ashushe makocha na wachezaji wa viwango vya kimataifa.
Mashabiki wataongezeka tuu Man city, chelsea hazikuwa na mashabiki wengi hivi kabla hazijanunuliwa.
MO piga simba chini pesa uliyowapa mpaka sasa ifanye sadaka, tengeneza timu yako
Basi ajiandae kupambana na waswahiliHawezi anataka timu iliyo tayari, yuko kibiashara zaidi.
Atakutana na fitina hatari.Basi ajiandae kupambana na waswahili
Kilicho wazi sana kwa sasa watu wanaoleta mtafaruku simba ni wale ambao mirija ya kuitafuna simba imezibwa ndiyo maana wanataka kuharibu mfumo mpya waendelee kula pesa za bure za club.Hakika mficha maradhi kifo humuumbua ndio kauli nzuri ya kusema kwa sasa
Hali si shwari ndani ya club ya Simba wajumbe wanaoiwakilisha timu wanalalamika chini kwa chini wanasema hawashirikishwi kwa chochote wenyewe ni kupewa taarfa tu wenye sauti wamebaki ni magori tu ambaye anatumika kuiibia club
Ndugu zangu kuwa mwekezaji wa timu sio ujanja ujanja
Sasa anapikuja mwekezaji mwenye lengo la kuvuna tu hiyo haileti maana faida inatakiwa ipatikane kwa pande zote mbili
Baadhi ya wajumbe ambao wamekataa kuihujumu club wanasema huyu mwekezaji mwaka Jana alisema million 250 zinatosha kujenga uwanja wa mazoezi kule bunju lakini mpaka sasa hata greda zimeacha kufanya kazi zile milion 250 zimetumikaje? Sema wajumbe wanaogopa kumwambia boss kwenye kikao kwa kuogopa usalama wao ukizingatia yule ni tajiri
Pia wajumbe wanasema club iliingiza zaidi ya billion mbili kwenye mechi za kimataifa pamoja zawadi walizopewa kutoka Caf
Ilo hizo pesa zimeingia kwenye account ya kampuni ya MTU na sio kwenye account ya club
Wajumbe wanajiuliza kamawekezaji anavunja sheria kwenye mwaka wa pili tu je akishakaa miaka sita wanachama watakuwa na sauti juu ya timu yao?
Motto unaofuka ni mbaya sana ndani ya uongozi wa Simba
Viongozi wengi wasimba wamekuwa wanawatumia wanahabari kufukisha ujumbe kwa mo kwani anaogopeka sana
Ahsanteni
Wabongo bana,mtu atoe bilion ishirini,wewe hujatoa kitu ni mjumbe tu,unataka uwe na maamuzi ya management ya mradi?,,yale yale ya bagamoyo port,,,hakuna mwekezaji anaweka bilions halafu asitake zirudi
African Lyon ilimshindaje?Kwanini asiweze wakati pesa anayo mingi. Mmiliki wa TP MAZEMBE amewezaje?
Huu ndio wakati wenu kwenda kuongoza club, na tusipoona mafanikio yoyote hesabuni nyie ni wachawi wa maendeleo!! Hao wajumbe walishafanya kitu ipi toka simba ianze? Mwenye hisa 49 tunaona anachoweka je nyie wenye 51 mmeweka nini? Embu acheni uchawi nyieHakika mficha maradhi kifo humuumbua ndio kauli nzuri ya kusema kwa sasa